Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
ukisema "jiwe" ndugu zangu wa sukuma gang hawakuelewa kabisaUSA na NATO yake ana kiherehere km jiwe !! kuleeee mbali anataka nini huku!...nimuache mke wangu achukuliwe na adui yangu weee pata chimbika!! hamtaamini!.....
Tuseme wewe unaijua Kiev vyema kuliko warusi wenyew sio?Ukisikia Kiev sio kama hapo gongolamboto na mbagala, Kiev ni big city mkuu na jiulize leo ni ya ngapi toka usikie russia wameingia Kiev? ni vile watu wengi hawajui kinachoendelea, Ukraine walikuwa wanamsubiri russia aingie kwenye 18 zao. Ni kama vile panya unamfungia chumbani na wewe umo humo humo unampa kibano
Mkuu URUSI ameingia KYIV Lini?? Mbona unajitoa akili??Haaahaaahaaaa!! Ifuatilizie vizuri Al Jazeera tukio moja wanarudia kuripoti hata wiki mbili. Unaweza kujua ni tukio la leo au jana
Russia aliingia viunga vya Kieve tokea ile wiki ya kwanza, lakini hakuweza kusogea. Vita imechukua mkondo mpya, maaskari wa Ukraine wamepunguza kutumia vifaru, wanatembea na yale Javelin waliopewa juzi, kazi kubwa ni kulipua vifaru vya Urusi. Hata ile miji Urusi aliyotangaza kuichukua vita vimelipuka upya. Hii ni ile inaitwa piga nikupige.Ina maana Russia wameshaingia Viunga vya Kiev?
Putin says Russia must welcome volunteer fighters
Russian President Vladimir Putin has said Russia must allow volunteers who are willing to fight in Ukraine to take part in Moscow’s offensive.
[emoji23][emoji23]
Baada ya kuona Askari wake Wanaiba Kuku.
Russia hawana experience ya Vita kama ya Ukraine
Unatumia nguvu nyingi kwa kitu simple,,elewa kwamba wewe kama ni Mtanzania ukaenda kuwekeza Kenya,wanaofaidia kwa sehemu kubwa ni Wakenya na wewe binafsi,Nchi kunufaika itategemea ukipata faida unatunza kwenye subsidiaries za host country au laa.Em nikuulize swali juu ya swali... Biashara ni nini.
Af nielezee serikali inanufaika vipi na hizo biashara... Af nikuulize tena hizo biashara zinafanywa na Roboti au binadam...
Na kama ni binadam hao binadam hawana Uraia au wanaishi Taifa ya sayari nyingine?
Jomba kila biashara ina Mmiliki hata n "Corporate" ambayo inajulikana ka "Legal entity" ina wamiliki. Hao wamiliki ni binadam wanaishi ka unavoish wewe na sio State Less bali wana Uraia wa Mataifa yao.
Narudia tena Raia wa Marekan kaja apa kaanzisha kampuni au kaajiriwa... Kwenye faida inayopatikana au mshahara anaopata analipa kodi nchini kisha analipia kodi nchini kwake kwasabab ya mfumo wa kodi ambao ni wa Kiraia.... "citizenship based"
Af kingine uwe unafikira nje ya Box... Dunian Tupo zaidi ya Billion 7.8 kati ya hao Wamarekan wapo Mil320 ka sikosei... Haya makampuni makubwa tunayoyasikia yangeishia ndani ya mipaka ya America yasingekua apo tunapoyaona...
Never ever... Ukumbuke biashara unafanya na watu so katuni au simba porini. Unafanya na watu so kuvuka mipaka nie ya mataifa mengine kama unahtaji kikubwa ni lazima.
kwa tafsiri ya kiswahili .Putin congratulated Lukashenka on the successful holding of a referendum on changing the Constitution in BelarusView attachment 2146763
Leo warusi wameingia 40 km mashariki ya kyv.Russia aliingia viunga vya Kieve tokea ile wiki ya kwanza, lakini hakuweza kusogea. Vita imechukua mkondo mpya, maaskari wa Ukraine wamepunguza kutumia vifaru, wanatembea na yale Javelin waliopewa juzi, kazi kubwa ni kulipua vifaru vya Urusi. Hata ile miji Urusi aliyotangaza kuichukua vita vimelipuka upya. Hii ni ile inaitwa piga nikupige.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UK kama machangudoa tuThe UK imposed sanctions against 386 Russian deputies who voted for the independence of the DNR and LNR. Galip SV Liwagu View attachment 2146762
.Hawa madogo wamejipanga kumuaibisha Putin ila soon atatumia chemical weapons kuwapiga usingizi
.Ina maana Russia wameshaingia Viunga vya Kiev?
We mama upo na vibwagizo tu, aisee, duh!..hahahaAiseee