Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Kama hii ya hao wajeda 16000... Ukiisoma kutoka source tfauti tfauti unakutana na haya maneno "Agree" mwingine unasema "Plan" af haya fanani kabisa...hata mim nazielewa naruka nikiona ya jamaa nasoma.naingia youtub RT naechek headlines na cgtn narud huku siwez kuangalia bbc wala sky mana najua kule brainwash nyi g
Kukubali maana ake ni kuletewa taarifa kisha ukakubaliana nayo...
Plan maan ake ni kupanga kitu kuanzia mwanzo mpaka utekelezaji...
Sasa heading ya upande inasema Putin Plan to Send....
Heading ya upande mwingine inasemma Putin agrees to....
Ukiichukua taarifa kutoka source ya kwanza unaona kama Jamaa ndo kapanga kufanya hivo...
Ukiichuku taarifa kutokka upande wa pili unaona kama Putin karidhia ila kwenye kitu ambacho hakukipanga....
Sasa swali linabaki ipi taarifa sahihi japo zinafanana kwa asilimia kidogo...?
Taarifa sahih mpaka uyafate maongezi husika rasmi yalipo...
Ukiyapata unakutana na kukubaliana na huyo wa pili kwamba kakubali wale walotaka kujitolea...
Sasa unageuka tena kujiuliza huyo aliesema kwamba anapanga hivi na vile lengo haswa lilikuwa nini kuupindisha uhalisia wa habari husika.