Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2524165
Taarifa unapewa ili ukijichaganya upigwe ukose visingizio. HIMARS 20 unalia nazo na wakati ziko over 200 zinapigwa vumbi kwenye maghala. Na hata hivyo Russia haina means ya kumshambulia Rais wa Marekani hapo Ukraine, Zelensky analala hapohapo mwaka mzima mmemshindwa mje muweze superpower mwenyewe.

Na mikwara ilishatolewa ila wapi hadi waliotoa hizo silaha walishakuja wenyewe kukagua matumizi
Siku za nyuma, nilikua nikipitia huu uzi, natafuta kwanza comments zako. They were full of detailed analysis and unbiased explanations. Siku hizi naona "fever" ya teams za huu uzi imekukamata na wewe pia.

Kama Russia hana means za kumshambulia rais wa marekani hapo Ukraine, taarifa alipewa ya nini? Mimi nadhani wamarekani sio wajinga kutoa taarifa, wameona umuhimu wa kufanya hivyo!

Mi nadhani hata Putin akiwa na safari zake, wamarekani huwa wanajua. Ila hawawezi kushambuliana sababu wanajua that is a red line that none of them is ready to cross!

NB: Bado nazingatia sana comments zako chief!
 
View attachment 2524165
Taarifa unapewa ili ukijichaganya upigwe ukose visingizio. HIMARS 20 unalia nazo na wakati ziko over 200 zinapigwa vumbi kwenye maghala. Na hata hivyo Russia haina means ya kumshambulia Rais wa Marekani hapo Ukraine, Zelensky analala hapohapo mwaka mzima mmemshindwa mje muweze superpower mwenyewe.

Na mikwara ilishatolewa ila wapi hadi waliotoa hizo silaha walishakuja wenyewe kukagua matumizi
Jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio...T14 Armata...anakosa ubora kabisa...ww sio wa kuandika comment ya Sampuli hii..., kama Wamarekani wenyewe wanakiri..ili kuepusha maafa kwa Rais wao ..iliwabidi kuijulisha Moscow..hours kabla Biden hajaondoka Washington...,,, na sababu kuu ya kutoa taarifa wameandika...!!!.. ww hutaki kukubaliana nao....,,,

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Vita siku zote ni kuzuia adui yako asipate silaha, hakuna cha Safe Zone wala nini.
Upande huo wa Sumy, Lviv Urusi hawezi
Daaah ..ila buraza ...sikuwahi kufikiri ...Kwa hiyo sasa ni "Urusi haiiwezi Ukraine magharibi" ...ila Ukraine mashariki anaiweza ...SI ndio!!?? Kwa mujibu wa comment yako !! Ulijisikiliza kwanza kabla ya kupost au ndio ushabiki hoyahoya....
 
"Marekani haina mamlaka ya kutoa amri kwa China. Hatutakubali kamwe kukosolewa au kupangiwa na Marekani uhusiano wetu kati ya China na Urusi." Haya yamesemwa na Wang Wenbin, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China akijibu tuhuma za China kuipatia Urusi silaha"
 
"Putin hapangi amani, anapanga vita zaidi - Mkuu wa NATO Stoltenberg. Tayari wanaanzisha offensive operations. Kama hili itakuwa operation kubwa la majira ya kuchipua au kama ni aina fulani ya utangulizi wa hilo, ni vigumu kusema. Lakini wanamiminika askari zaidi na zaidi "
 
Ukitaka kujua kuwa wameshikwa pabaya.... Angalia comments za ProNato waliobaki jukwaani ambao ni Amarta, Ki-mouse na Himmars.... Hawana wanachofanya.... Wamebaki tu
1) 72 hrs
2) Hawajafikia malengo
3) Mzigo mpya
4) Matusi dhihaka
Hata Vunjo Mzee wa Tazama hii amekula Kona.... Ila asee.... Wana mnajua kukaza fuvu ...
 
Back
Top Bottom