Mkuu ninakupongeza, angalau unajua kupiga herufi ya "aaaaaaaaaaa". Ila kuhusu mengine kuna mapengo kidogo katika mantiki.
Kwanza huna cha kujibu kuhusu mikataba ya Urusi na kuvunjwa kwake na babu Putin.
Pili Libya - MArekani hawakuenda pale (Urusi imeenda kwa umbo la Wagner) bali walitumia ndegevita kudhibiti jeshi la Gaddhafi.
Hawakufanya baada ya kuamua wenyewe au kujisikia 8kama yule babu kwenye Kremlin) lakini baada ya azimio la Baraza la Usalama la UN.
Kimaaifa baraza la usalama niye pekee mwenye mamlaka ya kuruhusu kitu kama hicho (iko mifano mingine ambako Marekani ilipuuza baraza, ila najibu mfano ulioleta).
Iraki mara ya kwanza walialikwa na serikali ya nchi Kuwait iliyovamiwa na Saddam. Waliingia kwa haki.
Mara ya pili walidanganya na hapo mataifa mengi waliwakemea. Kwa haki, jinsi Putina anvyokemewa leo.
Qouted from Umshana
Kwanza huna cha kujibu kuhusu mikataba ya Urusi na kuvunjwa kwake na babu Putin.
Answer: Ninayo ya kujibu
Pili Libya - MArekani hawakuenda pale (Urusi imeenda kwa umbo la Wagner) bali walitumia ndegevita kudhibiti jeshi la Gaddhafi.
Hawakufanya baada ya kuamua wenyewe au kujisikia 8kama yule babu kwenye Kremlin) lakini baada ya azimio la Baraza la Usalama la UN.
Answer:Ni kweli iliamuliwa na azimio la umoja wa Mataifa lakini kwa madhumuni yapi?
Kilichofanyika ni kupindua serikari kwa kutumia mgongo wa umoja wa Mataifa na kutumia vibaraka wao ili kutimiza malengo ya west hasa Ufaransa.
Fatilia Battle of Sirte lilipiganwa na kina nani?
Vita hii imeacha mzozo kati ya Ufaransa na Italia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbuka hii mbinu haikuishia Libya tu Bali ikaiingia Misri na Muslim brotherhood wwkashinda kidemokrasia ila ukitaka ujue Western countries ni mbwa basi wakamtumia mtu wao kupindua serikari halali na brigedier haftar kukamata nchi.
Je ulisikia nchinyoyote kutoka West ikipinga?
Wakaingia Syria na the same tactics ila Russia akaintervene
Wakaenda Venezuela still Mrusi akaingilia
Wakaja Belarus napo Urusi ikaingia
Wakaingia Kazakhstan nadhani mnafahamu kilichotokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara ya pili walidanganya na hapo mataifa mengi waliwakemea. Kwa haki, jinsi Putina anvyokemewa leo.
Answer: Marekani alipoivamia Iraq Mataifa mangapi yalikemea?
Mangapi yalichukua hatua ya kuipiga vikwazo?
Mangapi yalienda Kutoa siraha na Msaada kwa Iraq.
Vyombo vingapi vya habari vilionyesha na kuongelea atrocities zilizotokea kule?
Halafu kinakuja kijitu kinasema Marekani alikemewa?
N.B uwe na nidhamu unapomuonglea mtu usiye mjua[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534]