Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lengo la mtu ilikuwa kubadilisha utawala

Kavamia kutoka kila upande

Kateka hadi Uwanja wa Ndege ulio karibu na Kyiv (15km)

Wakamshtukia wakamfurusha

Kapanga foleni ya KM 64, kila mtu akaamini Kyiv ishaisha, West wakatuma maombi Rais wa Ukraine akimbie watampa Asylum, jamaa akagoma akasema nipeni silaha.
Kilichotokea ni historia, wanajeshi bora wakapigwa kipigo takatifu.

Wakabanwa wee wakaanza kimbia mdogo mdogo

Mara pa Kharkiv ikatemwa, kidogo Kherson

Yaani mtu akaanza kimbia kinyume nyumr kama Bus la Simba SC

Hatuja kaa sawa

Kalazimisha watu waingie jeshini, mtu 300,000

Akaanza piga mabomu miundombinu ya umeme, akipiga inawashwa, akaona haitoshi akaanza shusha magorofa na kuua watu.

Mwisho kakimbilia Iran kuomba msaada.

Hadi leo Kyiv inasimama
Aseeee.....
 
Huwa sina shida na Dmitry Peskov msemaji, hata Dmitry Rogozin ingawa alipoumizwa na HIMARS strike ni kama nilifurahia kutokana na chuki tunayotengenezeana humu. Sijui anaendeleaje taarifa zake hatupewi I hope operation ilifanikiwa. Aliiongoza vizuri Roscosmos na majigambo yake yalikuwa yanachekesha hayana madhara
Yaani mtu akuchukize humu ..uende ukamchukie mwingine maulaya huko ...Kuna tatizo pahala.....
 
[emoji95][emoji95][emoji95] NATO regrets about decision of Moscow to suspend participation in the Treaty on the reduction of offensive arms, said Stoltenberg and cried [emoji95][emoji95][emoji95]
Hao hawaaminiki tena sasa hivi. Wangeanza kwanza kuheshimu mkataba wa Minsk kabla ya kuomba START3.

Mzee baba kawaweka 'on hold' amalize yake kwanza.
 
Kaoga hako kajamaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wafaransa kiasili Ni waoga Sana. Hawapendi Vita coz hawaiwezi Vita licha ya kuwa Ni moja ya nchi zilizoendelea zaidi duniani kiuchumi, kiusalama nk.
Ni wafaransa waliokubali kushindwa dhidi ya Hitla siku ya Saba TU tokA uvamizi ulipoanza.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wale wanaojiliwaza kwa kusema kulikuwepo mawasiliano yaliyohusisha urusi kabla ya ziara ya Biden mjini Kyiv waione hii[emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji1255][emoji631] Russian federation was warned about Biden's visit to Kyiv,but the Russian side did not provide any security guarantee , the financial times reported, citing US national security advisor [emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]"we must clearly say that the future of Ukraine lies in the euro- Atlantic family.when this war end,we must create a long term security mechanism for Ukraine "NATO secretary Jens stoltenberg said during the tripatite meeting with Joseph borell and dymitro kuleba [emoji298][emoji298]
 
Wafaransa kiasili Ni waoga Sana. Hawapendi Vita coz hawaiwezi Vita licha ya kuwa Ni moja ya nchi zilizoendelea zaidi duniani kiuchumi, kiusalama nk.
Ni wafaransa waliokubali kushindwa dhidi ya Hitla siku ya Saba TU tokA uvamizi ulipoanza.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wale Wanajua Starehe tu
 
Mwamba Kazungumza Lisaa limoja na Dk Kazaa
Katulia Zake
Sasa Panya Wanachomoka Mashimoni Na Kuhaha Kila Mmoja Anasema Lake
Sasa Watu ndio Watambua Urusi sio Zimbabwe Kauli ya Putin tu Vinyesi Vimewajaa Kila mmoja Anakuja na Tamko lake
Nilitamani Putin Arudi tena Aongeze ongeze Nyama
 
Mchina Anauliza Kwann Inakuwa Vyema Nyie kupeleka Silaha Kwa Ukrein na Inakuwa Taabu Mimi kupeleka Silaha Urusi Mnaogopa nn hasa!
Majibu Hayaeleweki wamebakia Kubwa bwaja tu

Wao kama Wameamua Ukrein iwe Dampo na Test ya Silaha
watulie Kila Taifa Liwe Huru Kuwa na Upande Na Kutest Silaha
 
🇷🇺🇺🇦🇺🇸☢️⚛️"US calls on Russia to adhere to its commitments not to wage a nuclear war and to behave responsibly in this area, despite the conflict in Ukraine," - State Department
Atulie Yeye si Super power!
Mziki ndio unaanza Yaani Mrusi Tulisema Kama wanategemea Atashindwa pale Ukrein Wasahau labda Aamue Kuacha tu
 
Back
Top Bottom