President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mwamba huyu hapa
Leo mambo ya special military operation ameyagusia kwa kiasi kidogo mno,kwa wale waliosoma Cuba watakuwa wameng'amua kitu!Putin na maandalizi mengi ya hotuba. Mpaka sasa la maana nililosikia ni kufungua special fund kwa veterans na waliokufa vitani, at least likitekelezwa hili hatoacha vijana wa maskini wakihangaika baada ya kupigwa na mabeberu.
Wasikilizaji wamejaa huzuni SMO inadorora jeshi la gwaride kwenye ground linachechemeaView attachment 2525020
![]()
![]()
despite prigozhin 's attempt, the chenchen leader likely still see that " his formal ties to the clemlin and position in the Russian defense ministry are more beneficial than any political relationship with prigozhin could be "according to the institute for the study of war (ISW)![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni mwendo wa explosion
"reports indicate possible casualties in the explosion at the #Bedford ironworks #Ohio"
Tuambie la maana kutoka kwa kibabu Biden...yaani anavyotembea sawa na msumari..Hana uwezo wa kuinamaPutin na maandalizi mengi ya hotuba. Mpaka sasa la maana nililosikia ni kufungua special fund kwa veterans na waliokufa vitani, at least likitekelezwa hili hatoacha vijana wa maskini wakihangaika baada ya kupigwa na mabeberu.
Wasikilizaji wamejaa huzuni SMO inadorora jeshi la gwaride kwenye ground linachechemeaView attachment 2525020
.Everything is in the past, our relations have degraded and this is entirely the merit of the United States — Putin
After the collapse of the USSR, the West is trying to fix its global dominance forever, ignoring everyone in general - Putin
The West is reshaping the world exclusively for itself, and NATO is putting ultimatums to Russia - Putin
The United States tried to break the architecture of international relations created after the Second World War, reshaping the world order for itself, Putin said
Russia suspends participation in the START III Nuclear Treaty - Putin
START III Nuclear Treaty is on hold -Putin
.Putin na maandalizi mengi ya hotuba. Mpaka sasa la maana nililosikia ni kufungua special fund kwa veterans na waliokufa vitani, at least likitekelezwa hili hatoacha vijana wa maskini wakihangaika baada ya kupigwa na mabeberu.
Wasikilizaji wamejaa huzuni SMO inadorora jeshi la gwaride kwenye ground linachechemeaView attachment 2525020
Lakini hicho kibabu kimeifanya operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu.., akili mtu wanguTuanbie la maana kutoka kwa kibabu Biden...yaani anavyotembea sawa na msumari..Hana uwezo wa kuinama
Maandalizi yalifanyika siku nyingi, mabango yalipangwa mijini na tv stations zilikuwa zinakumbusha. Jana wakaanza countdown ya bado masaa mangapi wakati Biden alipoenda Ukraine, nikajua kuna big issue kumbe hotuba ya kawaida.Leo mambo ya special military operation ameyagusia kwa kiasi kidogo mno,kwa wale waliosoma Cuba watakuwa wameng'amua kitu!
Hatimaye kipanya katoka shimoni.Angalau Leo mikwara ya nyukria haijasikika sana!.., sijui kaona watu wameizoea[emoji28]
Yamekuwa hayo tena,wewe huwa unashusha nondo bwana.Hizi mambo za kejeli achia vijana walio na vifua vyepesi walkizidiwa na hoja.Tuanbie la maana kutoka kwa kibabu Biden...yaani anavyotembea sawa na msumari..Hana uwezo wa kuinama
Sawa hana uwezo wa kuinama. Sasa kamwambie Rais wa hiyo superpower uchwara inayolingana uchumi na jimbo la California ainameTuanbie la maana kutoka kwa kibabu Biden...yaani anavyotembea sawa na msumari..Hana uwezo wa kuinama
Unatania wewe...pengine hujui unachokisema....Nadhani watu wengi hamjui hii dunia ikoje someni muelewe,,tembeeni mjue mambo...Na ufahamu wazi zelensiky akitaka kichwa Cha huyo fashisti Putin analetewa mapema tu!!
Usibishane na huyu Jamaa ni mtu aliyeamua kutokutumia Akili.Unatania wewe...pengine hujui unachokisema....Nadhani watu wengi hamjui hii dunia ikoje someni muelewe,,tembeeni mjue mambo...
Tulikuwa tunamfuatilia fashisti tuone kama ataendeleza zile Tambo zake za nyukria kama alivyozoea,[emoji28]Hatimaye kipanya katoka shimoni.
Mikwara imezoeleka sasa atatafuta kingine. Ila kajitahidi leo hotuba ilikuwa balanced with reality, hakutumia propaganda sana na hakutoa ahadi ngumu. Its better usiwape watu expectations kubwa ili wasije kukudai baadae.Angalau Leo mikwara ya nyukria haijasikika sana!.., sijui kaona watu wameizoea[emoji28]
kila kipimo eti - it can even hit US, Kutojiamini huko kwani US ndiko Dunia iliko.The 🇰🇵 intercontinental ballistic missile (ICBM) launched Saturday, which flew for 66 minutes, would have the ability to strike anywhere in the US, the Japanese govt said.
Napendaga sana staili ya uandishi wako bibie..,nichek inbox nikuambie kitu!Usibishane na huyu Jamaa ni mtu aliyeamua kutokutumia Akili.
Propaganda kidogo kaingiza mkuu..,hasa pale aliposema kwamba west wameshatumia dollar [emoji385][emoji385] billions 150 kwenye vita inayoendelea huko UkraineMikwara imezoeleka sasa atatafuta kingine. Ila kajitahidi leo hotuba ilikuwa balanced with reality, hakutumia propaganda sana na hakutoa ahadi ngumu. Its better usiwape watu expectations kubwa ili wasije kukudai baadae.
Na kazungumzia silaha zinazotarajiwa kuingia Ukraine kama ndege. Bora upigane kimyakimya kuliko kupigana na majigambo na vita haiishi huku inayodai utafanya hufanyi na unayozuia yanafanyika
Huwa sina shida na Dmitry Peskov msemaji, hata Dmitry Rogozin ingawa alipoumizwa na HIMARS strike ni kama nilifurahia kutokana na chuki tunayotengenezeana humu. Sijui anaendeleaje taarifa zake hatupewi I hope operation ilifanikiwa. Aliiongoza vizuri Roscosmos na majigambo yake yalikuwa yanachekesha hayana madharaNamuona Peskov akishangaa ila moyoni ana lake