Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwamba wa uingereza akikagua jinsi vijana wakakamavu wa rais zelensiky wanavyopiga zoezi..,
1676984678316.jpg
 
💥💥💥So, in focus in the coming days of this very important ten-day :
1. Biden's speech in Poland today
2. Tomorrow's unscheduled meeting of the Chambers of Parliament
3. Tomorrow's meeting between Putin and Gagloev (President of South Ossetia)
4. Visit of the President of Abkhazia to Belarus
5. Tomorrow's rally-concert
6. The US response to today's ultimatum
7. China's peace proposals on February 24
8. Some "big international events" announced by Ukraine on February 24
9. Clarity with Xi's visit to Moscow — after February 24, but before the second decade of March
10. UN General Assembly on February 23-24
💥💥💥
 
[emoji28][emoji28] kwamba medved anaweza akambadilisha maamuzi putin
Ha ha haa,
Hapana yaani Putin alipuuza kumjibu Biden akimuona sio saizi yake.
Ndipo Med akamruhusu aingie lkn asikae zaidi ya nusu saa,😀Biden akaomba aongezwe nusu saa nyingine😃Med akasema nakuongeza robo saa TU.
Hivyo akwa amekubaliwa kwa Dk 45😀😀😀
 
Ha ha haa,
Hapana yaani Putin alipuuza kumjibu Biden akimuona sio saizi yake.
Ndipo Med akamruhusu aingie lkn asikae zaidi ya nusu saa,[emoji3]Biden akaomba aongezwe nusu saa nyingine[emoji2]Med akasema nakuongeza robo saa TU.
Hivyo akwa amekubaliwa kwa Dk 45[emoji3][emoji3][emoji3]
Na ndani ya dakika zisizozidi 45 Biden akawapiga na kitu kizito [emoji28][emoji1787]
 
Naona tumekubaliana sio issue ya sanctions Kwa nchi kama Serbia ambapo wamesema service imekuwa shida!Ndio maana nikashtuka nikahoji Iweje Russia atengeneze ndege vita halafu service ategemee nchi za west?
Nimesema Russia ilisuspend baadhi ya mikataba ya kibiashara ya silaha baada ya hii anayoiita SMO!Priority ikawa ni kulihudumia jeshi lake!Vivyo hivyo Kwa hata kwenye upande wa service,focus kubwa Iko kwenye jeshi la Urusi!
Umetolea mfano wa US,lakini nikukumbushe tu US amelazimika kuongeza production Ili asikaushe stock yake ya ammunition Kwa kuisupport Ukraine!Na hapo Bado ni mataifa zaidi ya 30 yanaisaidia silaha Ukraine lakini tayari Kuna mataifa yameshapata fatigue ya silaha!
Hebu tuambie,ni lini US ameshakutana na mazingira kama ya Russia Ili tuweze kulinganisha kama ulivyotoa mfano!Yaani US aende vitani bila mshirika,halafu akutane na upinzani wa mataifa 30 yenye uchumi mkubwa yakimsaidia adui yake silaha, intelligence na fedha kuendesha serikali wakati wa vita?
Ni wapi ambapo US amepambana vita akiwa na vikwazo vya kiuchumi kutoka Kwa mataifa zaidi ya 30 kama ambavyo Russia anafanyiwa Ili uwanja uwe sawa?
Yaani unafananisha ya US kwenda na washirika wake Iraq na Afghan na hii ya Russia vs Ukraine?
Kiukweli vigezo na masharti havijazingatiwa kwenye ulinganyo wako!
Wapi nimesema Serbia itafanyia service nchi za West, au wapi Serbia wamesema hivyo? Serbia wamesema service ni ngumu kutokana na vita na ndicho nilicholeta hapo.

Russia haijawahi suspend mikataba ya silaha, bali nchi zilisuspend mikataba ya silaha na Russia. Ukileta evidence nami naleta.

Unasema US amelazimika kuongeza production ya silaha. We ulitakaje?
Silaha si anazitoa na anaongeza production ili afanye replacement ya stockpile na aongeze kiasi cha misaada. Au hujui military production inavyokuwa. Hivyo ndivyo Russia inatakiwa ifanye sio kusuasua kwenye kutoa after sales service ya silaha inazouza kwa gharama. Hata kampuni za kiraia zinafanya hivyo, kama Toyota uliuza magari milioni 20 ya model fulani ujue utatoa service ya idadi hiyo. Sio muda unafika unasema sisi tutatoa service kwa magari yaliyopo Asia tu.

Mazingira ambayo Russia amekutana nayo Marekani hayawezi kumkuta kwa kuwa ndio superpower mwenyewe sasa kaa ukijua. Huyo superpower uchwara kawekewa sanctions naye ameweka. Marekani halazimishi mtu kuiwekea Russia sanctions. Iran, Venezuela, China na wengine kwa namna yake hawafuati baadhi. Na hizo coalition Russia anazo pia, akawaambie BRICS au CSTO waweke sanctions kwa Marekani pia.

Marekani iliwapa wanyonge misaada kwenye Word War 2 ikiwemo USSR yenye Russia na Ukraine. Nani aliwahi ipa msaada mkubwa Urusi kama huu
IMG_20230221_160417.jpg


Na umesema kweli nilikosea kulinganisha Marekani na Urusi. Marekani dude kubwa GDP ya jimbo lake moja la California ni sawa na GDP ya Urusi.
 
Bado dakika tano

SMO iendeleeee.....


[emoji736]Kremlin spokesman: Biden's trip to Kiev was not unusual for us

[emoji778]️ Russia was closely monitoring Biden's trip to Ukraine

[emoji778]️ Russia is also monitoring events in Poland


[emoji723]بروکر جهانی ZTE-Trading
Usicheze na SVR GRU na FSB,hawalali Hawa dogs of war.
 
Back
Top Bottom