Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahahah amekiita hicho kitendo sio proffessional ila hana jinsi amelowa kende kabisa 🤣🤣🤣
 
Hahahahah sahizi hao mashoga watajuta kumchokonoa Big Brain Vladimiri Putin. Anawachapa vitani na kwenye uchumi.
Usicheze na mtu mwenye akili wewe.
 
Hahahah watu wana hamu ya kuwafyeka mashosti wa NATO haraka iwezekanavyo 🤣🤣🤣
 
US ‘Obviously’ Blew Up Nord Stream – French politician

French party leader Florian Philippot believes it has long been obvious that the United States was behind last year’s sabotage of the Nord Stream pipelines, which were built to deliver Russian natural gas to Western Europe.

“Even before the war in Ukraine, the US for years fought against Nord Stream, it was a permanent part of their policy,” he told RIA Novosti in an interview published on Friday.

“In early February 2022, [US President Joe] Biden said the Americans could make it so that the pipeline was no more. That’s what happened. And it was in the interest of the Americans,” according to Philippot, who heads the right-wing The Patriots party in France.

Subscribe to RT
 
Daraja Crimea walipiga wamelijenga Tena Sasa wao wanazani kile kipande kilichoharibiwa hakirekebishiki? Yaani US mwaka huu watahema Sana Wenda Biden atafa kwa presha mwaka huu.
 
[emoji298]️South Africa is aware of its legal obligations and takes into account the International Criminal Court's warrant for the arrest of Russian President Putin, Presidential spokesman Vincent Magwenya said, Reuters reported.

Russian President Putin was expected to visit South Africa in August to attend a BRICS summit.

[emoji328]: Reuters

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tafadhali angalia mantiki yako. Unasema
1) Warusi walichukua Hostomel
2) Walikuwa evacuated
3) They did not loose it

kama walishinda, kwa nini walipaswa kuokolewa kutoka huko (hii ni maana ya evacuated...).
Hali halisi walipigwa vibaya walipaswa kukimbia.
 
Hostomel lazima movie itolewe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hostomel Airport ilichukuliwa kwa Lengo maalumu, Withdraw ya troops from Kyiv Outskirts ilifanya kuendelea kushikilia Airport kuwe hakuna maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…