Tunapotoshwa TU,Mkuu kama Hitler angeshinda, ukoloni ya Ujerumani ungerudi Tanganyika (na sehemu nyingine za Afrika). Wewe ungetembea na kitambulisho kinachosema ama "nusu mtu" au "nusu sokwe"; maana hii ni jinsi Hitler na wenzake walivyoona Waafrika. Labda ungepata nafasi kufanya kazi ya kufagia barabara za Ujerumani (ingawa hapo walikuwa na mipango kutumia zaidi Warusi), ila kwa masharti uhasiwe kwanza....
NATO hawa hawa waliowakimbia Taleban baada ya miaka 20 au NATO ya wapi??¿??NATO wakitia guu pale Urusi inafutika.
NATO hawa hawa waliowakimbia Taleban baada ya miaka 20 au NATO ya wapi??¿??
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
NATO mnawakuza kiasi ambacho itakua wenyewe wanashangaa huo uwezo huo mnaowapa wao hawana.NATO wamesaidia tu visilaha pale Ukraine ila Urusi chali.....kaishiwa na kulemazwa, je wangetia guu pale...
NATO mnawakuza kiasi ambacho itakua wenyewe wanashangaa huo uwezo huo mnaowapa wao hawana.
NATO wenyewe wanaogopa nchi zao kuwa destroyed na hawatakuja kujiingiza direct wataishia kutuma silaha na wataalamu wao ambao wanaishia kuja kufukiwa na Kinzhal huko deep underground.
NATO iko kwenye hollywood movies na kuingilia nchi ndogo ndogo ila hapo kwa Russia hutawaona wakijiingiza direct mpaka SMO itakapoisha.View attachment 2549948View attachment 2549950
Kika siku NATO wanakufa wewe unasema hawajajihusisha hivi wewe unakaa sayari gani? Ina maana silaha zote zilizopelekwa zimetoka afrika? Kwa ufahamu unajua kwann hii SMO kwann imedumu kwa mda mrefu wewe unazani Ukraine ana silaha hata za kupigana wiki mbili? Inatakiwa utoke kwenye huu Uzi.Mpaka sasa NATO hawajajihusisha kwenye hivi vita, wamesaidia Ukraine na visilaha tu vya kawaida na vimesababisha Urusi iishiwe pumzi, juzi tu ndio tumeona wakianza kutoa silaha zenye maana kama vile vifaru vya leopard, humo NATO kuna mataifa hayahitaji kuungana ili kuifuta Urusi.
Wangekubali kubutuliwa kwenye command center control na air defence zao kuchakazwa hata kupeleka vifaru vyao vya abram na leopard wanaogopa mwisho tunasikia Poland amepeleka lakini hatuvioni NATO waoga balaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]NATO wamesaidia tu visilaha pale Ukraine ila Urusi chali.....kaishiwa na kulemazwa, je wangetia guu pale...
Waaraabu wao wakifa wanaenda mbinguni. Kwa iyo wao kifo ni sehemu sahii kwao. Lakini kwa mzungu anaenda sehemu sio sahiiiSio Russia tu hata Israel na Marekani nao furaha yao ni kumwaga damu za watu. Last week wameuawa wapalestna kibao lakini kwa sababu mpalestina sio binadamu kama mu-ukraine basi kelele sio nyingi.
Hata tetemeko liliipiga turkey na syria ila anayezungumzwa sana ni turkey kwa sababu wasyria hata sio binadamu kivile.
Pro-Russia ila sishauri wadau kupoteza mb kuangalia hiyo video, haina kitu.SPONSORED CONTENT
Breaking: The TRUTH About Nord Stream And Who Was REALLY Behind It…
BY PARADIGM PRESS
When Russia’s Nord Stream pipeline was decimated in September of last year, it had all the markings of a coordinated attack.
But no one claimed responsibility for it.
And the story was quickly swept under the rug by the mainstream media.
The New York Times simply called it a “mystery” and moved on.
But today, there’s startling evidence about what really happened – and who was really behind the whole operation.
Here’s what we know for sure…
And that’s only the beginning…
- President Biden has ALWAYS opposed the Nord Stream pipeline, considering it a direct threat to U.S. energy exports to Europe
- Three weeks BEFORE Russia invaded Ukraine, Biden told reporters, “If Russia invades Ukraine… there will no longer be a Nord Stream 2.”
- Russia invades Ukraine on Feb. 24th, 2022
- Eight months later, the Nord Stream pipeline is crippled by 4 massive explosions, 240 feet below the Baltic Sea.
- U.S. energy exports to Europe surge to record highs in order to meet demand, just in time for winter
In this new presentation, one ex-CIA insider pulls back the curtain on what really happened to Nord Stream…
And provides shocking evidence that shows President Biden’s connection to it.
Click here to view this important message while it’s still available.
WARNING: The video you’re about to see is very controversial, and could be removed from the web at any minute.
But every American patriot deserves to know the TRUTH.
Do NOT miss your chance.
Click here now, while this is still online.
Hata Mariupol mlisemaga hivyo hivyo ila mwishowe matokeo yanafahamika.Bakhmut remains the hot spot in the war between Ukraine and Russia — the head of Ukraine's armed forces described the situation in the city as "difficult," although Ukraine's President Volodymyr Zelenskyy said intense fighting there is taking a big toll on Russia's forces.
Zelenskyy said Sunday evening that since March 6, Ukraine's forces had "managed to eliminate more than 1,100 enemy soldiers."
The commander of Ukraine's ground forces Colonel-General Oleksandr Syrskyi said Monday that "Wagner's assault units are advancing from several directions, trying to break through the defenses of our troops and advance to the central districts of the city," according to the latest post on the Military Media Centre, translated by NBC News.
=========================
Bakhmut, Bakhmut,Bakhmut
Huu mji kwa sasa ni alama ya upinzani.
Hata Mariupol mlisemaga hivyo hivyo ila mwishowe matokeo yanafahamika.
Ni jambo la muda tu kabla Bakhmut yote kuchukuliwa maana kwa Sasa Wagona wanaikaribia City Center.
Wangekubali kubutuliwa kwenye command center control na air defence zao kuchakazwa hata kupeleka vifaru vyao vya abram na leopard wanaogopa mwisho tunasikia Poland amepeleka lakini hatuvioni NATO waoga balaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mwaka wa pili ukilinganisha na nini?Unaenda mwaka wa pili sasa kuichukua Ukraine?
Russia had been much exposed
Sio superpower hawa jamaa bali ni maneno tu.
🤚Important for Artyomovsk:Mlioko frontline Leteni updates za kichapo[emoji4]
Je hawa wasio tuasi ila wana lazimisha tuwe mashoga na tutembee na bendera za rangi rangi una semaje?Mkuu kama Hitler angeshinda, ukoloni ya Ujerumani ungerudi Tanganyika (na sehemu nyingine za Afrika). Wewe ungetembea na kitambulisho kinachosema ama "nusu mtu" au "nusu sokwe"; maana hii ni jinsi Hitler na wenzake walivyoona Waafrika. Labda ungepata nafasi kufanya kazi ya kufagia barabara za Ujerumani (ingawa hapo walikuwa na mipango kutumia zaidi Warusi), ila kwa masharti uhasiwe kwanza....