Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tukumbushane,

wakat USA na mabestie wanatangaza vita dhidi ya Iraq UN kupitia vikao walitoa resolution km hiyo lkn bado haikuweza kumzuia USA kuitwanga Iraq bomu za kibabe mpaka Saddam akaona bora akajifiche zake kwenye karo,


Hizo resolution zinakuaga na nguvu kwa nchi zetu ungaunga mwana lkn kwa zile nchi ngoma ngumu hicho ni km kikao cha washkaj wakijadil Simba na vyura fc
Lakini ujumbe umefika!

Umemsikia urusi alivyosema baada ya azimio kupitishwa??
 
Nijuze ndugu kuhusu alichokisema huyo mrusi
Soma hiki kipande Cha habari kutoka BBC Swahili kuhusu habari hiyo
Screenshot_20230224-080529.jpg
 
hapa ww ndio umeonekana mswahili kabisa....,,,unaongea kiswahili kabisa...huna tofauti na Mz. Mpili..., huna facts zozote..!!!..Collective West yote wanaiogopa Russia wazwaz ... ww unatuambia kuwa Russia sio chochote!!!...ni nchi gani duniani inaweza kuvimbiana na Collective West na ikabaki salama...ni nani huyoo!!! zaidi ya Russia....,,,Biden kila siku anasisitiza ni lazima waisapot Ukrein kwa tahadhari .. wasijesababisha direct confrotation na Russia...ww hapa huoni kabisa kuwa Russia sio ya kawaida...,,,Wabongo bwana..!!!...hao NATO wanashindwa nn kuingia hapo Ukrein tu waliondoe jeshi la Russia nje ya mipaka....wamebakia kila siku vikao tu...blah blah...tu!!!...aisee!!!
....umemsikia jana Trump alichosema... hakuna namna ya kulishinda Jeshi la Russia...zaidi ya kukaa mezani!!!...kwa hiyo ww na Trump ni yupi anaongea la maana!!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Yule Trump chizi pandikizi la Russia anaweza kuongea point Gani zaidi ya pumba?

Mataifa ya magharibi wao wanafikiria hayo manyuklia tu ya Russia na si vinginevyo. Yaani nyuklia ndio zinaibeba Russia lkn ktk mambo mengine Russia ni km Zaire ya Mobutu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nimeona,

Kwa hiyo baada ya hiyo resolution kupita kwa kura nyingi hivyo kifuatacho ni nin hapo?

Watatuma walinda amani au wataweka no fly zoni???
Mimi nilitaka kukujibu pale uliposema kwamba Hilo azimio ni kazi bure tu Wala halina impact yoyote..,
Bila shaka umeona reaction ya urusi baada ya azimio kupitishwa,hii inaweza isibadilishe chochote kwenye uwanja wa vita lakini ni kama pigo la kisaikolojia kwa utawala wa urusi
Na urusi angeona hakuna umuhimu wa kupitisha azimio Hilo Wala asingehangaika kuzuia azimio Hilo lisipitishwe kama ulivyoona kwenye kipande Cha habari nilichokuwekea hapo juu,
 
On 27 December 2022 Russia issued a decree applicable from 1 February 2023 until 1 July 2023 which banned the sale of crude oil and finished oil products to any country or company that, directly or indirectly, referred to the price cap in the contract.
Ha hapa wanawaandalia zengwe ionekani ni nature imepumguza mzigo
Screenshot_20230223-170304.png
 
Putin amechanganyikiwa alidhani mambo rahisi sana..
Ukitaka kujua kwamba kachanganyikiwa tazama alivyokuwa anawaambia wanajeshi wa Ukraine wamgeuke Rais na serikali yake....tazama body language...sauti yake...he looks fucken confused....dunia imebadilika sana....
Tutafika tu
God Bless our Children.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mwaka mmoja sasa bado Putin hajashinda Vita.
 
Mkuu, hao wote wanasikia wanatishiwa mno na Urusi maana Lativia, Lithuania na Estonia zilikuwa koloni za Urusi, Poland ilivamiwa na Urusi na sehemu kubwa ya nchi kuwa koloni kuanzia 1775 hadi 1918, halafu nchi yote nusu koloni 1945-1989. Hapo sababu ni wakli mno katika EU na NATO dhidi ya Urusi. Ila ni dhahiri, hao si Warusi.

Issue tofauti na Ukraine ni: miaka 1000 Urusi = Moscow ilikuwa jimbo la Kyiv, na wakati ule walikuwa kama utamaduni moja. Baadaye waliendelea pekee na tofauti zilitokea (jinsi ilivyo katika maeneo mengi kote duniani); Tangu Ukraine ilivamiwa na Urusi miaka 300 iliyopita, Warusi hawakutaka kukubali Ukraine ina nafsi tofauti; tangu miaka 200 walijaribu kukandamiza lugha ya Ukraine;
Putin anaamini hawastahili kuwa nchi ya pekee, sawa na Belarus ambayo anataka kumeza pia.
Urusi inataka kumeza Belarus, ni punguwan pekee ndo anaeza kuamini hii propaganda
 

BREAKING NEWS: UNITED NATIONS VOTES TO DEMAND RUSSIA EXIT UKRAINE IMMEDIATELY​

23 FEBRUARY 2023

The United Nations, meeting in New York, has voted to DEMAND Russia withdraw from Ukraine "immediately and Unconditionally." The vote was 141 in favor, 7 opposed, with 32 abstaining.
The same UN that indefinitely delayed the meeting about the Nord Stream pipeline being blown up.The same U.N. that won't even investigate the evidence that Russia submitted showing the illegal biolabs in Ukraine.The UN/WHO, when it came to Covid-19, was full-on Karen-Gestapo Liberal. (HT REMARK: You think those same sociopaths can judge anything else fairly, honestly, logically and ethically?)
Battle lines drawn is what I see. God’s Will Be Done!
As is customary, the ones that opposed, or abstained, tells a story of what countries will be forming a coalition behind Russia.
WE (US & UK) created the UN to impose OUR WILL, "the now Satanic West" on the world.And by this vote,one can see very clearly that nation's are being aligned for a larger spiritual war. You can bet every nation was TOLD how they would vote.They say, "Yes Sir, Right away Sir, Anything You Say Sir."
THAT is what "FOREIGN AID" is all about. It is BRIBERY of the leadership, of our puppet regimes, paid for by the US taxpayers.The votes are all BOUGHT and PAID FOR, perfectly LEGAL, if not ethical.SWEET SYSTEM, HUH?

The truth is that,
UN = USA
WEF = USA
NATO = USA
The USA is the problem, the USA is the aggressor.
Russia sees this. It's no secret.The option for Russia is quite clear: Hit the USA and hit it hard.
If Russia was to hit the USA, Europe would fold faster than the World Trade Center free-fell on 9-11. Europe knows that militarily, it is absolutely nothing without the USA and that is the fact.

If Russia chooses to hit the USA, I think they would hit Washington, DC (decision-making center) with separate warheads against the US Capital complex (which would also take out the Supreme Court and likely the White House due to proximity. A second warhead would likely hit the Pentagon to wipe out military infrastructure and sew chaos. They may also choose to hit the US State Department, which is near pentagon and would probably be wiped out by same warhead, but they'd probably want to make sure Blinken and the other pencil-neck perverts in that Department get vaporized.I think they would also hit Fort Meade, MD to strike at the NSA, as well as hit Langley, VA to take out CIA.

Next up is likely to be New York City and that would require at least two separate warheads; one to hit the Federal Reserve Bank of New York at the Intersection of Liberty St and Maiden Lane. That one would likely be a GROUND BURST to make certain they vaporize or irradiate the international gold bullion reserves stored five floors beneath the bank, in vaults surrounded by solid rock, with a second warhead to hit the United Nations Building on First Avenue near 43rd St to take out all those parasite Diplomats who achieve nothing good for the world, while many of them (but not all) party, do drugs, rape children, and get paid for it all.
After that, it's anyone's guess.
 
23:43 23 Feb

BreakingRussia condemned by UN as resolution calling for peace passes​

The United Nations General Assembly has voted overwhelmingly to approve a resolution condemning Russia's invasion and calling for the withdrawal of troops from Ukraine and a halt to fighting.
The resolution was approved with 141 nations voting in favour, 32 abstaining and seven voting against - a similar outcome to previous resolutions on Ukraine.

Angalia: Wala China wala Uhindi wala Afrika Kusini hawapingi!
Usiishie kusema hawapingi,lakini pia hawajakubali hiyo resolution!
Ni kwamba wamekuwa neutral,kura hizi ni kama za mwaka Jana!Hakuna kilichobadilika!
 
Ni kura tu za kufikisha ujumbe,hazina impact yoyote!
Kura kama hizo zilipigwa mwaka Jana na hazikubadilisha chochote!
Kama kweli wapo serious wapeleke baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.

Wakakutane na kura ya Veto Toka kwa Mchina na Mrusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huku kwingine ni kujifariji tu.
 
Back
Top Bottom