Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]Under its new military aid package, Italy will provide Ukraine with Spada and Skyguard air defense systems beyond the SAMP-T/Mamba, which it earlier pledged to deliver, Italian Prime Minister Giorgia Meloni said on Feb. 21.

Speaking at a joint press conference with President Volodymyr Zelensky in Kyiv, Meloni ruled out supplying Western fighter jets to Ukraine for the time being. [emoji298][emoji298]
 
Bakhumut bado mambo mazito

[emoji298][emoji298]Near Bakhmut, Donetsk region, border guards repelled a russian troops’ attack, killed 10 invaders, and captured a soldier of PMC Wagner.[emoji1255][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]The Armed Forces of Ukraine eliminated about 145,060 russian soldiers from February 24, 2022, to February 22, 2023, including 620 in the past day alone.[emoji298][emoji298]
 
Mkuu unaamini kweli kama jirai yako siku moja anaanza kukuangalia na kusema: Wewe ni hatari kwangu! halafu anaanza kukupiga - je unaamini hana akili sawasawa au utasema "Haya, ni haki yake!"?
Mfano mfu kabisa,Russia na Ukraine Wana uhasama wao wa muda mrefu!
Sio kwamba Russia kakurupuka tu Leo na kuamua kumchapa Ukraine!
Putin mwenyewe kaeleza taarifa za kiintelejensia zilizokuwa zikiwafikia ni kuwa Ukraine alijiandaa Kwa offensive Donbas region na baadae mpaka Crimea!
Ndio maana baada ya hii SMO,akaja na kauli ya vilianzia Crimea na vitaishia Crimea!
Hii imethibitisha kuwa intelejensia ya Russia Ilikuwa sahihi!
 
Nchi inaendeshwa kwa mkono wa chuma!!
Screenshot_20230222-174437.jpg
 
Mkataba wa START “Strategic Arms Reduction Treaty" aliouvunja Putin jana huu hapa... Huu ulisainiwa mwaka 2010 na pande zote mbili.

  • Deploying no more than 1,550 strategic nuclear warheads and a maximum of 700 long-range missiles and bombers.
  • A limit of 800 intercontinental ballistic missiles in deployment.
  • Each side can conduct up to 18 inspections of strategic nuclear weapons sites yearly to ensure the other has not breached the treaty’s limits.
Sijaona mkataba hapa...nimeona issues tatu hivi zilizomo kwenye mkataba
 
HUU NI MTAZAMO WANGU

Mpaka sasa west na marekani kuna maandamano watu walilalamika
1) ughali wa maisha,

2)kuwataka viongozi wao kuachana na vita Ukraine

3)wakitaka NATO ivunjwe

Kwa upande mwingine mpaka sasa urusi inauza gas na mafuta Kwa price cap na ulaya wanapata gas Kwa bei ya chini kabisa kuliko hata ilivyokuwa kabla ya kuanza Kwa hii SMO, baada ya kuwekewa price cap mrusi bado anawauzia gas na mafuta hii imesababisha viongozi wa west waamini kuwa, wamemdhibiti urusi mpaka imefikia wanataka kuja na wazo la kuongeza uzalishaji wa viwanda vyao vya silaha Kwa ajili ya kupeleka Ukraine ili waweze kuendana na Kasi ya urusi kuzalisha silaha

Ila ninachokiona mrusi kawatega west na kuwafanya wawe mateja na gas na mafuta yake Kwa bei ya price cap, ili baadae aje kutumia kama Kura yake ya turufu,

Kuna kipindi kinachokaribia uchaguzi urusi ataacha kuuza gas Kwa nchi za west na kupunguza uzalishaji wa mafuta,
Hii itapelekea machafuko na maandamano Kwa nchi za west, hapa viongozi wa west watajikuta wako njia panda, waendelee kuzalisha silaha za Ukraine au waangalie mahitaji ya wananchi wenye hasira walio kwenye mabarabara wakiandama kudai unafuu wa maisha baada ya mfumuko wa bei?
Upande mwingine mrusi ndiyo anazidisha Moto hapo Ukraine na huku uchaguzi unakaribia na kipindi cha kampeni kinaanza

Nikiangalia na hili la trump kugombea na nchi nyingi za west zinaelekea kwenye uchaguzi,
Kitakachotokea ni urusi kuongezea chuki ya wananchi waliyokuwa nayo Kwa viongozi wao waliopo madarakani ,

Hapa urusi kupitia OPEC+watapunguza uzalishaji wa mafuta Kwa mapipa 2milioni
Na urusi ataacha kuuza gas Kwa ulaya Kwa kisingizio anapata hasara baada ya ulaya kutangaza price cap, hii itasababisha mfumuko wa bei na ugali wa maisha, viwanda kufungwa Kwa kukosa nishati, watu kukosa kazi na itasababisha chuki kubwa Kwa viongozi wao,

Hapa ndiyo watu kama trump watarudi madarakani na ukumbuke trump ndiyo rais aliyetaka marekani ijitoe NATO na iachie kuifadhili NATO, na marekani akitoka NATO hakuna nchi ya ulaya itabakia hapo
Na kama NATO itavunjika Kwa namna moja au nyingine hakuna haja Vita yaani automatically Vita itaisha, ndiyo maana trump anasema atamaliza Vita ndani ya Saa 24
 
Mkuu unaamini kweli kama jirai yako siku moja anaanza kukuangalia na kusema: Wewe ni hatari kwangu! halafu anaanza kukupiga - je unaamini hana akili sawasawa au utasema "Haya, ni haki yake!"?
Ukisema hana akili sawasawa au ukasema ni haki yake nini tofauti!? Vyovyote utavyosema yeye atakupiga! Ukijihakiki mwenyewe inaweza kusaidia. Je kweli wewe si adui na hatari kwake!?
 
Mfano mfu kabisa,Russia na Ukraine Wana uhasama wao wa muda mrefu!
Sio kwamba Russia kakurupuka tu Leo na kuamua kumchapa Ukraine!
Putin mwenyewe kaeleza taarifa za kiintelejensia zilizokuwa zikiwafikia ni kuwa Ukraine alijiandaa Kwa offensive Donbas region na baadae mpaka Crimea!
Ndio maana baada ya hii SMO,akaja na kauli ya vilianzia Crimea na vitaishia Crimea!
Hii imethibitisha kuwa intelejensia ya Russia Ilikuwa sahihi!
Urusi iliahidi katika mkataba wa mwaka 1994 kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea! Mipaka hii ni pamoja na Krimea na Donbas. Putin alianza vita 2014 kwa kuvamia Dombas na Krimea.
Sasa kama jirani yako alifanya mktaba nawe na kupokea malipo (=Ukraine kukabidhi silaha za nyuklia kwa hiari yake kabisa, Urusi haikudai, zilikuwa pamoja na nchi za magharibi zilizoshawishi Ukraine kukabidhi silaha Urusi) na sasa jirani yako anaanza kukipiga akidau unakalia ardhi yake, au wewe unapaswa kumtii . . . . .

Katika dunia ya kawaida kuna polisi na huduma ya afya ya kiakili itakayomchukua yule babu jirani yako maana ni dhahiri amechanganyikiwa na hatari kwake mwenyewe na kwa wengine . . .
 
Tatizo la watu hapa wanayachukua ya upande wao kama ndio absolute truth. Yaani Putin anasema kbs wana migogoro na ugomvi wa maeneo na Ukraine mtu anakuja na kusema hakuna shida yeyote iliyokuwepo ni urusi tu kaamua kuivamia Ukraine.

Move ya Finland kutaka kuingia NATO ilikuwa na kusudio la kuonesha dunia na hasa warusi kwamba smo yenye lengo la kuzuia NATO isijitanue ndio kwanza imechochea NATO kujitanua zaidi mpk ncho zilizokuwa hazina mpango zinataka kujiunga. Bahati nzuri Putin kawaumbua NATO ijitanue mpk inapotaka lkn sio Ukraine au popote ambapo urusi hataki ifike.

Kawakwepa kijanja!
 
Urusi iliahidi katika mkataba wa mwaka 1994 kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea! Mipaka hii ni pamoja na Krimea na Donbas. Putin alianza vita 2014 kwa kuvamia Dombas na Krimea.
Sasa kama jirani yako alifanya mktaba nawe na kupokea malipo (=Ukraine kukabidhi silaha za nyuklia kwa hiari yake kabisa, Urusi haikudai, zilikuwa pamoja na nchi za magharibi zilizoshawishi Ukraine kukabidhi silaha Urusi) na sasa jirani yako anaanza kukipiga akidau unakalia ardhi yake, au wewe unapaswa kumtii . . . . .

Katika dunia ya kawaida kuna polisi na huduma ya afya ya kiakili itakayomchukua yule babu jirani yako maana ni dhahiri amechanganyikiwa na hatari kwake mwenyewe na kwa wengine . . .
The memoranda, signed in Patria Hall at the Budapest Convention Center with US Ambassador Donald M. Blinken amongst others in attendance,[2] prohibited the Russian Federation, the United Kingdom and the United States from threatening or using military force or economic coercion against Ukraine, Belarus, and Kazakhstan, "except in self-defence or otherwise in accordance with the Charter of the United Nations." As a result of other agreements and the memorandum, between 1993 and 1996, Belarus, Kazakhstan and Ukraine gave up their nuclear weapons.[3][4]
 
Urusi iliahidi katika mkataba wa mwaka 1994 kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea! Mipaka hii ni pamoja na Krimea na Donbas. Putin alianza vita 2014 kwa kuvamia Dombas na Krimea.
Sasa kama jirani yako alifanya mktaba nawe na kupokea malipo (=Ukraine kukabidhi silaha za nyuklia kwa hiari yake kabisa, Urusi haikudai, zilikuwa pamoja na nchi za magharibi zilizoshawishi Ukraine kukabidhi silaha Urusi) na sasa jirani yako anaanza kukipiga akidau unakalia ardhi yake, au wewe unapaswa kumtii . . . . .

Katika dunia ya kawaida kuna polisi na huduma ya afya ya kiakili itakayomchukua yule babu jirani yako maana ni dhahiri amechanganyikiwa na hatari kwake mwenyewe na kwa wengine . . .
Haina maana kama aliahidiwa kuheahimiwa mipaka yake basi ndio afanye lolote analotaka kisa ana ahadi ya kutokuguswa.
 
We do not have such problems with Sweden and Finland, which, unfortunately, we have with Ukraine. We have no territorial issues… no disputes… we have nothing that could bother us from the point of view of Finland's or Sweden's membership in NATO.
Nato kuwa mpakani mwenu hapo Finland sio tatizo ila mpakani mwenu hapo Ukraine ndio tatizo

Hapo Finland punde tutawaona askari wa nato wakivinjari mpakani hilo halitakuwa tatizo kwenu ?....kwa hiyo hoja ya nato kujitanua inakuwa tishio kwa Ukraine tu ?

Putin alitamani Ukraine iwe kibaraka kwake kama Belarus ila hesabu zake kazipiga vibaya.
 
Mambo ya sizitaki mbichi hizi [emoji57][emoji42]
 
[emoji1255][emoji298]President Volodymyr #Zelensky discussed with #Estonia’s President Alar #Karis the issue of Ukraine's Euro-Atlantic aspirations and thanked Estonian partners for military and political assistance being provided to #Ukraine.[emoji298][emoji298]
 
[emoji1255][emoji298]China's Foreign Ministry said on Wednesday that the country is not looking into sending #Russia any weapons to be used in the raging war on #Ukraine.[emoji298][emoji298]
 
Back
Top Bottom