jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Sasa huyo na Rais wa Sudan aliyejikojolea wanatofauti gani?
Sasa huyo na Rais wa Sudan aliyejikojolea wanatofauti gani?
Huyo atakuwa anatoa ushauri gani?Mzee wa kusahau jana kajikwaa wakati anapanda ndege kutoka Poland, mzee apumzike asiongeze muda wa Urais.
View attachment 2526708
Kukosea mahesabu kupo sana tu mfano uvamizi wa Marekani Iraq, vita ya Vietnam na hata Uvamizi wa sasa wa Urusi huko Ukraine.Kwenye geopolitics hakunaga cha kupiga hesabu vibaya. Hiyo room ya kufanya makosa haipo. Kila plan ina fall back plan. Kuanzia B, C, D... Z! Game ngumu ila watu wanabadilikia humo humo.
Huoni sasa ndio wanaitumia Ukraine vizuri kwa kuipa silaha ili kummaliza vizuri Urusi ?West walifikiri Wanaweza kuisnatch Ukraine ili waitumie kuimaliza Urusi. Kabla hawajatimiza azma yao wamewahiwa. Sasa hivi Ukraine haiwezi kujiunga tena na NATO na upande wa mashariki majimbo manne yamekwenda
Hapana mkuu, kanuni za sheria ya kimataifa zinaeleweka kabisa.Haina maana kama aliahidiwa kuheahimiwa mipaka yake basi ndio afanye lolote analotaka kisa ana ahadi ya kutokuguswa.
Kama imekuuma pole [emoji28]Kipanya ana haha KILA sekunde anatupia kabsndiko
Kwani Minsk agreement alivunja nani?Urusi iliahidi katika mkataba wa mwaka 1994 kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea! Mipaka hii ni pamoja na Krimea na Donbas. Putin alianza vita 2014 kwa kuvamia Dombas na Krimea.
Sasa kama jirani yako alifanya mktaba nawe na kupokea malipo (=Ukraine kukabidhi silaha za nyuklia kwa hiari yake kabisa, Urusi haikudai, zilikuwa pamoja na nchi za magharibi zilizoshawishi Ukraine kukabidhi silaha Urusi) na sasa jirani yako anaanza kukipiga akidau unakalia ardhi yake, au wewe unapaswa kumtii . . . . .
Katika dunia ya kawaida kuna polisi na huduma ya afya ya kiakili itakayomchukua yule babu jirani yako maana ni dhahiri amechanganyikiwa na hatari kwake mwenyewe na kwa wengine . . .
Wewe tahaila kweli..,hivi Huwa unashindwa nini kuficha huo upumbavu ulionao [emoji848]Sema maanangu we ni punguani kuliko kawaida..muda wote ww unatawala jukwaa na upuuzi wako huo...huna kaz mjomba? Da! Mama yako ana hasaraa
Huyu dikiteta atakuja kukimbia mpaka kivuli chake [emoji28][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]"Putin visits Luzhniki stadium to attend concert honoring members of special operation - Society & Culture - TASS" Putin visits Luzhniki stadium to attend concert honoring members of special operation
Kachanganyikiwa...posts za propaganda na hali halisi kwenye battlefield ni vitu viwili tofauti..Kipanya ana haha KILA sekunde anatupia kabsndiko
Hii ni ID mpyaKukosea mahesabu kupo sana tu mfano uvamizi wa Marekani Iraq, vita ya Vietnam na hata Uvamizi wa sasa wa Urusi huko Ukraine.
Huoni sasa ndio wanaitumia Ukraine vizuri kwa kuipa silaha ili kummaliza vizuri Urusi ?
Huyo babu Putin alikuwa hataki Nato ijitanue mpaka mpakani mwake ila kwa kuivamia Ukraine ndio kawafungulia Nato njia kumsogelea mpaka uani (Finland).