Kwanini nato ? Kwanini usiseme nchi moja wapo maana urusi anapigana kama nchi ... basi ujue urusi ni jitu kubwa sana ndiyo maana nato yote inatakiwa kushikamana kumchangia hata hivyo awawezi kumshindaNATO wakitia guu pale Urusi inafutika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilichogundua ni kwamba napoteza muda wangu kubishana na wewe.sasa hapo izo picha za vifaru 1800 zipo wapi?.Mkuu kama Hitler angeshinda, ukoloni ya Ujerumani ungerudi Tanganyika (na sehemu nyingine za Afrika). Wewe ungetembea na kitambulisho kinachosema ama "nusu mtu" au "nusu sokwe"; maana hii ni jinsi Hitler na wenzake walivyoona Waafrika. Labda ungepata nafasi kufanya kazi ya kufagia barabara za Ujerumani (ingawa hapo walikuwa na mipango kutumia zaidi Warusi), ila kwa masharti uhasiwe kwanza....
Mkuu sina uhakika unajadili nini. Una mfano wa mtu "kulazimishwa kuwa mshoga", je ulitokea wapi, lini, nani alikuwa mtendaji na nani alitendewa?Je hawa wasio tuasi ila wana lazimisha tuwe mashoga na turembee na bendera za rangi rangi una semaje?
Na tukubali wanaume wote kuwa na sisi ni nusu wanawake tuna weza kudinywa.
Mwaka wa pili ukilinganisha na nini?
USA na Wanato wenzake walipigana miaka 20 kule Afghanistan a akaondoka kwa aibu hivyo unataka kusemaje? Kwamba America ni superpower wa mchongo?
Zaidi ya nchi 30 zipo indirect war wengine wakipeleka mpaka watu wao kwa jina la Volunteers na Bado kichapo kinawahusu.
Akili zako za kikanithi pita huku [emoji117]Mkuu sina uhakika unajadili nini. Una mfano wa mtu "kulazimishwa kuwa mshoga", je ulitokea wapi, lini, nani alikuwa mtendaji na nani alitendewa?
Kwenye mdomo na maandishi wanakwambia wameteka vifaru 500.ila ukiwambia tu waonyeshe vifaru hata 100 hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Mkuu hujui kutafuta habari kwenye intaneti?? Hata kutumia google??
BAsi ona hapa: Attack On Europe: Documenting Russian Equipment Losses During The 2022 Russian Invasion Of Ukraine
HAo wa Oryx wanaorodhesha pekee vifaa (vifaru, ndege...) vilivyothibitishwa kwa picha. Kila kitu kina picha yake, bofya tu!
kwa jumla wamehesabu vifaa vya Kirusi vilivyoharibika, au kukamatwa na Ukraine :
Tanks (1831, of which destroyed: 1086, damaged: 92, abandoned: 103, captured: 550) MFANO:
View attachment 2549797
Armoured Fighting Vehicles (805, of which destroyed: 501, damaged: 13, abandoned: 28, captured: 263) MFANO:
View attachment 2549802
Infantry Fighting Vehicles (2192, of which destroyed: 1405, damaged: 65, abandoned: 117, captured: 605) MFANO:
View attachment 2549805
Armoured Personnel Carriers (304, of which destroyed: 189, damaged: 6, abandoned: 12, captured: 97) MFANO:
View attachment 2549806
Jisomee mwenyewe jinsi wanavyotambua picha hizi na kuzitofautisha, maelezo yanapatikana kwenye tovuti.
Sasa si waende.wanasubiri nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]NATO wakitia guu pale Urusi inafutika.
NATO na Europe yote ipo hapo kumzuia Russia asifanikewe na Russia bado anasonga mbele alafu wewe unafikiria ni jambo la mchezoUnaenda mwaka wa pili sasa kuichukua Ukraine?
Russia had been much exposed
Sio superpower hawa jamaa bali ni maneno tu.
Huyo jamaa nilishampuuza muda mrefu...comments zake za kibeberu kwelikweli. amelishwa sumu ya Marekani na hata hawezi yeye mwenyewe kutumia akili yake ya kufikiri. Kila kitu wanachosema Marekani kwake ni sawa. Tukiwa na watu wa aina hii kama kumi tu ni hatari kwa jamii. yeye naa 'ki-rat' hawana tofauti kimtazamo.Kwenye mdomo na maandishi wanakwambia wameteka vifaru 500.ila ukiwambia tu waonyeshe vifaru hata 100 hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Usipende kusikiliza maneno matupu.kwa kuongea tu kika mtu ana uwezo wa kujenga ghorofa, ila kwenye vitendo pagumu.
Afadhali maana wanakufa kama kukuNchi ya Luxembourg imeipatia Ukraine ambulances 14 ili ziwasaidie kubeba maiti zao huko Bakhmut.
View attachment 2549991View attachment 2549992
Unaweza kuiweka hapa hizo picha ya vufaru 1800!?Waukraine wanataja vifaru 3200 hivi walioharibu au kukamata. Inawezekana hii ni namba ya juu. Waingereza hawakubali kadirio hilo. Tovuti ya Oryx inaonyesha picha za vifaru 1800 vya Kirusi ambavyo viliharibika au kukamatwa na jeshi la Ukraine.
Ubora wa vifaru tunaweza kujadiliana, tofauti ziko hasa kiwango cha usalama kwa ajili ya askari ndani yake, vifaa vya darubini vya kulenga gizani na kwa umbali mkubwa, uwezo wa kifaru kupiga wakati wa mwendo na uwezo wa kutumia grened tofauti na kasi ya moto.
Hii ni upande mmoja tu. Upande mwingine ni ubora wa mafunzo wa askari ndani ya kifaru, na uwezo wa uongozi unaotuma kifaru pamoja na au bila ulinzi wa askari miguu. Leopard za Uturuki zilipotea huko Syria kwa sababu Waturuki hawakufuata utaratibu . . .
Menginevyo: kimsingi inawezekana kuharibu kila kifaru.
Babu yao Biden alienda na kikumbia Nchi za magharibi zote zinazounga mkono NATO Ni ipi hazijapelekwa silaha pale na zikapigwa?Sasa si waende.wanasubiri nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waliichukua Afghanistan kutokea wapi?Apple vs Meza
US aliweka serikali yake Kabul
US vs Mullah haikua vita bali USA Walii chukua Afghanistan
US alipo ona Taliban sio tishio tena akaondoka
Ukraine vs Russia ni vita na yyt anaweza shinda
Vimefanyika vikao zaidi ya 100 EU Biden amekutana karibia na Marais wote wa Nchi za NATO saizi kinachoendelea Ni ku collapse kwa benki zake Russia Ni dubwana linameza dunia yote mpka Bei ya kiberiti imebadilika huko kwa pro NATO buza[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]NATO na Europe yote ipo hapo kumzuia Russia asifanikewe na Russia bado anasonga mbele alafu wewe unafikiria ni jambo la mchezo
Ebu fikilia nchi zote tunazoamishwa zina uchumi mkubwa na nguvu kubwa za kijeshi duniani ziko hapo kumzuia Russia asifanikiwe na bado wanashindwa.
NATO na Europe yote ipo hapo kumzuia Russia asifanikewe na Russia bado anasonga mbele alafu wewe unafikiria ni jambo la mchezo
Ebu fikilia nchi zote tunazoamishwa zina uchumi mkubwa na nguvu kubwa za kijeshi duniani ziko hapo kumzuia Russia asifanikiwe na bado wanashindwa.
Vimefanyika vikao zaidi ya 100 EU Biden amekutana karibia na Marais wote wa Nchi za NATO saizi kinachoendelea Ni ku collapse kwa benki zake Russia Ni dubwana linameza dunia yote mpka Bei ya kiberiti imebadilika huko kwa pro NATO buza[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hyo habari kwann asiwekr hapa tukaiona? Au Ina ukakasi gani?Unaweza kuiweka hapa hizo picha ya vufaru 1800!?
Taarifa zote za kuwa Urusi imepoteza vifaru 1000 - 1800 zinatoka kwenye vyanzo vya magharibi. Wa kulaumiwa ni Oryix. Na hapo wanasema hiyo idadi ni nusu au zaidi ya vifaru vyote vya Urusi. Taarifa za namna hii ni nyingi kutoka upande wenu kudai Urusi amepoteza kiasi kadhaa au amebakiwa na kiasi kadhaa ambacho hakitoshi. Bila kutoa vyanzo kutoka Urusi taarifa hii hatuwezi kuichukulia maanani kivyovyote vile ni kama tu taarifa za kwamba Urusi imepoteza wapiganaji laki mbili, au urusi imebakiwa na chakula cha siku tatu, au urusi inaishiwa makombora, au Majenerali wengi wa Urusi wamefia Ukraine Nk.
Dalili za kuwa hizi ni propaganda ni, moja, wanaotoa taarifa za loss kwenye jeshi la Urusi wanaclaim wako 'independent' lkn hapohapo hawatoi taarifa za loss kwenye jeshi la Ukraine. Ilitakiwa watuambie Urusi amepoteza kiasi kadhaa na Ukraine kapoteza kiasi kadhaa ili tupate picha halisi ya nani anapoteza zaidi. Je, Unaweza kutuonesha wapi Oryix wametaja kiasi cha vifaru vya Ukraine vilivyopotea hadi sasa!? Kama hawajatoa za Ukraine kwa nini!? Ina maana wao wako commited kuhesabu tanks za urusi zilizoharibiwa tu bila ya kutilia maanani za Ukraine!?
Mbili, Hakuna uwiano mzuri wa namba zinazotolewa na hivyo vyanzo, mf. Taarifa ya Oryix kuhusu vifaru vya Urusi imenukuliwa na WSJ lkn kuhusu vifaru vya Ukraine WSJ wamenukuu taarifa ya IISS ambapo wamesema Ukraine imepoteza kati ya vifaru 450 mpk 700 huku vifaru 950 vikibakia operational. Sasa kama Ukraine wamepoteza vifaru 700 tu na Urusi 2000 inakuwaje Ukraine ndio anaomba apatiwe vifaru kutoka west!? Ukraine hajapoteza hata nusu ya vifaru alivyokuwa navyo kama kweli 950 bado vinapiga kazi lkn urusi tyr ameshapoteza zaidi ya nusu Logic ni kwamba Urusi anapoteza kwa speed kubwa zaidi ya Ukraine na hivyo angepaswa yeye kuomba na sio Ukraine maana kama ataendelea kupoteza kwa kasi ileile basi ataishiwa kbl ya Ukraine. Cha ajabu Ukraine ndio analalamika kutaka apatiwe vifaru zaidi.
Tatu, Mashambulizi yanayofanywa na urusi na mafanikio yake hayaungi mkono madai ya kwamba Urusi amepoteza zaidi au anakaribia kuishiwa. Mf. Kwenye mashambulizi ya juzi Ukraine wanasema urusi amerusha hypersonic 6 hii si dalili ya kuwepo na makombora ya aina hiyo 30. Una makombora 30 na production imesimama alaf kwenye shambulio la siku moja tu unarusha 6 kwa mpigo!? I am not buying! Kuzingatia level ya technology na ugumu wa kuzalisha hayo madude na umuhimu wake na hofu ya kuwepo na further escalation.
Nne, mnataka kutuhamisha kwenye jambo la msingi ambalo ni ushindi kwenye uwanja wa vita. Wakati Ukraine wamefanikiwa kdg kwenye counter offensive yao mwaka jana hakukuwa na taarifa nyingi za Urusi kapoteza tanks ngapi au risasi ngapi bali taarifa za kukombolewa miji ya Kharkiv na mingineyo na jeshi la Ukraine ndio zilitamalaki. Sasa hv hakuna progress yyt ya maana ambayo wanaifanya so wamerudi kureport habari za vifaru, ndege, makombora nk. ambazo Urusi amepoteza. Sisi hatusahau msingi ni progress kwenye uwanja wa mapambano na wala sio nani kapoteza nini wala nini. Km unapoteza vifaa kdg lkn kwenye mapambano umezidiwa unapigwa haina maana. End of the day Urusi wanareport kuchukua kijiji after kijiji after mji after jiji Ukraine wanareport loss za vifaa kwenye jeshi la Urusi kana kwamba wao lengo lao ni kulitia hasara jeshi hilo hata kama linazidi kuchukua maeneo ya nchi yao zaidi. Lets get back to the main agenda. Territory!!! Urusi atolewe Ukraine au Ukraine atolewe East Ukraine. Sio vifaa wala silaha.
Hyo habari kwann asiwekr hapa tukaiona? Au Ina ukakasi gani?Nadnani hapa isiwe sehemu ya porojo iwe sehemu ya fact
Russia kaathirika kiuchumi kuliko nchi yyt ktk vita hii na sasa wese anauza kwa hasara ili a finance vita
Tuache porojo