Huwezi kuamini hii kauli imetolewa na prigozhin![]()
![]()
![]()
"Hatutaondoka Bakhmut," aliapa Prigozhin katika ujumbe wake wa sauti. "Tutakufa kwa idadi maradufu hadi wote [Wagner] wamalizike. Na Wagner watakapokamilika, kuna uwezekano mkubwa Shoigu na Gerasimov watalazimika kuchukua mtutu wa bunduki""
Kama Kuna mtu haamini kauli hiyo' atafte Link ya BBC Swahili niliyoiweka hapo
Sasa Bora ito, je Ukraine mpaka sasa wameuwawa wanajeshi 250,000 but anyway naona furaha yako iko kwenye maafa ya wanadamu wenzio you are dumb n stupid[emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces eliminated about 145,850 russian military personnel from February 24, 2022, to February 23, 2023, including 790 in the past day alone.[emoji298][emoji298]