Safi sana. Ni kama tu ambavyo US hawaitambui hii mahakama.Urusi yatangaza kutoitambua Mahakama ya kimataifa ya Uhalifu. "Urusi haitambui Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu na mamlaka yake", Kremlin.View attachment 2550949
Huu mji ndo kitovu cha Dombas.Bakhmut remains the hot spot in the war between Ukraine and Russia — the head of Ukraine's armed forces described the situation in the city as "difficult," although Ukraine's President Volodymyr Zelenskyy said intense fighting there is taking a big toll on Russia's forces.
Zelenskyy said Sunday evening that since March 6, Ukraine's forces had "managed to eliminate more than 1,100 enemy soldiers."
The commander of Ukraine's ground forces Colonel-General Oleksandr Syrskyi said Monday that "Wagner's assault units are advancing from several directions, trying to break through the defenses of our troops and advance to the central districts of the city," according to the latest post on the Military Media Centre, translated by NBC News.
=========================
Bakhmut, Bakhmut,Bakhmut
Huu mji kwa sasa ni alama ya upinzani.
Kwa vyovyote Putin hawez pelekwa kwenye hiyo mahkamaTeh, kwahiyo Putin hawezi tena pelekwa huko kama walivokuwa wanajipanga
Tumemaliza wakileta mchezo nao tunawachapaUrusi yatangaza kutoitambua Mahakama ya kimataifa ya Uhalifu. "Urusi haitambui Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu na mamlaka yake", Kremlin.View attachment 2550949
Umepambana kubalance shobo ila, umeeleweka ww uko upande wa waNATO.Write your reply...Nimefuatilia sana mijadara humu jukwaani.nimegundua kuna propaganda nyingi sana kuliko uhalisia,si upande wa US,NATO wala Russia.
mfano mtu anakuambia cnn au al jazeera ni propaganda then anatambua kama RT(russia government controled) ni credible source(but wa i between ukraine against russia).
mfano mwingine ni NATO wanamuogopa russia but at the same time russia hataki majirani wajiunge NATO.
Mfano mwingine ni russia kuishiwa siraha wakati wanatengeneza wanyewe (solution ni kuongeza production).
na mingine mingi.
They won't make any difference Kipanya,sana sana zitatunguliwa tu.The West combined is no match to Russia.Kwanza realistically Europe has run out of military hardware for transfer to Ukraine.The US is left with military hardware for it's own defence and does not have a quick assembling base as Russia does either.So to me Russia is wrapping up the war.Poland may transfer MiG-29 fighters to Ukraine within the next 4-6 weeks, Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said, the Jerusalem Post reported.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Daaaah mamaaaaaeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zelensk kwa sasa akiangalia hii picha naona anatamani kujifukia chini.[emoji23][emoji23][emoji23]
Awamini macho yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2550670View attachment 2550671
Babu bideni sound nyingi,, vifaru mpaka leo ajapeleka,, sisi kama warusi tunataka kwanza vifaru vya abraham tuvitie kibiliti afu ndo mlete hayo mambo yenu ya badget kubwa ya kijeshi...[emoji631]Joe Biden wants to increase the US peacetime national defense budget to $886 billion. According to him, Russian aggression in Ukraine stimulates demand for increased military spending on ammunition, Reuters reported.
[emoji328]: AP
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa nini mnakuwaga overly concern na masuala ya idadi ya silaha na ubora wa silaha zinazo zalishwa kwenye viwanda vya silaha vya Urusi!!! Mara zote mnajaribu sana ku-water down everything Russian or Chinese - US na baadhi ya mashabiki kujifanya Miungu wadogo who knows kila kitu kinacho endelea huko Urusi na Uchina na wanazungumza na lugha ya dharau kweli kweli kumbe hiyo kisaikolojia inadhiliisha watu/taifa ambalo halijiamini kijeshi - ndio maana ana kawaida ya kutumia vitisho tisho na kudai wanamiliki silaha ambazo ni game changer kumbe ulaghai mtupu - kwenye miaka ya late 1957 nafikiri waliwahi kulipua bomb la nuclear na kujidai hilo ndilo lilikuwa babu kubwaMkuu kwanza Urusi si adui yangu. Pili sijaambiwa silaha za aina zote zipo uwanjani wala sikudai. Tatu sijaona NATO walitabiri hizo "supersonic" zitaishia julai mwaka uliopita. Na wewe hujaiona!!
Nimeona makadirio tu kwamba kwa jumla roketi za aina hii Warusi wanazo takriban 50, hadi sasa walitumia labda 20-30, na hakuna uhakika wanaweza kutengeneza ngapi kwa kasi gani.
Kuhusu T14 Armata: ndiyo nadhani kutoonekana kwake uwanjani ni uthibitisho kwamba hali halisi haiko. Walishindwa kuizalisha zaidi ya hiyo idadi ndogo kwa paredi na majaribio. Juu nilileta pia taarifa mbalimbali zinazoonyesha jinsi gai mara wizara ya Urusi, mara kiwanda walileta matangazo kuwa "sasa karibuni" uzalishaji utaanza. Matangazo hayo mara kwa mara, bila kuonyesha kitu . . . .
Sasa Russian bombers ziki take off ndio imaanishe WW3/Niclear war ndio inaaza hivyo - huo ni ulaghai wa Zelensky vita imemshida sasa ndio anabuni mbinu za kutaka kuziigiza moja kwa moja US/NATO kwenye mgogoro huu - Russian Bombers taking off doesnt mean are laden with thermonuclear missile/bombs or intending to attack NATO members with nuclear or conventional payloads - NATO/US wawe makini sana na uchonganishi na uongo wa Zelensky - maigizo yake yanaweza kuiangamiza Dunia nzima. Kesha ona vita hii haiwezi ndio maana anatuletea plan "B" ya kutaka kugambanisha NATO/USA na Urusi ana kwa ana - jamaa huyu nasema kila siku kwamba viko fyatu kidogo na ukiongezea unga ndio basi tena Dunia itakwisha.Air Raid Sirens in Ukraine as Russian Strategic Bombers Takeoff
14 MARCH 2023
Air raid sirens are sounding in multiple areas of Ukraine because Russian Strategic Bombers are taking off inside Russia.
Russian Foreign Ministry this morning said publicly "The possibility of nuclear war has increased because of Washington and its allies."
Awaiting further info about Air Raids . . . check back.
Yaani mkuu ulivyo andika ni kama Zelensky is an independent person from the West.No, you cannot separate the West from Zelensky,ni kitu kimoja,kwa hiyo Zelensky anacho-bwata ndicho alicho ambiwa na handlers wake the West aseme.Kumbuka kwamba this is an American-Russian war being fought in Ukraine by Ukrainian mercenaries.Europe wamekuwa dragged into the war lakini realistically haiwahusu.Europeans are so dumb.Kwa nini mnakuwaga overly concern na masuala ya idadi ya silaha na ubora wa silaha zinazo zalishwa kwenye viwanda vya silaha vya Urusi!!! Mara zote mnajaribu sana ku-water down everything Russian or Chinese - US na baadhi ya mashabiki kujifanya Miungu wadogo who knows kila kitu kinacho endelea huko Urusi na Uchina na wanazungumza na lugha ya dharau kweli kweli kumbe hiyo kisaikolojia inadhiliisha watu/taifa ambalo halijiamini kijeshi - ndio maana ana kawaida ya kutumia vitisho tisho na kudai wanamiliki silaha ambazo ni game changer kumbe ulaghai mtupu - kwenye miaka ya late 1957 nafikiri waliwahi kulipua bomb la nuclear na kujidai hilo ndilo lilikuwa babu kubwa
Sasa Russian bombers ziki take off ndio imaanishe WW3/Niclear war ndio inaaza hivyo - huo ni ulaghai wa Zelensky vita imemshida sasa ndio anabuni mbinu za kutaka kuziigiza moja kwa moja US/NATO kwenye mgogoro huu - Russian Bombers taking off doesnt mean are laden with thermonuclear missile/bombs or intending to attack NATO members with nuclear or conventional payloads - NATO/US wawe makini sana na uchonganishi na uongo wa Zelensky - maigizo yake yanaweza kuiangamiza Dunia nzima. Kesha ona vita hii haiwezi ndio maana anatuletea plan "B" ya kutaka kugambanisha NATO/USA na Urusi ana kwa ana - jamaa huyu nasema kila siku kwamba viko fyatu kidogo na ukiongezea unga ndio basi tena Dunia itakwisha.