Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unahisi OP ikiisha hao wafanya biashara wa urusi watanyamazia pesa zao zilizoshikiliwa? Zingekua zote za serikali hapo sawa ila nyingi ni za individual...
Zitakutokea puani...shoga ww hujajua bado...usifikir tawala zilizopo zitakaa tuu milele madarakani..au hukumbuki kuna bomberdia yetu ameichukua mkulima mmoja wa canada? Acheni kufikiria kwa kutumia pale pa'lgtb' basi..tumien brain..View attachment 2558611
Hadi mtoto wa putin aliekeza ulaya mapesa kibao sasa zinaliwa ngawira, zinawasaidia Ukrean misaada mbali mbali na silaha pia anazopewa ukrean malipo yake fedha zitatoka kwenye mgongo wa russia
 
[emoji298]️South Africa is aware of its legal obligations and takes into account the International Criminal Court's warrant for the arrest of Russian President Putin, Presidential spokesman Vincent Magwenya said, Reuters reported.

Russian President Putin was expected to visit South Africa in August to attend a BRICS summit.

[emoji328]: Reuters

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na akienda asipokamatwa tukuite nani?
 
Askari wa Urusi kiboko ya Ukraine wamewashughulikia wanajeshi wa Ukraine waliokuwa Wanaja

ribu kusonga mbele Kwa kipigo Cha kikatili na kuwafanya wachanganyikiwe na kusahau walikotoka.
 
Hali tete huko Adviivka.Warusi wanakaribia kuzunguka mji wa Adviivka.vijiji vyote vya karibu na mji vimeanguka kwenye mikono ya Warusi[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



[emoji95][emoji95][emoji95]
Situation in the Avdeevka Region: 10:00 20/03/2023

In the Stepnove Area, units of the Donetsk Army Corps were able to liberate the village of Stepnove and have begun attacking the conjuctive village of Berdychi. They have also expanded the bridgehead in the direction of the Avdeevsky Coke Plant and the Garbage Dump.

In the Kam'yanka area, the situation remains relatively vague, however the village of Kamenka is most likely under the control of Russian units.

In the Sjverne Area, units of the Donetsk Army Corps supported by Special Forces of the Russian Federation entrenched on the outskirts of Sjverne.
[emoji95][emoji95][emoji95]
IMG_20230320_102747_871.jpg
 
Russia imeanza kuigeuzia kibaao USA na icc Kwa kutoa hati ya kumkanata balozi wa USA icc , (USA itakuwaje na mwakilishi kwenye taasisi ambayo haiitambui? ) Na pia itamkamata jaji alieweka Saini kuidhinisha hati hiyo.
💢 The Russian Federation will issue arrest warrants for the US Ambassador to the ICC (strange that the US would have an ambassador in an organisation it does not recognise), who initiated the case against President Putin and the ICC judges who signed the illegal warrant.

@NewResistance
 
Hostomel Airport ilichukuliwa kwa Lengo maalumu, Withdraw ya troops from Kyiv Outskirts ilifanya kuendelea kushikilia Airport kuwe hakuna maana.
Bila shaka ilivamiwa kwa lengo maalum (kutuma wanajeshi bila lengo maalum si kawaida...) na lengo lilikuwa kuishika ili vikosi viweza kutua kwa ndege. Lengo hili lilishindikana, na ndege zenye askari ziliangushwa. Ukraine ilifaulu kuharibu njia ya kutua hivyo uvamizi ulikuwa bure. Vikosi vya Kirusi vilipigwa vibaya, pamoja na balaa ile ya foleni ya vifaru na magari iliyopigwa vibaya. Kumbe walikimbia wakatafuta usalama upande wa Belarus na Urusi na kuhamisha mabaki kwenda Donbas.
 
VIDEO
Kuna Askari Mmoja wa Ukrein Aliwahi Kuhojiwa Kuhusu Vita
Jamaa alisema Hawa
WAGNER
Nihatari yaani Nikama Mizimu inayo Fufuka haina Uoga Na Anajiuliza Hajui wanapewa Vitugani !!
Angalia Hii video Hawa watu Nihatari yaani Mashine Inatema Rocket yeye nduo kwanza Anapiga Gitaa juu yake
Wana mzuka Balaa
Ndio maana West wana wagwaya hawa watu ni Mizimu

MUNGU IBARIKI URUSI ​

URAAAAAAAAAAAAAAAAA​

 
Russia imeanza kuigeuzia kibaao USA na icc Kwa kutoa hati ya kumkanata balozi wa USA icc , (USA itakuwaje na mwakilishi kwenye taasisi ambayo haiitambui? ) Na pia itamkamata jaji alieweka Saini kuidhinisha hati hiyo.
💢 The Russian Federation will issue arrest warrants for the US Ambassador to the ICC (strange that the US would have an ambassador in an organisation it does not recognise), who initiated the case against President Putin and the ICC judges who signed the illegal warrant.

@NewResistance
Awamu hii wamekutana Na Jabali mwamba Sio Vidagaa
Mbona tutaona Mengi
 
Bila shaka ilivamiwa kwa lengo maalum (kutuma wanajeshi bila lengo maalum si kawaida...) na lengo lilikuwa kuishika ili vikosi viweza kutua kwa ndege. Lengo hili lilishindikana, na ndege zenye askari ziliangushwa. Ukraine ilifaulu kuharibu njia ya kutua hivyo uvamizi ulikuwa bure. Vikosi vya Kirusi vilipigwa vibaya, pamoja na balaa ile ya foleni ya vifaru na magari iliyopigwa vibaya. Kumbe walikimbia wakatafuta usalama upande wa Belarus na Urusi na kuhamisha mabaki kwenda Donbas.
ww umejuaje kama hilo ndio lilikuwa lengo kuu la Russian Army..???..je wewe nae ni sehemu ya wapanga mikakati wa Jeshi la Urusi..???...acha kutudanganya asubuhi hii..ya J3..!

ww ulishaharibu credibility yako humu siku za mwanzoni tu ... ulivyoingia na Argument yako humu kwamba Russian hawana hypersonic Misiles...bali wana Air to Land ICBM's ambazo zinakuwa launced na FJ.....na kwamba hakuna hyo Tech Russia...na blah blah kibao humu....bt today tunawashuhudia West wenyewe...wanakiri kwamba...Russia wana hizo silaha..na Tech..

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom