Putin ameliona mapema hatawezekana kuchakazwa tena japo nguvu na raslimali nyingi zitatumika kwa Rusia.Russia inaenda kuchakaa.
Kwa akili zako fupi unafikiri Ukraine anapigana peke yake mbona hivi vita vingekuwa vimeisha kitambo.Tatizo watz tuna ujuaji wa kinonko sana.
Urusi ikiamua itaivamia Ukraine na Marekani hatofanya chochote zaidi kulialia na kuweka vikwazo.
Marekani na vibaraka wake wangekuwa na nia ya kweli kuisaidia Ukraine wangeisadia kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
Inashangaza eti jeshi ambalo limeshindwa na kukundi cha waasi chenye wapiganaji wasiozidi 50,000 eti kije kukabiliana na moja wapo ya jeshi kubwa duniani.
Iwapo vita itatokea nakuhakikishia jeshi la Ukraine halitaweza kuhimili nguvu ya jeshi la Urusi hata ndani ya wiki mbili.
Wao ndio walianza kuleta Jihadist Ulaya....Ila hili lakuleta Jihadist Ulaya lazima watamkumbuka Putin maisha yao yote😀😀😁😁
Kumbe hata sisi Tukivamiwa hawataweza tuwezaUrban combat siku zote huwa ni ngumu especially kwenye jiji kubwa kama Kiev
hata mim nazielewa naruka nikiona ya jamaa nasoma.naingia youtub RT naechek headlines na cgtn narud huku siwez kuangalia bbc wala sky mana najua kule brainwash nyi gNYUNDO YA MOTO ukianza kuzileta taarifa zako mfululizo nishtue kwani kunitag tu.
At least kwako naona napata taarifa za pande mbili bila mahaba na ushabiki.
Kwamba wewe wajua kuliko NATOKGB lilikuwa dude hatari sana lina mbinu zote za umafia, watu waliona Putin mjinga kushindwa kuipiga ukraine haraka kumbe mwenzao anataka kuicheza hiyo ngoma Ulaya nzima. Maisha ndani ya NATO yatakuwa ya wasiwasi sana na hapo wakitaka kupambana na hao magaidi itabidi wawaue waukraine.
Nchini ukraine na ulaya kunaenda kuchezeka michezo ya middle east
Ukipata taarifa zaidi ya hizo sunctions za MoD utatugei tuzijue...Canada imposes sanctions against the Ministry of Defense of the Russian Federation - the Canadian government. Galip SV Liwagu
View attachment 2146969
Ni mtazamo wako. kila mtu ana upande wake. Kuna wanawaza tofauti na wewe.KGB lilikuwa dude hatari sana lina mbinu zote za umafia, watu waliona Putin mjinga kushindwa kuipiga ukraine haraka kumbe mwenzao anataka kuicheza hiyo ngoma Ulaya nzima. Maisha ndani ya NATO yatakuwa ya wasiwasi sana na hapo wakitaka kupambana na hao magaidi itabidi wawaue waukraine.
Nchini ukraine na ulaya kunaenda kuchezeka michezo ya middle east
Anawaza tu huyo, NATO habari ingine, teknolojia, ujasusi ndio mahala pake..
Duh hizo ela zote ni mali ya serikali au jumla ya mali zote walizochukua.Kyiv is negotiating with European countries so that the arrested $415 billion of Russian reserves will be used to compensate for damage to Ukraine, said the deputy head of the Ministry of Economy of Ukraine. Galip SV Liwagu View attachment 2146971
ufafanuz mkuuIla hili lakuleta Jihadist Ulaya lazima watamkumbuka Putin maisha yao yote😀😀[emoji16][emoji16]