kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Tunashangilia kiongozi wa nchi hambayo imekuwa ikitoa vifurushi vya silaha zilizomwadabisha fashisti Putin kukanyagana kwenye ardhi ya ukraine na urusi akaufyata,as if hakuna kilichotokea[emoji28]Hao wengine walikuwa wanaenda kufanya ziara Ukraine ikiwemo waziri mkuu wa uingereza sio viongozi? Mm bado sijui mantiki ya pro NATO kushangilia sijui Kuna jipya gani yaani hata siku akienda yoweri Mseveni sijui tutajificha wap watu wa Russia kweli NATO akili kumkichwa.