Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sizani ka uhuru wa habari upo ka almost more than 90% ya media zinamilikiwa na kampuni 6 tu ajab zote zipo kutoka Ardhi moja... Upande mmoja.Sahihi social networks zote, zingekuw neutral hasa kwenye swala la siasa katika Dunia, ikishakuwa ya kisiasa tayari imeshachagua upande.
Na kukiwa na upande basi kuna bias, na kukiwa na bias basi kuna kuminywa uhuru na uwazi wa tarifa au habari au maendeleo ya mahali flani.
Effect yake tutashindwa kuona hata uzuri wa Russia na Ukraine na ubaya wao na chanzo haswa cha mgongano, sababu Asilimia kubwa ya vyombo vya habari Duniani n vimeshikwa na Nchi zenye lengo moja na ukaribu wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupigana apigane Putin, Af chuki zipelekwe kwa Abra dahMP urges Chelsea fans to stop chanting Abramovich’s name
Government minister Chris Philp called on Chelsea fans to stop the gesture.
Chelsea supporters should stop chanting the name of sanctioned Russian owner Roman Abramovich, a Conservative Party MP has urged.
Wanachaje jamaa kakaa na timu kwa upendo wote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupigana apigane Putin, Af chuki zipelekwe kwa Abra dah
Sasa hyo waionaje muhenga mwenzangu [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]...Wanachaje jamaa kakaa na timu kwa upendo wote.
Ni kitu ambacho kinashindikana. Utanifanya nilale njaa kwajili ya vengeance zako. Hizo ni personal business.Sasa hyo waionaje muhenga mwenzangu![]()
![]()
...![]()
Af hii ndo tabia tulonayo kila sehem lakin... Ukigombana na mwenzio baa wataka kila rafiki yako aungane na ww kumchukia mliepishana nae.
Na ikitokea usipofanya hvo atakuita msaliti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atariii... na Kuna chama kimoja apo Tz ndo kina wafuasi wa sampuli hyo... Huwa nawatizama tu najsemea acha niwe shabiki wa kula kulala tu ya watu siyawezi... Hivi vingine vimenizidi uzito...Ni kitu ambacho kinashindikana. Utanifanya nilale njaa kwajili ya vengeance zako. Hizo ni personal business.
Mambo ni tofauti nowadays, Mamuzi yako yasiumize wengine ukawapa shida zisizo za msingi
Mimi ni raia wa kawaida kabisaW
Wewe mwanajeshi? Sio kwa kujua huku
Unataka nani amuondoe Rais wa Cameroon au au wa Guinea, mbona alipoondolewa Gadaffi tulilalamika. Hii dunia hakuna nchi iko responsible kivile kutatua shida za nyingine. Huwezi feli wewe ukalilia misaada kwa watu waliojikomboaSahihi ila hakuna nchi inayojitangaza vibaya nje ya mipaka yake....
Twende tu na mifano, hivi kwa wafuatiliaji walioko nje ambao huzifatilia taarifa za Tanzania kupitia TBC, StarTV, Channel 10.
Anaeza akapata habari juu ya watu wasojulikana? Anaeza akapata habari za kupotea kwa watu kama akina Ben Saanane? Anaeza kupata taarifa tfaut na zile zenye kuifurahisha serikali?
Jibu ni happana. Haya tuje upande huo em angalia hizo taarifa zinapatikana kwa wingi kwenye vyombo vipi...?
Msemo wako hakuna taifa safi duniani... Kila kona kulipo na Mwanasiasa huwa ji Ushuzi tu kasoro level za kufahamika kilingana na namna walivoweza kuzibana media taarifa zinazoruhusiwa kutoka...
Cameroon apo Raisi wao yupo toka 1972 ka sikosei... Kama nimekosea mtanisahihisha ila mpaka sasa anadunda. Na sijawah sikia kona yoyote anatuhumiwa kwa udictator na mpka majuzi apo FIFA kupitia CAF wamepeleka mashindano yao...
Equatorial Guinea watu wanaishi maisha ya hovyo sana... Yule kiongozi wao nae ni sampuli hizo hizo ila sijawah sikia mataofa ya wapenda demokrasia wameenda kumtoa ka walivofanya sehem zingine lias kwamba jamaa kamueka mwanae kua makam wa Rais... "Play Boy w Insta"
But hayapewi uzito... Kwanini....
Vyema kwani NATO walipoingia Libya kumtoa Gadafi lilikuwa n jukum lao?Unataka nani amuondoe Rais wa Cameroon au au wa Guinea, mbona alipoondolewa Gadaffi tulilalamika. Hii dunia hakuna nchi iko responsible kivile kutatua shida za nyingine. Huwezi feli wewe ukalilia misaada kwa watu waliojikomboa