Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu n [emoji117][emoji249][emoji249] leopard au n Abraham [emoji117][emoji117][emoji240][emoji240]

[emoji1218][emoji1218][emoji1218][emoji1218]
Ni silaha thabiti ya kirusi. Ina uwezo wa kuruka hadi mita 15.
FMqHQHLaUAE7BkW.jpg

Kama hujasikia bado: Vifaru vya Kirusi hutembea vikitunza akiba ya grenedi moja kwa moja ndani ya chumba cha Kifaru. Kikipigwa, grenedi hulipuka, kuua askari wote 3 na kurusha kichwa cha bunduki juu.
Waliona ni udhaifu (kwa sababu matukio hayo huua askari wote ndani ya kifaru) na hapo walibuni aina mpya inayoitwa T14 Armata. Hapo grenedi hutunzwa katika chumba cha pekee ndani ya kifaru, sawa na vifaru kama Leopard au Abrams.
Ila hadi sasa tasnia ya Urusi imeshindwa kuvitengeneza T14 Armata. Hadi sasa kuna magari machache, labda 20, 30 yaliyotumiwa kwa madhumuni ya paredi.
 
Hii hasara ambayo Rusia amesababishia dunia. Haya mauaji yanayoendeshwa na Rusia na uharibifu Ukraine.
Eti aruhusiwe kushiriki michezo na dunia. HAPANA

Huyu Putin na Rusia wake sio ndugu ya Dunia tena katika jambo lolote
Hahahah utateseka sana, hio olympic ina mchango gani kwenye uchumi wa Urusi!? 🤣

Subirieni Urusi imalizie kipigo na kuichukua Ukraine mazima ili hao mabwana zenu waufyate. Siku Brics ikisimama vyema mtakuja tu wala hatuna presha na watanzania wanafiki.
 
Mwamba wa uingereza akikagua jinsi vijana wakakamavu wa rais zelensiky wanavyopiga zoezi..,View attachment 2525158
Mimi ni pro russia. Ila naomba niku sahihishe hapa.

Mtu akishapata Military training hutakiwi kumuita "mkakamavu"

Unapotumia neno "mkakamavu" ni sawa na kuwafananisha na kama mgambo hivi au sungusungu.
 
Mchina Anauliza Kwann Inakuwa Vyema Nyie kupeleka Silaha Kwa Ukrein na Inakuwa Taabu Mimi kupeleka Silaha Urusi Mnaogopa nn hasa!
Majibu Hayaeleweki wamebakia Kubwa bwaja tu

Wao kama Wameamua Ukrein iwe Dampo na Test ya Silaha
watulie Kila Taifa Liwe Huru Kuwa na Upande Na Kutest Silaha
Mchina kaamua kumaliza ukimya, wao watulie bana kwanini mambo wakifanya wao ni sahihi ila akifanya mwengine wanamuona gaidi au anavunja utaratibu. 😀😀😀
 
Br Ni mjinga tu atabisha ukweli Kwamba Moscow ilipata taarifa za uwepo wa Biden mjini Kiev na ndo maana hawakujaribu kufanya uchizi wowote ambao bila shaka ungeileta dunia kwenye mgogoro wa silaha nzito zaidi za kinyuklia.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu USA haitaji nyukilia kumshambulia Russia ila Russia anahitaji nyukilia kumshambulia USA.
 
[emoji298][emoji298] president volodymyl zelensiky met with Italian prime minister Giorgia melon in Kyiv [emoji298][emoji1255]
 
Mimi ni pro russia. Ila naomba niku sahihishe hapa.

Mtu akishapata Military training hutakiwi kumuita "mkakamavu"

Unapotumia neno "mkakamavu" ni sawa na kuwafananisha na kama mgambo hivi au sungusungu.
Hiyo ni tafsiri yako.., siwezi kukubishia, lakini haiondoi maana ya kile nilichoandika!
 
[emoji298][emoji298][emoji1255][emoji1255] Biden addresses the Russian people;
"The US and the nations of Europe do not seek to control or destroy Russia.the West was not plotting to attack Russia,as Putin said today.this war was never necessary.its tragedy, president Putin chose this war [emoji631][emoji631][emoji1255][emoji1255]
Zelegaynsky chose to ignore the Minsk agreement. Thats the cause of war!
 
Mimi ni pro russia. Ila naomba niku sahihishe hapa.

Mtu akishapata Military training hutakiwi kumuita "mkakamavu"

Unapotumia neno "mkakamavu" ni sawa na kuwafananisha na kama mgambo hivi au sungusungu.
Tafuta maana ya neno 'mkakamavu'......huenda linakutatiza.

Askari anatakiwa kuwa mkakamavu na sio goigoi.
 
Maandalizi yalifanyika siku nyingi, mabango yalipangwa mijini na tv stations zilikuwa zinakumbusha. Jana wakaanza countdown ya bado masaa mangapi wakati Biden alipoenda Ukraine, nikajua kuna big issue kumbe hotuba ya kawaida.

It was expected atatoa hotuba kabla ya 24th na hiyo tarehe ikifika mashambulizi ya anga yatafanyika mengi. Bahkmut na Vuhledar zilibidi ziwe mikononi mwao kabla ya tarehe hiyo. New mobilization was ruled out by now. Otherwise ni kama Putin ameamua kuwa relaxed na hana tena expectations kubwa. Sasa hivi vitisho vya gesi, nyuklia, don't provide Ukraine with weapons havipo. Leo kafanya zaidi kuwaelezea wananchi
Tatizo hayo yote zilikywa ni assumption za west; hivyo mmepigwa chenga😂
 
Kumbe, upendo unaanza kuzidi katika milki ya babu Putin:

Boss of Wagner mercenary group accuses Russian army chiefs of ‘treason’​

Yevgeny Prigozhin says Moscow is refusing to supply the group with munitions and other supplies in Ukraine

 
Hapa mandharinyuma kidogo kuhusu silaha za babu Putin, leo: Roketi ya Zirkon, inayokimbia kwa Mach 9, lakini ina matatizo kulenga vema kama lengo halisubiri:
Maana si rahisi kupambana na kanuni za fizikia.
Soma kwa undani:

Putin's 'invincible' missile has a very common problem​

  • Putin has touted Russian hypersonic weapons like the Zircon missile as impossible to defend against.
  • Zircon in particular is powerful but there are limits on what it can do, a Western expert says.
  • Like other high-speed weapons, the Zircon's velocity may come at the expense of its accuracy.
Russia's Zircon hypersonic missile can do two things: fly at almost 7,000 mph, which makes it very hard to shoot down, or hit a moving ship. But it can't do both.
Putin's rhetoric can't change the laws of physics. The problem is that objects traveling at hypersonic speeds — Mach 5 and beyond — ionize the air around them, creating a sheath of plasma around the object that blocks radar signals.
Yet radar is precisely how many guided missiles home in on their targets. Once the missile arrives near a designated point, an active radar seeker in the nose switches on, scans the area, and locks on target.
 
Zelegaynsky chose to ignore the Minsk agreement. Thats the cause of war!
Mkuu bila shaka unajua na Urusi iliamua kupuuza mapatano ya Minsk. Haikuondoa silaha nzito katika eneo la Donbass, halafu iliagiza wafanye uchaguzi bandia huko.
Kwa bahati mbaya pande zote mbili hazina sifa nzuri katika jambo hili.
Kwa nini iwe sababu ya vita!
 
Mkuu bila shaka unajua na Urusi iliamua kupuuza mapatano ya Minsk. Haikuondoa silaha nzito katika eneo la Donbass, halafu iliagiza wafanye uchaguzi bandia huko.
Kwa bahati mbaya pande zote mbili hazina sifa nzuri katika jambo hili.
Kwa nini iwe sababu ya vita!
Ina maana hujui chanzo Cha mgogoro?
Mpaka viongozi kutoka West wakisema Minsk ilikuwa njia ya kubuy time huku wakiongeza nguvu za kijeshi Ukraine.

Halafu wewe Mnato unasema hujui chanzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom