Kama chizi anaweza pambana mpaka akawa rais wa Marekani, kama chizi anaweza kuwa billionaire...basi duniani machizi ni wengi sana.Yule Trump chizi pandikizi la Russia anaweza kuongea point Gani zaidi ya pumba?
Mataifa ya magharibi wao wanafikiria hayo manyuklia tu ya Russia na si vinginevyo. Yaani nyuklia ndio zinaibeba Russia lkn ktk mambo mengine Russia ni km Zaire ya Mobutu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hiyo Ukraine imeharibiwa na Nyuklia au sio na sio silaha za kawaida tu hizi, hao maelfu wanaouliwa huko Ukraine ni sababu ya matumizi ya nuclear, hizo mariupol, crimea, luhansk na Donbass zinachukuliwa kwa sababu ya nuclear au sio???
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app