MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Hata Warusi humu wapo wa kutosha akiwemo niliyemnukuu.......aliyekuambia wamejaa Watz na Wakenya tu kakudanganya.Kwenu!
Mkuu umeandika Kama vile unaongea au kuwaandikia warusi. Kumbe sie Ni wakenya , waTz nk
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Waliwahi kuomba kujiunga wakakataa 😂😂😂😂😂Hivi mrusi naye akitaka kujiunga na NATO, NATO na washirika wake watakubali?[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]
On 27 December 2022 Russia issued a decree applicable from 1 February 2023 until 1 July 2023 which banned the sale of crude oil and finished oil products to any country or company that, directly or indirectly, referred to the price cap in the contract.Hata Mimi nilidhani nilipitiwa na taarifa hiyo,maana sikumbuki kama Price cap ilikubaliwq na Moscow.
Hivi Bay of pigs kilitokea nini?mkuu jaribu kutumia mantiki! Simwoni US mwema, na sioni haja ya kujadili mambo mengine tukiwa hapa na mfano wa wazi wa kuvunja haki na kunedesha uporashi na mauaji.
1. Kuba umefungamana na Urusi kabisa na kushirikiana naye. Ila Marekani hawakujaribu kuivamia tangu miaka 60! Waliweka vikwazo lakini hawakutumia silaha. Urusi haikupeleka wanajeshi wa kupigana , waliacha kupeleka troketi. ila walifundisha Wakuba matumizi ya silaha.
2. Marekani haikuzuia ushirikiano wa Kuba na Marekani bali kuwekwa kwa silaha.
3. Ukraine ilitafuta kujiunga na NATO si kwa shabaha ya kupeleka hapa makombora ya Marekani bali kwa shabaha ya kupata ahadi ya kutetewa kama inashambuliwa. Ukiona tifauti, lete ushahidi!
4. Urusi ilitia sahihi mkataba wa Helsinki inapokubali kila nchi ya Ulaa iwe huru kushirikiana au kutoshirikiana na nchi nyingine. Ilitia sahihi mkataba wa 1994 ailipoahidi kuheshimu na hata kutetea mipaka ya Ukranine (pamoja na Krimea na Donbas kuwa sehemu za Ukraine).
5. Urusi ilituhusiwa kutumia kituo cha wanamaji huko Krimea kama mpangaji. Sasa tumeona jinsi gani mpangaji alitumia uwongo na mabavu kumtupa mwenye nyumba nje na kuvamia nyumba yote ya Krimea, pamoja na sehemu za Donbass.
6. Tanggu 2022 tunaona jinsi anavyomshambulia menyeji wa Ukraine kihuni kabisa.
Maelezo mengi ila hayana mantiki!Hapo ni kama unasema Cuba anaruhusiwa kuwa na uhusiano wa kawaida tu na Urusi!Sasa Iweje ulipangie taifa huru namna ya kujilinda?Mnang'ata na kupuliza!Huko Donbas,watu wamekuwa wakiuwawa baada ya kujitenga na Ukraine baada ya serikali halali kupinduliwa!Urusi ameingia kuyakomboa hayo majimbo yawe huru!Hicho kinachofanyika Ukraine,si ndicho alichofanya US huko Yugoslavia na Kosovo ikajitenga na kuwa taifa huru!mkuu jaribu kutumia mantiki! Simwoni US mwema, na sioni haja ya kujadili mambo mengine tukiwa hapa na mfano wa wazi wa kuvunja haki na kunedesha uporashi na mauaji.
1. Kuba umefungamana na Urusi kabisa na kushirikiana naye. Ila Marekani hawakujaribu kuivamia tangu miaka 60! Waliweka vikwazo lakini hawakutumia silaha. Urusi haikupeleka wanajeshi wa kupigana , waliacha kupeleka troketi. ila walifundisha Wakuba matumizi ya silaha.
2. Marekani haikuzuia ushirikiano wa Kuba na Marekani bali kuwekwa kwa silaha.
3. Ukraine ilitafuta kujiunga na NATO si kwa shabaha ya kupeleka hapa makombora ya Marekani bali kwa shabaha ya kupata ahadi ya kutetewa kama inashambuliwa. Ukiona tifauti, lete ushahidi!
4. Urusi ilitia sahihi mkataba wa Helsinki inapokubali kila nchi ya Ulaa iwe huru kushirikiana au kutoshirikiana na nchi nyingine. Ilitia sahihi mkataba wa 1994 ailipoahidi kuheshimu na hata kutetea mipaka ya Ukranine (pamoja na Krimea na Donbas kuwa sehemu za Ukraine).
5. Urusi ilituhusiwa kutumia kituo cha wanamaji huko Krimea kama mpangaji. Sasa tumeona jinsi gani mpangaji alitumia uwongo na mabavu kumtupa mwenye nyumba nje na kuvamia nyumba yote ya Krimea, pamoja na sehemu za Donbass.
6. Tanggu 2022 tunaona jinsi anavyomshambulia menyeji wa Ukraine kihuni kabisa.
Urusi aliwahi kuwa mdau muhimu wa NATO!Hivi mrusi naye akitaka kujiunga na NATO, NATO na washirika wake watakubali?[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]
Wabunge vibaraka wa Putin."Leo, wabunge wa Urusi waidhinisha mswada uliowasilishwa na Rais Vladimir Putin, ambapo Moscow itasitisha kwa muda ushiriki wake katika Mkataba wa Kimkakati wa Silaha za Kivita (NEW SRART) - makubaliano ya mwisho ya nyuklia kati ya Urusi na Marekani"
Huyo US unayemwona mwema amevamia mataifa mangapi?
Kwanini US hakuruhusu Cuba kumkaribisha Urusi?US alikuwa tayari Kwa WW3 lakini sio kuruhusi Urusi aweke Kambi Cuba!
Kwanini sovereignty ya Cuba hamuioni ila ya Ukraine tu?
Kwa nchi kama Ukraine ilitakiwa ielewe position yake,ingeendelea kuwa neutral na sio kuandaliwa na west kijeshi!
Markel, chancellor wa Ujerumani anasema wazi Ukraine Ilikuwa inabuy time Ili kujijenga kijeshi Kwa ajili ya kuja kuikabili Urusi!
Sasa mtu ambaye Yuko jikoni kabisa anakueleza hivi,wewe ni nani ujuaye zaidi?
Mkuu si tegemei kukuondoa katika ulimwengu wako wa ndoto mbaya.Maelezo mengi ila hayana mantiki!Hapo ni kama unasema Cuba anaruhusiwa kuwa na uhusiano wa kawaida tu na Urusi!Sasa Iweje ulipangie taifa huru namna ya kujilinda?Mnang'ata na kupuliza!Huko Donbas,watu wamekuwa wakiuwawa baada ya kujitenga na Ukraine baada ya serikali halali kupinduliwa!Urusi ameingia kuyakomboa hayo majimbo yawe huru!Hicho kinachofanyika Ukraine,si ndicho alichofanya US huko Yugoslavia na Kosovo ikajitenga na kuwa taifa huru!
Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha!
Soma hapa kidogo uelewe chanzo Cha Cuba kutaka kujilinda isivamiwe Tena!
In 1961, the US government put Jupiter nuclear missiles in Italy and Turkey, and attempted to invade Cuba. Starting in November of that year the US government engaged in a campaign of terrorism and sabotage in Cuba, referred to as the Cuban Project, which continued throughout the first half of the 1960s. The Soviet administration was concerned about a Cuban drift towards China, with which the Soviets had an increasingly fractious relationship. In response to these factors, Soviet First Secretary, Nikita Khrushchev, agreed with the Cuban Prime Minister, Fidel Castro, to place nuclear missiles on the island of Cuba to deter a future invasion. An agreement was reached during a secret meeting between Khrushchev and Castro in July 1962, and construction of a number of missile launch facilities started later that summer.
Yaani mwaka huu tutaona mengi[emoji631][emoji635]The Russian economy is holding up better after US sanctions than could have been expected initially — US Treasury Secretary Janet Yellen
According to her, the US sanctions "had a very significant effect on Russia."