Ni silaha thabiti ya kirusi. Ina uwezo wa kuruka hadi mita 15.
Kama hujasikia bado: Vifaru vya Kirusi hutembea vikitunza akiba ya grenedi moja kwa moja ndani ya chumba cha Kifaru. Kikipigwa, grenedi hulipuka, kuua askari wote 3 na kurusha kichwa cha bunduki juu.
Waliona ni udhaifu (kwa sababu matukio hayo huua askari wote ndani ya kifaru) na hapo walibuni aina mpya inayoitwa T14 Armata. Hapo grenedi hutunzwa katika chumba cha pekee ndani ya kifaru, sawa na vifaru kama Leopard au Abrams.
Ila hadi sasa tasnia ya Urusi imeshindwa kuvitengeneza T14 Armata. Hadi sasa kuna magari machache, labda 20, 30 yaliyotumiwa kwa madhumuni ya paredi.