Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky will hold a press conference on Friday, February 24.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]Spanish Prime Minister Pedro Sanchez paid an unannounced visit to Kyiv early on Thursday, February 23.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces eliminated about 145,850 russian military personnel from February 24, 2022, to February 23, 2023, including 790 in the past day alone.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]Canada’s Foreign Affairs Minister Melanie Joly says russian President vladimir putin is losing his grip on reality, a year after his invasion of Ukraine.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]Over the last day, Ukraine’s combat aircraft carried out 11 strikes on russia’s clusters and one on an anti-aircraft missile complex at its firing position.[emoji298][emoji298]
 
Mkuu si tegemei kukuondoa katika ulimwengu wako wa ndoto mbaya.
Watu wa Donbass hawakujitenga. Wakati walipokuwa na uhuru wa kupiga kura walithibitisha kila safari wako Waukraine (ukiona kinyume, lete kura pamoja na chanzo!). Hawakujitenga, walitenganishwa na Putin aliyetumia askari bila sare na kulipa wanasiasa wa kundi lile dogo lililotaka kuhamia upande wa Urusi.
Kwenye mstari wa mapigano pande zote mbili zilipigana, vifo vilitokea kila upande. Taarifa za OECD ziko tele zinpatikana hadharani.

Kuhusu Kuba - Marekani ilivumulia Kuba ingawa Kuba ilikuwa na kituo cha kijeshi cha Urusi , USSR walitums kila mwaka milioni mia kadhaa (hasa silaha) na hivyo jeshi la Kuba lilikuwa kati ya majeshi makubwa katika Amerika kusini mwa USA. Hivi vifaru zaidi ya 1,000 walivyokuwa navyo vyote vilitoka Urusi (na Marekani haikuwazuia).
Ona taarifa ya CIA ya mwaka 1986 (ilikuwa siri wakati ule)
View attachment 2527454

Hitimisho: baada ya majaribio ya kwanza ya kupindua Castro (bila uvamizi wa jeshi la Marekani) Marakani ilivumilia Kuba.
Ila Putin lazima kutetemeka na kulialia eti Ukraine ni hatari kwake, ilhali ni yeye mwenyewe aliyeanza uvamizi na mauaji.
Siongezi neno! President John F. Kennedy, he then convened a meeting of the nine members of the National Security Council and five other key advisers, in a group that became known as the Executive Committee of the National Security Council (EXCOMM). During this meeting, President Kennedy was originally advised to carry out an air strike on Cuban soil in order to compromise Soviet missile supplies, followed by an invasion of the Cuban mainland. After careful consideration, President Kennedy chose a less aggressive course of action, in order to avoid a declaration of war. After consultation with EXCOMM, Kennedy ordered a naval "quarantine" on October 22 to prevent further missiles from reaching Cuba.[5] By using the term "quarantine", rather than "blockade" (an act of war by legal definition), the United States was able to avoid the implications of a state of war.[6] The US announced it would not permit offensive weapons to be delivered to Cuba and demanded that the weapons already in Cuba be dismantled and returned to the Soviet Union.

After several days of tense negotiations, an agreement was reached between Kennedy and Khrushchev: publicly, the Soviets would dismantle their offensive weapons in Cuba and return them to the Soviet Union, subject to United Nations verification, in exchange for a US public declaration and agreement to not invade Cuba again. Secretly, the United States agreed with the Soviets that it would dismantle all of the Jupiter MRBMs which had been deployed to Turkey against the Soviet Union. There has been debate on whether or not Italy was included in the agreement as well. While the Soviets dismantled their missiles, some Soviet bombers remained in Cuba, and the United States kept the naval quarantine in place until November 20, 1962.[6]

When all offensive missiles and the Ilyushin Il-28 light bombers had been withdrawn from Cuba, the blockade was formally ended on November 20. The negotiations between the United States and the Soviet Union pointed out the necessity of a quick, clear, and direct communication line between the two superpowers. As a result, the Moscow–Washington hotline was established. A series of agreements later reduced US–Soviet tensions for several years, until both parties eventually resumed expanding their nuclear arsenals.
 
Baada ya blinken kwenda ugiriki,waandamanaji wakakusanyika nje ya ubalozi wa US na kuchoma bendera za US huku wakitamka hawaitaki NATO!
Na Yale maandamano ya Moldova ya kuitaka Russia iwasaidie yaliishia wapi..,achaneni na hizo cheap propaganda!!
 
Siongezi neno! President John F. Kennedy, he then convened a meeting of the nine members of the National Security Council and five other key advisers, in a group that became known as the Executive Committee of the National Security Council (EXCOMM). During this meeting, President Kennedy was originally advised to carry out an air strike on Cuban soil in order to compromise Soviet missile supplies, followed by an invasion of the Cuban mainland. After careful consideration, President Kennedy chose a less aggressive course of action, in order to avoid a declaration of war. After consultation with EXCOMM, Kennedy ordered a naval "quarantine" on October 22 to prevent further missiles from reaching Cuba.[5] By using the term "quarantine", rather than "blockade" (an act of war by legal definition), the United States was able to avoid the implications of a state of war.[6] The US announced it would not permit offensive weapons to be delivered to Cuba and demanded that the weapons already in Cuba be dismantled and returned to the Soviet Union.

After several days of tense negotiations, an agreement was reached between Kennedy and Khrushchev: publicly, the Soviets would dismantle their offensive weapons in Cuba and return them to the Soviet Union, subject to United Nations verification, in exchange for a US public declaration and agreement to not invade Cuba again. Secretly, the United States agreed with the Soviets that it would dismantle all of the Jupiter MRBMs which had been deployed to Turkey against the Soviet Union. There has been debate on whether or not Italy was included in the agreement as well. While the Soviets dismantled their missiles, some Soviet bombers remained in Cuba, and the United States kept the naval quarantine in place until November 20, 1962.[6]

When all offensive missiles and the Ilyushin Il-28 light bombers had been withdrawn from Cuba, the blockade was formally ended on November 20. The negotiations between the United States and the Soviet Union pointed out the necessity of a quick, clear, and direct communication line between the two superpowers. As a result, the Moscow–Washington hotline was established. A series of agreements later reduced US–Soviet tensions for several years, until both parties eventually resumed expanding their nuclear arsenals.
Hujaleta ushahidi wowote dhidi ya yale niliyoonyesha. Hayo yote yanajulikana kwa yeyote aliyeangalia historia ya miaka ile.
Pale mwanzoni Marekani ilijaribu kumpindua Castro, lakini bila kuvamia kijeshi (ila kwa kusaidia kwa silaha Wakuba waliompinga Castro) .
Warusi walipopeleka roketi zenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia Marekani ilitisha vita. Warusi waliondoka (na Marekani iliondoa roketi huko Uturuki).
Baadaye Kuba iliendelea kama nchi iliyoshikamana na Urusi, kisiasa, kijeshi na kiuchumi. Marekani iliheshimu sheria ya kimataifa haikujaribu kuivamia Kuba. Iliishi na wanajeshi na silaha (si roketi) za Kirusi kwenye mpaka wake.
Sasa linganisha na Putin. Anaona Ukraine inataka kujiunga na NATO (hadi leo haikupokelewa). HApakuwa na silaha za kushambulia Urusi nchini.
(Kilio cha Donbass acha, Donbass ni Ukraine kisheria).
Wakati hakuna tishio kwa Urusi , Putin anavunja mikataba, ahadi na sheria na kuanzisha vita.

Ujiulize kwa nini. Ana hofu?? (Hofu si sababu inayokubalika kwa kuvunja amani).
Uwezekano ni mkubwa zaidi babu Putin amepotea katika ndoto yake ya kurudisha "Ukubwa wa Urusi" uliopotea, yaani matokeo ya ubeberu wa miaka 400 , ambako ilivamia majirani kama Ukraine, nchi za Baltiki, Poland, Finalnd, Uturuki, Iran, Siberia, Asiaya Kati pamoja na sehemu za Kazakhstan, Turkestan, TAjikistan, Uzbekistan za leo, China, nchi za Kaukazi . . . .
Sehemu za koloni hizo zilipata uhuru baada ya 1989. Hakuna aliyetaka kubaki na Urusi.
Ila Putin akiendelea sasa kuna hatari kweli kwamba hata Urusi iliyobaki hadi sasa itazidi kuporomoka. Hata nikiona kuna haki fulani ya Wachecheni, Watartari na kadhalika kupata uhuru, matokeo yasingekuwa mazuri ila kuongeza hatari kwa aman duniani.
Ila babu mjinga anahatarisha hayo yote kwa vita yake pumbavu.
 
Russian forces struck Ukrainian manpower in the Kupyansk area, eliminating over 50 enemy troops

Russian forces struck Ukrainian manpower in the Kupyansk area, eliminating over 50 enemy troops in the past day, Konashenkov reported.

"In the Kupyansk area, army aviation and artillery of the western battlegroup inflicted damage on the enemy manpower in areas near the settlements of Krakhmalnoye, Peschanoye and Berestovoye in the Kharkov Region and Novosyolovskoye in the Lugansk People’s Republic," the spokesman said.

The strikes eliminated enemy manpower and equipment, the general said.

"The enemy’s losses in that area amounted to 55 personnel, two pickup trucks and a D-20 howitzer," Konashenkov reported.

Russian forces inflicted damage on Ukrainian manpower and equipment in the Krasny Liman area

Russian forces inflicted damage on Ukrainian manpower and equipment in the Krasny Liman area, eliminating roughly 85 enemy troops over the past day, he said.

"In the Krasny Liman area, active operations by units of the battlegroup Center, air strikes, artillery and heavy flamethrower fire inflicted damage on the Ukrainian army personnel and equipment in areas near the settlements of Yampolovka in the Donetsk People’s Republic, Stelmakhovka and Chervonaya Dibrova in the Lugansk People’s Republic," the spokesman said.

Russian forces eliminated enemy manpower and equipment during the battles, the general said.

"About 85 Ukrainian personnel, an infantry combat vehicle, two armored combat vehicles, a Gvozdika self-propelled howitzer and a D-30 howitzer were destroyed in that area in the past 24 hours," Konashenkov reported.

Russian forces eliminated over 210 Ukrainian troops in the Donetsk area

Russian forces eliminated over 210 Ukrainian troops in the Donetsk area in the past day, the general said.

"In the Donetsk area, over 210 Ukrainian personnel, six armored combat vehicles, four motor vehicles, a Grad multiple rocket launcher and a D-20 howitzer were destroyed in the past 24 hours as a result of offensive operations by assault volunteer teams with the support of units of the Pskov Airborne Force formation and strikes by aircraft and artillery of the southern battlegroup," the spokesman said.

In the area of the community of Avdeyevka in the Donetsk People’s Republic, a Ukrainian ammunition depot was obliterated, the general added.
 
Ee
IMG-20230223-WA0026.jpg
 
Hujaleta ushahidi wowote dhidi ya yale niliyoonyesha. Hayo yote yanajulikana kwa yeyote aliyeangalia historia ya miaka ile.
Pale mwanzoni Marekani ilijaribu kumpindua Castro, lakini bila kuvamia kijeshi (ila kwa kusaidia kwa silaha Wakuba waliompinga Castro) .
Warusi walipopeleka roketi zenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia Marekani ilitisha vita. Warusi waliondoka (na Marekani iliondoa roketi huko Uturuki).
Baadaye Kuba iliendelea kama nchi iliyoshikamana na Urusi, kisiasa, kijeshi na kiuchumi. Marekani iliheshimu sheria ya kimataifa haikujaribu kuivamia Kuba. Iliishi na wanajeshi na silaha (si roketi) za Kirusi kwenye mpaka wake.
Sasa linganisha na Putin. Anaona Ukraine inataka kujiunga na NATO (hadi leo haikupokelewa). HApakuwa na silaha za kushambulia Urusi nchini.
(Kilio cha Donbass acha, Donbass ni Ukraine kisheria).
Wakati hakuna tishio kwa Urusi , Putin anavunja mikataba, ahadi na sheria na kuanzisha vita.

Ujiulize kwa nini. Ana hofu?? (Hofu si sababu inayokubalika kwa kuvunja amani).
Uwezekano ni mkubwa zaidi babu Putin amepotea katika ndoto yake ya kurudisha "Ukubwa wa Urusi" uliopotea, yaani matokeo ya ubeberu wa miaka 400 , ambako ilivamia majirani kama Ukraine, nchi za Baltiki, Poland, Finalnd, Uturuki, Iran, Siberia, Asiaya Kati pamoja na sehemu za Kazakhstan, Turkestan, TAjikistan, Uzbekistan za leo, China, nchi za Kaukazi . . . .
Sehemu za koloni hizo zilipata uhuru baada ya 1989. Hakuna aliyetaka kubaki na Urusi.
Ila Putin akiendelea sasa kuna hatari kweli kwamba hata Urusi iliyobaki hadi sasa itazidi kuporomoka. Hata nikiona kuna haki fulani ya Wachecheni, Watartari na kadhalika kupata uhuru, matokeo yasingekuwa mazuri ila kuongeza hatari kwa aman duniani.
Ila babu mjinga anahatarisha hayo yote kwa vita yake pumbavu.
Wewe ndiye unamuona hivyo ila warussia wamekubaliana naye na hata Bunge limeidhinisha!
Nikwambie tu,isingekuwa Russia basi US angeivamia Cuba!US akifanya kila aina ya hujuma dhidi ya serikali ya Cuba kutaka kuangusha utawala wa Castro!
US alipanga kuivamia Cuba na kuepusha Hilo makubaliano yakaingiwa na Russia akaanza ujenzi wa nuclear facilities huko Cuba!
Suala Hilo ndio lilizuia US kuivamia Cuba,Ilikuwa kidogo tu itokee vita ya 3 ya Dunia kwani JF Kennedy alishauriwa na Baraza lake la usalama ashambulie Cuba!
Kennedy akaona sio sawa ndio akaanzisha mazungumzo na Russia na wakakubaliana waliyokubaliana ba suala Hilo likaisha!
Hapo unaona US alikuwa tayari Kwa lolote lakini si kuona Cuba anakuwa na offensive weapons za Russia!

Angela Markel mwenyewe anasema Minsk Ilikuwa ni danganya toto kwani ilichofanga Ukraine Ilikuwa ni kubuy time Ili ijijenge kijeshi kuja kukomboa Donbas na hata Crimea!
Putin mwenyewe kasema,taarifa za kiintelejensia walizokuwa wamezipata ni hizo na kwamba Ukraine alijiandaa Kwa offensive huko Donbas na baadae Crimea!
Sasa ulitaka Urusi asubiri Hilo?
Kwa Warusi,wamekubaliana na Putin juu ya SMO hiyo!Ila wewe pro NATO wa banyikwa unamuona Putin mwehu😃
 
Back
Top Bottom