LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ukisikia Kiev sio kama hapo gongolamboto na mbagala, Kiev ni big city mkuu na jiulize leo ni ya ngapi toka usikie russia wameingia Kiev? ni vile watu wengi hawajui kinachoendelea, Ukraine walikuwa wanamsubiri russia aingie kwenye 18 zao. Ni kama vile panya unamfungia chumbani na wewe umo humo humo unampa kibano
Tuseme wewe unaijua Kiev vyema kuliko warusi wenyew sio?
 
Ina maana Russia wameshaingia Viunga vya Kiev?
Russia aliingia viunga vya Kieve tokea ile wiki ya kwanza, lakini hakuweza kusogea. Vita imechukua mkondo mpya, maaskari wa Ukraine wamepunguza kutumia vifaru, wanatembea na yale Javelin waliopewa juzi, kazi kubwa ni kulipua vifaru vya Urusi. Hata ile miji Urusi aliyotangaza kuichukua vita vimelipuka upya. Hii ni ile inaitwa piga nikupige.
 

Putin says Russia must welcome volunteer fighters​

Russian President Vladimir Putin has said Russia must allow volunteers who are willing to fight in Ukraine to take part in Moscow’s offensive.

[emoji23][emoji23]

Baada ya kuona Askari wake Wanaiba Kuku.

Russia hawana experience ya Vita kama ya Ukraine

Ila wanateka miji [emoji23][emoji23]
 
Em nikuulize swali juu ya swali... Biashara ni nini.

Af nielezee serikali inanufaika vipi na hizo biashara... Af nikuulize tena hizo biashara zinafanywa na Roboti au binadam...

Na kama ni binadam hao binadam hawana Uraia au wanaishi Taifa ya sayari nyingine?

Jomba kila biashara ina Mmiliki hata n "Corporate" ambayo inajulikana ka "Legal entity" ina wamiliki. Hao wamiliki ni binadam wanaishi ka unavoish wewe na sio State Less bali wana Uraia wa Mataifa yao.

Narudia tena Raia wa Marekan kaja apa kaanzisha kampuni au kaajiriwa... Kwenye faida inayopatikana au mshahara anaopata analipa kodi nchini kisha analipia kodi nchini kwake kwasabab ya mfumo wa kodi ambao ni wa Kiraia.... "citizenship based"

Af kingine uwe unafikira nje ya Box... Dunian Tupo zaidi ya Billion 7.8 kati ya hao Wamarekan wapo Mil320 ka sikosei... Haya makampuni makubwa tunayoyasikia yangeishia ndani ya mipaka ya America yasingekua apo tunapoyaona...

Never ever... Ukumbuke biashara unafanya na watu so katuni au simba porini. Unafanya na watu so kuvuka mipaka nie ya mataifa mengine kama unahtaji kikubwa ni lazima.
Unatumia nguvu nyingi kwa kitu simple,,elewa kwamba wewe kama ni Mtanzania ukaenda kuwekeza Kenya,wanaofaidia kwa sehemu kubwa ni Wakenya na wewe binafsi,Nchi kunufaika itategemea ukipata faida unatunza kwenye subsidiaries za host country au laa.

Ndio maana Russia analia Lia kwa sababu anaona moto wa vikwazo.
 
Baada ya kuteketezwa wale toys wa mwanzo sasa nao wameanza kutafuta askari wa kukodi.

Nao watafyekwa

Screenshot_20220311-152118.png
 
Putin congratulated Lukashenka on the successful holding of a referendum on changing the Constitution in BelarusView attachment 2146763
kwa tafsiri ya kiswahili .
"Putin amempongeza Lukashenka kwa kuendesha vyema mchakato wa mabadiliko ya katiba "
Pale wanywa damu wanapokutana kupongezana kwa kunywa mapipa ya damu za watu.
 
Russia aliingia viunga vya Kieve tokea ile wiki ya kwanza, lakini hakuweza kusogea. Vita imechukua mkondo mpya, maaskari wa Ukraine wamepunguza kutumia vifaru, wanatembea na yale Javelin waliopewa juzi, kazi kubwa ni kulipua vifaru vya Urusi. Hata ile miji Urusi aliyotangaza kuichukua vita vimelipuka upya. Hii ni ile inaitwa piga nikupige.
Leo warusi wameingia 40 km mashariki ya kyv.
 
Zelesky ameruhusu nchi yake kuwa uwanja wa mapambano kati ya USA/NATO na URUSI.
Nililisema mapema kwenye thread hii ya kuwa


Majadiliano yanampa mwany a Ukraine kuingiza mamluki na silaha kutoka NATO USA. Putin ndo analiona leo.
Hii vita ina manufaa makubwa kwa wamagharibi na hasara kubwa kwa Urusi.

Haikwepeki Urusi atashinda uwanjani ila gharama itakuwa kubwa.


Karibuni mamluki mmsaidie comred Putin mlinzi wa amani ya dunia.

Bila wewe Putin mashoga watatuoa.

Mungu akupe heri na baraka
 
Back
Top Bottom