Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298] the head of foreign ministry of Ukraine dymitro kuleba said that china's representative wang yi shared with the ukranian side the key points of the Chinese peace plan
The ukranian authority intend to examine it and draw conclusion [emoji298][emoji298]
 
💥💥 Odessa, You'll be free soon...

Ukraine source:
⚡️⚡️⚡️#Inside
Our source in the OP said that in Bessarabia, Odessa region, a serious conflict with mobilization is brewing, over the past month, roundups of military commissars have become more frequent in the villages. The Bulgarians of Ukraine are preparing an appeal to Zelensky with a request to influence the General Staff and set indicators from each district.💥💥
 
Naona islaer kaingia mzigoni [emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji91] islaer to provide Ukraine with ant- missiles,jpost reported citing islaer foreign minister [emoji298][emoji298]
 
IMG_20230221_183504_193.jpg


💥💥💥And here is a positive to today's news about the START Treaty
The first rocket carrier built from scratch completed the factory testing program. The second one has already been pumped out and sent to the flight test station. And now we have started building the third copy.
The news is cool for one reason: this is not an upgrade of previously released strategists, but a completely new, newly built aircraft, in which completely different electronics.💥💥💥
 
Naona tumekubaliana sio issue ya sanctions Kwa nchi kama Serbia ambapo wamesema service imekuwa shida!Ndio maana nikashtuka nikahoji Iweje Russia atengeneze ndege vita halafu service ategemee nchi za west?
Nimesema Russia ilisuspend baadhi ya mikataba ya kibiashara ya silaha baada ya hii anayoiita SMO!Priority ikawa ni kulihudumia jeshi lake!Vivyo hivyo Kwa hata kwenye upande wa service,focus kubwa Iko kwenye jeshi la Urusi!
Umetolea mfano wa US,lakini nikukumbushe tu US amelazimika kuongeza production Ili asikaushe stock yake ya ammunition Kwa kuisupport Ukraine!Na hapo Bado ni mataifa zaidi ya 30 yanaisaidia silaha Ukraine lakini tayari Kuna mataifa yameshapata fatigue ya silaha!
Hebu tuambie,ni lini US ameshakutana na mazingira kama ya Russia Ili tuweze kulinganisha kama ulivyotoa mfano!Yaani US aende vitani bila mshirika,halafu akutane na upinzani wa mataifa 30 yenye uchumi mkubwa yakimsaidia adui yake silaha, intelligence na fedha kuendesha serikali wakati wa vita?
Ni wapi ambapo US amepambana vita akiwa na vikwazo vya kiuchumi kutoka Kwa mataifa zaidi ya 30 kama ambavyo Russia anafanyiwa Ili uwanja uwe sawa?
Yaani unafananisha ya US kwenda na washirika wake Iraq na Afghan na hii ya Russia vs Ukraine?
Kiukweli vigezo na masharti havijazingatiwa kwenye ulinganyo wako!
Alisha kutana na hali hiyo nchini Vietnam ambayo ili kuwa inasaidiwa na Usoviet kilicho mkuta mpaka sasa hasahau.
 
Wapi nimesema Serbia itafanyia service nchi za West, au wapi Serbia wamesema hivyo? Serbia wamesema service ni ngumu kutokana na vita na ndicho nilicholeta hapo.

Russia haijawahi suspend mikataba ya silaha, bali nchi zilisuspend mikataba ya silaha na Russia. Ukileta evidence nami naleta.

Unasema US amelazimika kuongeza production ya silaha. We ulitakaje?
Silaha si anazitoa na anaongeza production ili afanye replacement ya stockpile na aongeze kiasi cha misaada. Au hujui military production inavyokuwa. Hivyo ndivyo Russia inatakiwa ifanye sio kusuasua kwenye kutoa after sales service ya silaha inazouza kwa gharama. Hata kampuni za kiraia zinafanya hivyo, kama Toyota uliuza magari milioni 20 ya model fulani ujue utatoa service ya idadi hiyo. Sio muda unafika unasema sisi tutatoa service kwa magari yaliyopo Asia tu.

Mazingira ambayo Russia amekutana nayo Marekani hayawezi kumkuta kwa kuwa ndio superpower mwenyewe sasa kaa ukijua. Huyo superpower uchwara kawekewa sanctions naye ameweka. Marekani halazimishi mtu kuiwekea Russia sanctions. Iran, Venezuela, China na wengine kwa namna yake hawafuati baadhi. Na hizo coalition Russia anazo pia, akawaambie BRICS au CSTO waweke sanctions kwa Marekani pia.

Marekani iliwapa wanyonge misaada kwenye Word War 2 ikiwemo USSR yenye Russia na Ukraine. Nani aliwahi ipa msaada mkubwa Urusi kama huuView attachment 2525167

Na umesema kweli nilikosea kulinganisha Marekani na Urusi. Marekani dude kubwa GDP ya jimbo lake moja la California ni sawa na GDP ya Urusi.
Acha porojo ilisha wahi kukutana na hali hiyo nchini Vietnam na ndio maana alipigwa kipigo cha mbwa koko akakimbia kama kichaa.

Super power una pigana na Talban miaka 20 na bado wana kushinda mwisho unawakimbia.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]
 
[emoji881][emoji881] more nonsense from Putin's speech

_ western elite have become a symbol of unprincipled lies

_the west offers the idea of gender- neutral god.forgive them,lord , they know not what they do

_pedophilia is becoming the norm in the west, priests approve same sex marriage,[emoji881][emoji881]
 
Hizo zitabaki historia tu Kama zinavyobondwa himars [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hizo silaha zimemfanya fashsti Putin aachane na mission za mikwara maana kaona mikwara yake haisaidii kitu, badala yake vijana wake wanazidi kuchinjwa tu 🥱🥱
 
Huoni kuwa idadi kubwa ya wanajeshi wa Ukraine inaendelea kupukutika,hiyo sio demilitarization?Au mwisho wa siku jeshi la Ukraine likifyekwa,NATO itaingiza majeshi yake rasmi?
Wanajeshi wa pande zote wanapukutika...ila raia wa Ukraine wanaumia na nchi yao inaharibiwa.
 
Mkuu hayo Ni Mambo ya kijasusi . Kwa fikra zako za kushindana Nani Yuko free zaidi kutembea ugenini ama nyumbani Kati ya Leutenant colonel Putin na Joe Biden we ishu hii umeifanya ya kejeli na mashindano humu but kijasusi hata Bongo, aghalabu wengi ya watu wa kawaida huko wilayani, mikoani no ambao hukutana na kusalimia a na Rais Kama Raia was kawaida huwa Ni majasusi kwa kazi maalum ya kuhakikisha usalama Rais.
Nb
Rais wa Russia Ni moja ya viongozi wakubwa na wenye ushawishi zaidi duniani. Na Ni kiongozi wa moja ya taifa kubwa zaidi duniani lenye hadhi ya veto power na maelfu ya nyuklia missiles ambazo Ni fahari na Ulinzi wa taifa Hilo. Hivyo basi umuhim wa Ulinzi juu yake kwa satellite, madege, magari, makombora si Kwamba Ni uoga, Bali Ni kuepushia mbali adui ambae either kwa bahati mbaya ama nzuri akawez kumuua Putin Hilo litakuwa Janga ambalo si Mimi Wala we'we tutahimili athari zake

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Unaonaje ukamuandikia hivi Bwana Utam aliyekuwa anabeza Biden kutoa taarifa kwa Russia, eti naomba ruhusa. Na yule aliyebeza Biden kutumia treni. Au ushabiki unauona kwangu tu.

Lt. Col. Putin alifeli alipokuwa East Germany na ukuta wa Berlin ukaanguka. He served well in a failed mission
 
putin bwana, ukitegemea nyumbani kwake atapika wali mweupe basi yeye ndio anapika pilau.
siku unayodhani atapika sembe basi yeye anapika muhogo

vile watu walikuwa wanasubiria mambo yaleee ila:
.
No "decleration of war"
No "change the status of the SMO"
No "Mass mobilization"
No "we will nuke you all"
 
Back
Top Bottom