Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]UN Chief Condemns Russian 'Affront' in Ukraine as Assembly Meets

UN General Assembly opens debate on anniversary of Russia's war against Ukraine with strong condemnation of Moscow's aggression.

Read more on our website[emoji298][emoji298].
 
Hata Mimi nilidhani nilipitiwa na taarifa hiyo,maana sikumbuki kama Price cap ilikubaliwq na Moscow.
Duh!! Nyie watu mna vichekesho[emoji16][emoji28][emoji2]

Haya hapa maelezo ya pro Russia mwenzio [emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20230223-110933.jpg
 
Huwezi kuamini hii kauli imetolewa na prigozhin [emoji116][emoji116][emoji116]


"Hatutaondoka Bakhmut," aliapa Prigozhin katika ujumbe wake wa sauti. "Tutakufa kwa idadi maradufu hadi wote [Wagner] wamalizike. Na Wagner watakapokamilika, kuna uwezekano mkubwa Shoigu na Gerasimov watalazimika kuchukua mtutu wa bunduki""

Kama Kuna mtu haamini kauli hiyo' atafte Link ya BBC Swahili niliyoiweka hapo juu!
 
Mkuu katika maisha halisi kila mtu anayeanza kupiga majirani kwa sababu anawaogopa au kuamini wanataka kumwudhi atakamatwa na kuwekwa ndani.
Na huu ni utaratibu mzuri jinsi unavyotakiwa. Kama hao niliosoma leo katika gazeti, walimwua bibi aliyechoma kitu mbele ya nyumba ya mtu wakiamini huyu ni mchawi.
Imani yao ni kitu kimoja (na tatizo lao), tendo la ukatili ni jinai.
Ukitawaliwa na hofu, nenda utafute tiba au ushauri, lakini usimguse mtu. Huu ndio utaratibu wa haki na sheria.

(halafu katika mfano wako: Ukraine inataka kushikamana na majirani kama vile Poland, nchi za Baltiki, Slovakia, Rumania . . . ambao wote walionya ukatili wa Urusi mara kwa mara katika historia yao hivyo wameungana na Waulaya wengine na hata Marekani. Kwa sababu hakuona ukatili wa Marekani katika historia yao, ila ule wa Urusi wamesikia mara nyingi.)
Huyo US unayemwona mwema amevamia mataifa mangapi?
Kwanini US hakuruhusu Cuba kumkaribisha Urusi?US alikuwa tayari Kwa WW3 lakini sio kuruhusi Urusi aweke Kambi Cuba!
Kwanini sovereignty ya Cuba hamuioni ila ya Ukraine tu?
Kwa nchi kama Ukraine ilitakiwa ielewe position yake,ingeendelea kuwa neutral na sio kuandaliwa na west kijeshi!
Markel, chancellor wa Ujerumani anasema wazi Ukraine Ilikuwa inabuy time Ili kujijenga kijeshi Kwa ajili ya kuja kuikabili Urusi!
Sasa mtu ambaye Yuko jikoni kabisa anakueleza hivi,wewe ni nani ujuaye zaidi?
 
Huwezi kuamini hii kauli imetolewa na prigozhin [emoji116][emoji116][emoji116]


"Hatutaondoka Bakhmut," aliapa Prigozhin katika ujumbe wake wa sauti. "Tutakufa kwa idadi maradufu hadi wote [Wagner] wamalizike. Na Wagner watakapokamilika, kuna uwezekano mkubwa Shoigu na Gerasimov watalazimika kuchukua mtutu wa bunduki""

Kama Kuna mtu haamini kauli hiyo' atafte Link ya BBC Swahili niliyoiweka hapo juu!
Aliitoa akiwa wap?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huyo US unayemwona mwema amevamia mataifa mangapi?
Kwanini US hakuruhusu Cuba kumkaribisha Urusi?US alikuwa tayari Kwa WW3 lakini sio kuruhusi Urusi aweke Kambi Cuba!
Kwanini sovereignty ya Cuba hamuioni ila ya Ukraine tu?
Kwa nchi kama Ukraine ilitakiwa ielewe position yake,ingeendelea kuwa neutral na sio kuandaliwa na west kijeshi!
Markel, chancellor wa Ujerumani anasema wazi Ukraine Ilikuwa inabuy time Ili kujijenga kijeshi Kwa ajili ya kuja kuikabili Urusi!
Sasa mtu ambaye Yuko jikoni kabisa anakueleza hivi,wewe ni nani ujuaye zaidi?
mkuu jaribu kutumia mantiki! Simwoni US mwema, na sioni haja ya kujadili mambo mengine tukiwa hapa na mfano wa wazi wa kuvunja haki na kunedesha uporashi na mauaji.

1. Kuba umefungamana na Urusi kabisa na kushirikiana naye. Ila Marekani hawakujaribu kuivamia tangu miaka 60! Waliweka vikwazo lakini hawakutumia silaha. Urusi haikupeleka wanajeshi wa kupigana , waliacha kupeleka troketi. ila walifundisha Wakuba matumizi ya silaha.
2. Marekani haikuzuia ushirikiano wa Kuba na Marekani bali kuwekwa kwa silaha.
3. Ukraine ilitafuta kujiunga na NATO si kwa shabaha ya kupeleka hapa makombora ya Marekani bali kwa shabaha ya kupata ahadi ya kutetewa kama inashambuliwa. Ukiona tifauti, lete ushahidi!
4. Urusi ilitia sahihi mkataba wa Helsinki inapokubali kila nchi ya Ulaa iwe huru kushirikiana au kutoshirikiana na nchi nyingine. Ilitia sahihi mkataba wa 1994 ailipoahidi kuheshimu na hata kutetea mipaka ya Ukranine (pamoja na Krimea na Donbas kuwa sehemu za Ukraine).
5. Urusi ilituhusiwa kutumia kituo cha wanamaji huko Krimea kama mpangaji. Sasa tumeona jinsi gani mpangaji alitumia uwongo na mabavu kumtupa mwenye nyumba nje na kuvamia nyumba yote ya Krimea, pamoja na sehemu za Donbass.
6. Tanggu 2022 tunaona jinsi anavyomshambulia menyeji wa Ukraine kihuni kabisa.
 
[emoji298][emoji298]russia is likely preparing for an offensive effort in the Vuhledar area in the Donetsk region, but it is unlikely that it has a striking force capable of achieving a breakthrough.[emoji298][emoji298]
 
Huku Longido ARUSHA kuna sehemu ukame balaaaa , mbuzi , ngombe wanakula udongo mambo ya Used toilet paper PUTIN tuwaachie . Tumekuwa na midomo sana kuhusu Russia na Ukraine . Hata ukiulizwa swala la kitoto , Russia ina wakaazi wangapi , ina km square ngapi hujui . Acha Wagner wao wauawee tu
Screenshot_2023-02-23-08-03-04-634_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Huku Longido ARUSHA kuna sehemu ukame balaaaa , mbuzi , ngombe wanakula udongo mambo ya Used toilet paper PUTIN tuwaachie . Tumekuwa na midomo sana kuhusu Russia na Ukraine . Hata ukiulizwa swala la kitoto , Russia ina wakaazi wangapi , ina km square ngapi hujui . Acha Wagner wao wauawee tuView attachment 2527293
Hili tatizo la hawa jamaa Wagner wanapushiwa mbele tu hakuna kurudi nyuma so wanakufa kama kumbikumbi hao ni wa siku moja tu
 
Huku Longido ARUSHA kuna sehemu ukame balaaaa , mbuzi , ngombe wanakula udongo mambo ya Used toilet paper PUTIN tuwaachie . Tumekuwa na midomo sana kuhusu Russia na Ukraine . Hata ukiulizwa swala la kitoto , Russia ina wakaazi wangapi , ina km square ngapi hujui . Acha Wagner wao wauawee tuView attachment 2527293
Hatari sana, Jamaa wanachinjwa kama wanyama yaani 🥱🥱🥱
 
China Akijiamin Anaweza

"People's Liberation Army of China will take the necessary measures to decisively suppress any separatist activity aimed at achieving Taiwan's independence and interference by external forces," - Chinese Defense Ministry
 
Back
Top Bottom