DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Tunapotoshwa TU,Mkuu kama Hitler angeshinda, ukoloni ya Ujerumani ungerudi Tanganyika (na sehemu nyingine za Afrika). Wewe ungetembea na kitambulisho kinachosema ama "nusu mtu" au "nusu sokwe"; maana hii ni jinsi Hitler na wenzake walivyoona Waafrika. Labda ungepata nafasi kufanya kazi ya kufagia barabara za Ujerumani (ingawa hapo walikuwa na mipango kutumia zaidi Warusi), ila kwa masharti uhasiwe kwanza....
Hitler alikua extremist ila hakua racist, hakua na noma na waafrica kabisa
Angekua mbaguz wa rangi asingewaua weupe wenzake waisraeli.

