Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani watu wanataka Putin afanye wanayotamani...et jamaa anasema nilitarajia, hiki na kile....blahblah.....[emoji1][emoji1]Watu wanajipa umuhimu ambao hawana kabisa....Yaani leo hii Putin aanze kufanyakazi kwa wishes na matamanio ya watu....??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yaani kawapiga chenga ya Mwaka wale wote waliojifanya wachambuzi wabobezi😂
 
Sawa,mungu akuhurumie kwa kweli [emoji120][emoji120][emoji120]
Huyo ni 'mungu' gani unamzungumzia wewe unayebwabwaja mambo usiyoyajua?! Au una maana ya 'Mungu' tunayemwabudu sisi watu duniani kwa mamilioni?! Kwa kumtaja 'mungu' inawezekana wewe ni mpagani na ni wewe ndiye wa kuhurumiwa hasa...na kwa hakika comments zako humu zinaoneeha upro wako wa issues mbalimbali upeo ambao ni wa chini kabisa...wewe ni wa kuhurumiwa na kuelimishwa..
 
Hakuna tusi hapo...because that is what you are...kwa kuwa unaonesha kutokomaa kwenye debates...how can you tell me ni-comment Kama mtu mzima...kwa kusema hivyo unadhani Hilo siyo tusi?!?! Stupid
Msamehe tu kichwa chake na vidole vinavyotype havina ushirikiano haoni kama kusema "haujadili kama mtu mzima" ni dhihaka/TUSI ..sasa utamsaidiaje wa hivyo....
 
Ndio maana nawaambieni kwamba hata kishindo Cha mjusi akidondoka kwenye kolidor za clemlin,ni tishio kwa Putin,

[emoji298][emoji350] “Attention, attention, the threat of a missile attack!”

On the morning of 22 February, radio announcements of an air-raid warning and a missile strike threat were made in 10 Russian cities.

Later the Russian Emergencies Ministry said that it was a hacker attack.[emoji779]
 
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani.

Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwakani 2024 ametoa kauli hiyo Florida, Marekani ambapo amesema ataimaliza vita hiyo akishatangazwa Mshindi tu hata kabla ya kuapishwa.

“Nikishinda tu sitosubiri hadi kuapishwa, nitampigia simu Rais wa Urusi, Putin na Rais wa Ukraine, Zelensky na kuwaambia tunapaswa kuonana, nawahakikishia nitamaliza vita hivi, nitamwambia Putin hivi na kumwambia Zelensky vile na tutakuwa na dili ya kumaliza vita ndani ya saa 24 tu”

Trump amekosoa pia kitendo cha Rais Biden kuidhinisha pesa za kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo na kusema kufanya hivyo ni kama Marekani inachochea vita zaidi na kufanya Watu wengi waendelee kupoteza maisha “Namjua Putin hawezi kukubali kushindwa vita kwa kumtunishia msuli au kumuonesha ubabe, bali kwa njia bora za mazungumzo, Urusi imeshinda vita nyingi ina silaha na mbinu kibao za vita huwezi kuishinda kirahisi kwa kutumia mabavu”
Trump kwa kauli hii sahau kuitawala tena US.
 
Huyo ni 'mungu' gani unamzungumzia wewe unayebwabwaja mambo usiyoyajua?! Au una maana ya 'Mungu' tunayemwabudu sisi watu duniani kwa mamilioni?! Kwa kumtaja 'mungu' inawezekana wewe ni mpagani na ni wewe ndiye wa kuhurumiwa hasa...na kwa hakika comments zako humu zinaoneeha upro wako wa issues mbalimbali upeo ambao ni wa chini kabisa...wewe ni wa kuhurumiwa na kuelimishwa..
Sema tu ukweli shekhe,Leo kidogo umevurugwa..,nafuatilia sana mwenendo wako humu.., lakini Hali uliyonayo Leo ni tofauti sana..,na Mimi staki nikuvuruge zaidi.., pole [emoji28][emoji28]
 
Mimi huwa nikitafakali hila jambo huwa nakosa jibu! Kwamba hataki Ukraine kuwa na urafiki na West lakini anataka iwe na Urafiki na Russia? Yaani taifa huru ulipangie rafiki wa kuwa naye kweli inaingia kwenye ubongo? Ili jambo la kuchaguliana marafiki ndilo kila siku linapigiwa kelele, Kwanini Poland mwenye mpaka mkubwa na yeye hasiwe Tishio kwa usalama wake lakini Ukraine awe tishio?
Poland ana mpaka mkubwa na Urusi ipi kushinda Finland !!??
 
Mimi huwa nikitafakali hila jambo huwa nakosa jibu! Kwamba hataki Ukraine kuwa na urafiki na West lakini anataka iwe na Urafiki na Russia? Yaani taifa huru ulipangie rafiki wa kuwa naye kweli inaingia kwenye ubongo? Ili jambo la kuchaguliana marafiki ndilo kila siku linapigiwa kelele, Kwanini Poland mwenye mpaka mkubwa na yeye hasiwe Tishio kwa usalama wake lakini Ukraine awe tishio?
Marekani anapovamia nchi za wenzie kwa visingizio visivyo na tija na kufanya uharibifu mkubwa huwa yeye hakoseagi au sio. Ila kwa kuwa Russia amekaza mnamuita majina yote ya hovyo.
 
[emoji779]️Last night in Ukraine, explosions were heard in occupied Makiivka, Khartsyzk, Debaltseve, Ilovaisk (Donetsk region) and the city of Donetsk.

There were also explosions in Sumy and the suburbs of Dnipro.
 
hakuna hata taifa moja limepangiwa na US namna ya kuishi bali mataifa yenyewe ndiyo yanavutiwa na mfumo wa US. kwa mfano NATO ilianza na mataifa chini ya 10 mwaka 1949 baada ya vita kuu ya pili ya Dunia ila sasa hivi yapo mataifa zaidi ya 30 tena mbaya zaidi mataifa yaliyo kando kando ya Urusi ambayo yaliyokuwa kwenye umoja wa Sovieti yamejiunga na NATO na meingine kama Poland na Sweden pia yameomba kujiunga jiulize kwa nini? Mrusi anakwama wapi? Je US aliwawekea mtutu masikioni ili wajiunge?
Mkuu US imeingilia na kupindua serikali za nchi ngapi duniani???Hiyo ndo kupenda unayosema?Hata hizo nchi zinazojiunga NATO in real sense ni kama Vasal states za US tu....USA imekua ikizitongoza hizi nchi kwa viprogramme kibao....mwisho wa siku nchi inajikuta tayari....hata hii Ukraine ipo kwenye biprogramme vya chini kwa chini kibao...@wanarubuniwa tu....

Ukitaka kujua NATO ni US na US ndo NATO, angalia kipindi cha Trump..jinsi alivoitikisa NATO kwa kutaka wachangie gharama zao sawasawa.....na hizo hela anazoweka US ni kama TAKRIMA tu

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️Russia’s nuclear-capable intercontinental ballistic missile Sarmat appears to have failed a test launch around February 20, CNN reported, citing US officials familiar with the matter.[emoji298]
 
Kama Kuna mtu ana ndoto kwa Russia kushinda hii vita,basi akapimwe akili [emoji28]

[emoji298]️The US is providing Ukraine a long-range GPS-guided Jdam-ER bomb kit that’s capable of hitting targets 70 kilometers away, Bloomberg reported.[emoji298][emoji298]
 
Sema tu ukweli shekhe,Leo kidogo umevurugwa..,nafuatilia sana mwenendo wako humu.., lakini Hali uliyonayo Leo ni tofauti sana..,na Mimi staki nikuvuruge zaidi.., pole [emoji28][emoji28]
Endelea kuwa na mawazo hayo....mtu hujui hata maana ya 'kuvurugwa'.. Hujui hata kutofautisha Kati ya 'mungu' na 'Mungu' au 'god' na 'God' halafu mnavamia mijadala sensitive Kama hii....kutwa nzima mtu anaimba 'fashisti', ' mwamba' na kadhalika....yaani Hawa moderators sijui vipi?! Watawaachaje humu watu wa aina yako'?!
 
Mimi huwa nikitafakali hila jambo huwa nakosa jibu! Kwamba hataki Ukraine kuwa na urafiki na West lakini anataka iwe na Urafiki na Russia? Yaani taifa huru ulipangie rafiki wa kuwa naye kweli inaingia kwenye ubongo? Ili jambo la kuchaguliana marafiki ndilo kila siku linapigiwa kelele, Kwanini Poland mwenye mpaka mkubwa na yeye hasiwe Tishio kwa usalama wake lakini Ukraine awe tishio?
Hivi Poland anashare mpaka na Russia?Mnaandika tu bila kuwa na uhakika na mnayoandika!
Nijuavyo Mimi Poland anashare mpaka na Ukraine!
 
hakuna hata taifa moja limepangiwa na US namna ya kuishi bali mataifa yenyewe ndiyo yanavutiwa na mfumo wa US. kwa mfano NATO ilianza na mataifa chini ya 10 mwaka 1949 baada ya vita kuu ya pili ya Dunia ila sasa hivi yapo mataifa zaidi ya 30 tena mbaya zaidi mataifa yaliyo kando kando ya Urusi ambayo yaliyokuwa kwenye umoja wa Sovieti yamejiunga na NATO na meingine kama Poland na Sweden pia yameomba kujiunga jiulize kwa nini? Mrusi anakwama wapi? Je US aliwawekea mtutu masikioni ili wajiunge?
Vp kuhusu china kuwekewa nongwa na west km ataiuzia silaha urusi
 
President Putin amekutana na Chinese Foreign Minister leo Moscow.


Putin.png
 
PUTIN hana shida na Finland kuingia NATO. ana shida na Ukraine kuingia NATO. hayo ameyasema mwenyewe. Kama Finland inataka kujiunga na NATO kila la kheri kwao na wala sio hatari wala hasara kwa Urusi. Ila Ukraine kujiunga NATO ni hatari na hasara kwa usalama wa urusi.

Ni scenario mbili tofauti na hazina uhusiano wowote.

Uhuru wa mmoja unaishia pale uhuru wa mwengine unapoanzia. Uhuru wako haupaswi kuingilia/kuathiri uhuru wa mwengine. Kwa lugha nyingine kila uhuru una mipaka na bila ya mipaka uhuru unakuwa ni uwendawazimu.
Kwanini Ukraine kuwa Nato ni hatari kwa Urusi kuliko Finland kuwa Nato ?
 
Back
Top Bottom