INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
Russia and the United States must immediately resume full implementation of START and return to arms control dialogue to avoid catastrophic consequences, the UN says.
Nyet
US anaogopa nini??
Russia and the United States must immediately resume full implementation of START and return to arms control dialogue to avoid catastrophic consequences, the UN says.
Nyet
Mie ndio kaniprove wrong kabisa maana nililowaza hata kuligusia jamaa hajaligusiaputin bwana, ukitegemea nyumbani kwake atapika wali mweupe basi yeye ndio anapika pilau.
siku unayodhani atapika sembe basi yeye anapika muhogo
vile watu walikuwa wanasubiria mambo yaleee ila:
.
No "decleration of war"
No "change the status of the SMO"
No "Mass mobilization"
No "we will nuke you all"
Umepoteza mwelekeo ndugu,toka kua mchambuzi mahili Hadi kua mchambuzi wa vijembe.
Rudi bana watu tuanahitaji uchambuzi wako
Hii mitandao inatakiwa tuitumie vyema sana aseeeeHaaa naona tangu wakuite kiongozi wa wapiga nyeto wa jf hasira zako zote umezihamishia kwa Putin una bwabwaja bwabwaja tu bila mipangilio.
Haaa kwamba super power anapigana na Talban ambayo hawana hata viatu kwa miaka zaidi ya 20 na bado wanawashindwa na kuwakimbia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Shujaa muongoza njia alisha tahadharisha kuwa tuogope sana mungu na teknolojia hiyo Post yako kuhusu nyeto ni ya miaka mingi lakini sasa hivi wajuba wanaitumia kukuumiza kisaikolojia na wamefanikiwa maana siku hizi uwezo wako wa kufikiri umepungua kwa kasi ya ajabu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]nacheka kwa dharau.
Mkuu, bila shaka kwa umakini mkubwa.What i love about inferiority of russia weapons they always gets a job done
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Sure jamaa ukiondoa mapenzi ana ufahamu wa vitu vingi na huwa anapata support almost kwa all members,Hii mitandao inatakiwa tuitumie vyema sana aseeee
Kuna jambo hapa unaweza ukalitaipu ukaona limepita kumbe likadumu milele ama likadumu miaka mingi
Halaf wewe utakua umeishajisahau watu wanakuja kufukua makaburi nandio linamgharibu jamaa kwasasa
Watu wanamfanyia mzaha ingawaje nimaneno ya kweli acc tu yeye mwenyewe ila sasa watu wamemfanya apanic
Nakweli tokea watu wapate ile post wanaitumia sana dhidi ya jamaa kiasi kwamba jamaa anahamaki sanaaa
Kuna mambo sio yakupost kwenye mitandao iwe unafanya ama hufanyi inatakiwa ukae nayo tu moyoni
BOSS T14 Armata anatakiwa akubaliane na hali tu kua aliteleza na sasa watu wanatumia yale yale aloyasema kumfanyia inda
Akae kwakutulia
Ila bado jamaa namkubali ingawaje kuna muda anazidiwa na hisia anatukanana na watu
Kwenye mitandao yakijamii sio sehem zakutukana nisehem zakufanya mambo yastarehe na burdan na mambo makubwa tuuu
Kuna ignore block nk ukiona mtu anakutukana na unashindwa deal nae piga block
SMO iendeleeeee.......
Mkuu unaona kweli kuwa Babu Putin -aliyeogopa hadi leo kutembelea askari wake kwenye mapigano- anashika chochote??Hapa namsikiliza kibabu Biden, anabwabwaja hiki na kile...Mimi nangojea aseme majeshi ya USA yanaingia Ukraine kuisadia...maneno ninayosikia ni democracy freedom, thank you all, may God bless the heroes...dah..duh...Putin kweli amewashika vibaya au pabaya...
Alipofikia hawezi shinda vita wataenda, watazoeanaMkuu unaona kweli kuwa Babu Putin -aliyeogopa hadi leo kutembelea askari wake- kwenye mapigano anashika chochote??
Mpende usimpende Zelensky, alitembelea wanajeshi wake karibu na mapigano mara kwa mara.
Mpende usimpende Biden, anajiamini kwenda huko ambako Putin hawezi kufika (Kyiv) ..
Tunakwenda kufanya operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787][emoji16][emoji28]Wanachakula cha siku 3 tu, wameishiwa silaha, wanajeshi wake awana morali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ngoma ndo kwanza mbichi kabisa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Haaa kweli tekinolojia ni ya kuogopa sana unaweza kuamuwa kubadilika lakini tekinolojia ikaendelea kuhukumu na kuku fanya uonekane ni mtu wa ajabu maisha yako yote na hata baada ya kufa.Hii mitandao inatakiwa tuitumie vyema sana aseeee
Kuna jambo hapa unaweza ukalitaipu ukaona limepita kumbe likadumu milele ama likadumu miaka mingi
Halaf wewe utakua umeishajisahau watu wanakuja kufukua makaburi nandio linamgharibu jamaa kwasasa
Watu wanamfanyia mzaha ingawaje nimaneno ya kweli acc tu yeye mwenyewe ila sasa watu wamemfanya apanic
Nakweli tokea watu wapate ile post wanaitumia sana dhidi ya jamaa kiasi kwamba jamaa anahamaki sanaaa
Kuna mambo sio yakupost kwenye mitandao iwe unafanya ama hufanyi inatakiwa ukae nayo tu moyoni
BOSS T14 Armata anatakiwa akubaliane na hali tu kua aliteleza na sasa watu wanatumia yale yale aloyasema kumfanyia inda
Akae kwakutulia
Ila bado jamaa namkubali ingawaje kuna muda anazidiwa na hisia anatukanana na watu
Kwenye mitandao yakijamii sio sehem zakutukana nisehem zakufanya mambo yastarehe na burdan na mambo makubwa tuuu
Kuna ignore block nk ukiona mtu anakutukana na unashindwa deal nae piga block
SMO iendeleeeee.......
Wazee wa chuki na roho mbaya RussophobiaMrusi aendelea kutengwa na Dunia - Mashindano ya Olympic kuyasikilizia kwenye redio...
Australia says it backs Olympics ban for Russian, Belarusian athletes
Australia’s government says it is aligned with 34 other nations on the call for the International Olympic Committee (IOC) to ban Russian and Belarusian athletes from its competitions, despite not being marked as a signatory to the statement.
The British government issued the joint statement on Monday on behalf of “more than 30 like-minded nations”, which held a summit addressed by Ukraine President Volodymyr Zelenskyy this month.
THE DEVIL IN DETAILS[emoji298][emoji298] Biden on Russians forces; they are comitted deprivites, crime against humanity, without shame or compaction. They are targeted with death and destruction, used rape as weapon of the war, stolen Ukrainian children in an attempt to steal Ukraine's future [emoji631][emoji298]
Mawazo haya da? HahahaSamahani BOSS hakuna sehemu nimebeza joe kutoa taarifa KREMLIN
Nililokua nalisema na kulisisitiza nikwamba joe hakuenda hajaenda na hataweza kwenda kule UKRAINE bila ruhsa ya MOSCOW
Huu ndio msimamo wangu na hata wao walithibitisha hilo
Huyu Charles mbaguzi wa rangi alikataa kushake mkono na mgeni[emoji123][emoji1255]View attachment 2525162
THE DEVIL IN DETAILS[emoji881][emoji881] more nonsense from Putin's speech
_ western elite have become a symbol of unprincipled lies
_the west offers the idea of gender- neutral god.forgive them,lord , they know not what they do
_pedophilia is becoming the norm in the west, priests approve same sex marriage,[emoji881][emoji881]
Aisee duhMkuu unaona kweli kuwa Babu Putin -aliyeogopa hadi leo kutembelea askari wake- kwenye mapigano anashika chochote??
Mpende usimpende Zelensky, alitembelea wanajeshi wake karibu na mapigano mara kwa mara.
Mpende usimpende Biden, anajiamini kwenda huko ambako Putin hawezi kufika (Kyiv) ..