Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu dikiteta atakuja kukimbia mpaka kivuli chake [emoji28][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji298]️A Pantsir missile system was spotted opposite Moscow’s Luzhniki Stadium, where Vladimir Putin is expected to speak today, as part of a patriotic rally. [emoji298]

[emoji329]: Telegram / tvrain
Upo wakati mlisema anaumwa....mkawa mnaleta humu picha za mchongo akiwa ameshikilia meza...kile kibabu chenu, Joe Biden, kinadondoka kiukweli Kila wakati lakini hamkisemi...juzi kimedondoka kwenye ngazi za ndege...halafu kinapotembea kimenyooka Kama msumari, hakiwezi kuinama...duh...kitakuja kudondoka moja kwa moja mkutanoni, nyie subirini mtaona...
 
Huu ujinga ndio Urusi hautaku.... Mbona Marekani/NATO walipovunja mkataba wa kutokusogea east kuelekea Urusi mlikaa kimya!!!!
 

Attachments

  • Screenshot_20230224-140539.jpg
    Screenshot_20230224-140539.jpg
    58 KB · Views: 16
Nipange ndugu yangu,

ilikuaje hiyo mashine ikawekwa hapo mbele ya mjengo???
Huo ni ubalozi wa urusi nchini ujerumani.., hicho ni kifaru Cha urusi kilichoharibiwa kwenye mapigano huko Ukraine.., hivyo kitendo Cha kuweka hicho kifaru nje ya jengo la Urusi,hiyo inamaanisha kulaani uvamizi wa urusi nchini Ukraine

Huku kwetu tuna tamaduni kwamba mwizi akikamatwa anaiba,basi vile vitu alivyoiba vinakusanywa na kufungiwa shingoni mwa huyo mwizi huku akitembezwa mtaa kwa mtaa Ili Kila mtu amuone na ikibidi kama Kuna wanaotaka kumzomea wamzomee..,kama unaweza kumkata kwenzi,kumtemea mate, kivyovyote tu Ili mradi huyo mwizi adhalilike Ili wengine wajifunze kwamba wizi haufai,

Hiki ndicho anachojaribu kufanya ujerumani katika ubalozi wa urusi..,hiyo ni ishara ya kuaniika uovu Ili Kila mmoja alaani na kutambua kwamba kitendo hicho akifai,
 
Kuhusu analysis ya uvamizi ilifanyika mapema, definitely! Hata intelligence za US na UK zilisema wazi kabisa kuhusu kuanza kwa uvamizi siku chache zilizopita.

Spirit ya Ukraine katika mapambano ni kubwa sana, so far. Nadhani dunia imeona, hivyo misaada ya kijeshi inayoongezeka si jambo la kushangaza. Silaha za kivita kama anti-tank missiles: British NLAW pamoja na Javelins kutoka Marekani zimesaidia kwa kiasi kikubwa sana kwa sasa dhidi ya vifaru vya Urusi pamoja na helicopters, kulingana na taarifa zilizopo.

Mizinga pamoja na stinger missiles kutoka Czech pamoja na Baltic states pia vimekuwa msaada mkubwa kwao, bila kusahau TB2 drones kutoka Uturuki. Kuna taarifa ya muda si mrefu kuwa nchi takribani 28 zimeridhia na zinapanga kupeleka misaada zaidi zikiwemo silaha.

Kuna taarifa pia kuwa Ukraine imeomba msaada kwa shirika la kimataifa la Msalaba Mwekundu kusaidia kuondoa maelfu ya miili ya wanajeshi wa Urusi kuirudisha nchini Urusi. Kama ni sahihi (kulingana na taarifa ya Naibu Waziri Mkuu), inaonesha resistance iliyofanyika ni kubwa sana.

Hata hivyo, bado ni mapema. Tusubiri tuone kile ambacho kitajiri hapo baadaye!
Baada ya mwaka mmoja wa uvamizi bado Ukraine wanapambana.
 
Huku mapigano ya majeshi ya Russia yakipamba moto nchini Ukraine, rais Putin kaionya Sweden na Finland wasije kujaribu kuvuka mstari wake mwekundu kwa kujiunga NATO. Ikumbukwe kuwa nchi hizo zote mbili za Nordic countries, zinashea mpaka na Russia kama ilivyo Ukraine.
Wamebakiza hatua chache tu wauvuke huo mstari, ila Supa-pawa naona kaamua kuwapuuza.
 
Wamebakiza hatua chache tu wauvuke huo mstari, ila Supa-pawa naona kaamua kuwapuuza.
Russia angeweza dhibiti Ukraine, hao wengine wasingejaribu kufanya lolote.

NATO yote iliamua kujilipua sana sana UK, US, Poland ili wasionekane wachovu
 
Mzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji1255]

standwithUkraine
[emoji298][emoji298]The U.S. government announced a new $2 billion security assistance package for Ukraine under the Ukraine Security Assistance Initiative (USAI) on Friday, February 24.[emoji298][emoji298]
 
#standwithUkraine
[emoji298][emoji298]On the one-year anniversary of the Russian invasion of #Ukraine, the North Atlantic Council issued a statement in which it reaffirmed its solidarity with Ukraine and its readiness to support the country's struggle for democracy, freedom and independence against Russia's war of aggression.[emoji298]
 
[emoji298][emoji1255]The absolute majority of Ukrainian IDPs and #refugees want to return to #Ukraine one day.[emoji1255]
 
#standwithUkraine
[emoji298][emoji1255]On the first anniversary of Russia’s unprovoked and brutal aggression against #Ukraine, the President of the European Commission, Ursula von der #Leyen, addressed the people of Ukraine with words of support and solidarity.[emoji298]
 
President Volodymyr Zelensky says #Ukraine will not leave behind any of its citizens who are now living under Russian occupation or remain in captivity.[emoji298][emoji298]
 
The bravery and determination of Ukrainians in defending their land from Russian aggression inspired and united the world in support of the fight for #Ukraine's freedom.[emoji298][emoji1255]
 
Back
Top Bottom