Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo hayp yote zilikywa ni assumption za west; hivyo mmepigwa chenga[emoji23]
Yaani watu wanataka Putin afanye wanayotamani...et jamaa anasema nilitarajia, hiki na kile....blahblah.....[emoji1][emoji1]Watu wanajipa umuhimu ambao hawana kabisa....Yaani leo hii Putin aanze kufanyakazi kwa wishes na matamanio ya watu....??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana kuna nchi ilikuwa yafanya majaribio ya ICBM wakati Biden yuko Kyiv ila failure ikatokea.
[emoji298][emoji298] Russia's nuclear-capable intercontinental ballistic missile sarmat appears to have failed a test launch around February 20, CNN reported citing US officials familiar with the matter [emoji298][emoji298]
 
UJUMBE WA BIDEN KWA DUNIA...

” Biden said. “I can report: Kyiv stands strong, Kyiv stands proud, it stands tall and, most important, it stands free.”
Easier said than done....uzuri hata Western political, intelligence and military analysts admit that Mambo ni magumu kwa pande zote na duniani kwa ujumla...
 
Hapa mandharinyuma kidogo kuhusu silaha za babu Putin, leo: Roketi ya Zirkon, inayokimbia kwa Mach 9, lakini ina matatizo kulenga vema kama lengo halisubiri:
Maana si rahisi kupambana na kanuni za fizikia.
Soma kwa undani:

Putin's 'invincible' missile has a very common problem​

  • Putin has touted Russian hypersonic weapons like the Zircon missile as impossible to defend against.
  • Zircon in particular is powerful but there are limits on what it can do, a Western expert says.
  • Like other high-speed weapons, the Zircon's velocity may come at the expense of its accuracy.
Russia's Zircon hypersonic missile can do two things: fly at almost 7,000 mph, which makes it very hard to shoot down, or hit a moving ship. But it can't do both.
Putin's rhetoric can't change the laws of physics. The problem is that objects traveling at hypersonic speeds — Mach 5 and beyond — ionize the air around them, creating a sheath of plasma around the object that blocks radar signals.
Yet radar is precisely how many guided missiles home in on their targets. Once the missile arrives near a designated point, an active radar seeker in the nose switches on, scans the area, and locks on target.
Kwa hiyo West iko salama ni vema ipeleke majeshi huko Ukraine
 
Easier said than done....uzuri hata Western political, intelligence and military admit that Mambo ni magumu kwa pande zote na duniani kwa ujumla...
Mambo ni magumu yes sababu Putin hataki responsibilities - yaani ni sawa na wewe unapogombana na chizi dhaifu lakini ana kisu na panga.
Dunia lazima iwe makini ku-deal na mtu kama huyu ambaye anataka kuifanya Dunia iwe kwenye threat. He will be fixed ni suala la muda tu.
 
Wamarekani wamrudishe Huyu mwamba, huyu jamaa licha ya madhaifu yake yote ila jamaa ni mpenda amani sana na sisi wapenda amani tunamuunga mkono.

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani.

Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwakani 2024 ametoa kauli hiyo Florida, Marekani ambapo amesema ataimaliza vita hiyo akishatangazwa Mshindi tu hata kabla ya kuapishwa.

“Nikishinda tu sitosubiri hadi kuapishwa, nitampigia simu Rais wa Urusi, Putin na Rais wa Ukraine, Zelensky na kuwaambia tunapaswa kuonana, nawahakikishia nitamaliza vita hivi, nitamwambia Putin hivi na kumwambia Zelensky vile na tutakuwa na dili ya kumaliza vita ndani ya saa 24 tu”

Trump amekosoa pia kitendo cha Rais Biden kuidhinisha pesa za kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo na kusema kufanya hivyo ni kama Marekani inachochea vita zaidi na kufanya Watu wengi waendelee kupoteza maisha “Namjua Putin hawezi kukubali kushindwa vita kwa kumtunishia msuli au kumuonesha ubabe, bali kwa njia bora za mazungumzo, Urusi imeshinda vita nyingi ina silaha na mbinu kibao za vita huwezi kuishinda kirahisi kwa kutumia mabavu”
1677054838031.jpg
 
Mambo ni magumu yes sababu Putin hataki responsibilities - yaani ni sawa na wewe unapogombana na chizi dhaifu lakini ana kisu na panga.
TotaDunia lazima iwe makini ku-deal na mtu kama huyu ambaye anataka kuifanya Dunia iwe kwenye threat. He will be fixed ni suala la muda tu.
Ambao wanapaswa kuwa makini ni West ambao wanataka dunia ifuate totalitarian democracy....theluthi mbili ya watu wa kawaida duniani wanamuunga mkono Putin.....ni Europe, USA, Canada na Australia na New Zealand ndio wanaunga mkono Biden, West na NATO....lakini most of Africa, Asia, Marekani ya kusini na Middle East wanaiunga mkono Russia....
 
Yaani watu wanataka Putin afanye wanayotamani...et jamaa anasema nilitarajia, hiki na kile....blahblah.....[emoji1][emoji1]Watu wanajipa umuhimu ambao hawana kabisa....Yaani leo hii Putin aanze kufanyakazi kwa wishes na matamanio ya watu....??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mkuu sidhani yeyote anategemea Putin atimize matakwa ya wengine. Ila wengi wanataka aheshimu ahadi na mikataba ya nchi yake, kama vile huheshimu na kulinda uzima wa mipaka ya Ukraine (mkataba wa 1994) na mikataba ya Helsinki na mikataba na ahadi kuhusu kuheshimu na kutunza haki ya kimataifa.
 
anataka kuwapangia wa Ukraine nani awe rafiki yao na nani asiwe, hataki kabisa Ukraine kujihusisha na NATO kwa namna yoyote ile sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha usalama wa Urusi.
 
anataka kuwapangia wa Ukraine nani awe rafiki yao na nani asiwe, hataki kabisa Ukraine kujihusisha na NATO kwa namna yoyote ile sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha usalama wa Urusi.
Akiamini vile, sawa. Ila katika mikataba aliyowahi kukubali si shauri lake nchi nyingine inashirikiana na nani.
Katika utaratibu wa haki ya kimataifa mataifa yanaheshimiana na kila moja lijiamulie.
Pamoja na hayo yote Putin anapata sasa kwanza jirani FInalnd kuwa mwanaNATO kwa sababu baada ya miaka mingi ya kutofungamana na yeyote Finland inaona sasa Putin kuwa jirani hatari; kabla ya mashambulio ya URusi wala NATO wala EU hawakuwa tayari kupokea Ukraine, sasa uwezekano mkubwa itapokelewa (ikifaulu kudhibiti rushwa)....
 
Mkuu huwezi kujadili kama mtu mzima? NATO kutopeleka askari Ukraine hakika so hofu ya roketi hiyo . . . wala ya ndege yoyote wala vifaru vya Urusi, wala wanajeshi au wafungwa wake . . . . Nadhani unaijua
Hebu nikuulize hivi wewe unajadili Kama mtu mzima?! Tangu lini?! Kuunga mkono imperialism na homosexuality ndio utu uzima huo?! Stupid, very stupid indeed..
 
Hebu nikuulize hivi wewe unajadili Kama mtu mzima?! Tangu lini?! Kuunga mkono imperialism na homosexuality ndio utu uzima huo?! Stupid, very stupid indeed..
kwa nini mkibananishwa mnakimbilia hoja ya ushoga ili kupata sehemu ya kijibanza? mnakuwa ka CCM wakati wa kujibu hoja za Lissu 😀 😀

Hivi kuna nchi duniani sasa hivi haina mashoga? mbona TZ mashoga yamejaa kibao, Urusi pia yapo tena kibao tu.
 
Back
Top Bottom