Hii mitandao inatakiwa tuitumie vyema sana aseeee
Kuna jambo hapa unaweza ukalitaipu ukaona limepita kumbe likadumu milele ama likadumu miaka mingi
Halaf wewe utakua umeishajisahau watu wanakuja kufukua makaburi nandio linamgharibu jamaa kwasasa
Watu wanamfanyia mzaha ingawaje nimaneno ya kweli acc tu yeye mwenyewe ila sasa watu wamemfanya apanic
Nakweli tokea watu wapate ile post wanaitumia sana dhidi ya jamaa kiasi kwamba jamaa anahamaki sanaaa
Kuna mambo sio yakupost kwenye mitandao iwe unafanya ama hufanyi inatakiwa ukae nayo tu moyoni
BOSS
T14 Armata anatakiwa akubaliane na hali tu kua aliteleza na sasa watu wanatumia yale yale aloyasema kumfanyia inda
Akae kwakutulia
Ila bado jamaa namkubali ingawaje kuna muda anazidiwa na hisia anatukanana na watu
Kwenye mitandao yakijamii sio sehem zakutukana nisehem zakufanya mambo yastarehe na burdan na mambo makubwa tuuu
Kuna ignore block nk ukiona mtu anakutukana na unashindwa deal nae piga block
SMO iendeleeeee.......