Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tanzania tuna vijana wa ovyo Sana tutarajie zele kushtukiza ziara Russia.
Frlf4o2WAAEvNtd.jpg
 
Maisha ya matajiri wa Russia ni machungu Sana baada ya Puttin kuivamia Ukraine, Mali zao nyingi zimepigwa ban zilizoko nje . Si waungane wamchinjilie mbali hichi kibabu

Ila nyie watu sometimes akili zenu tukisema zimeenda na marinda mnalalamika. Matajir wa west wengi mali zao zipo Russia. Unafikiri kwanini mpaka sasa hawajataifisha mali za mrussi?? Kama unaakili utajiongeza.

Russia ni kina kirefu sana.
 
Hapa ndipo unapojua west wamechanganyikiwa ......kuhusu Putin.....hivi Kwan Kuna raisi anaye visit taifa lingine bila assurance ya usalama .....

Putin aende ujerumani kufanya Nini [emoji23][emoji23]

Wamesahahau wao walikua wanakwenda piga magoti pale Russia. Afu mwamba anawaweka kwenye meza ndefu[emoji16][emoji16]
 
Niliwashangaa Waukraine zaidi walipo piga mizinga jengo lilokuwa lina hifadhi ndege yao iloyo kuwa inasifika sana Duniani kwa kibeba tani nyingi za mizigo kuliko ndege nyingine hapa Duniani A225 - Waukraine waliichakaza kabisa baadae wanakuja kuwasingizia Warusi - juzi hapa ndio Waikraine wamekiri kwamba Warusi hawakuhusika chochote kulipuliwa kwa Antonov A-225.
Ukraine walifanya mambo mengi ili kuvuta attention ya west kuwasaidia silaha.

Kama unakumbuka mwaka jana waliibua kashfa ya sexual crimes kwa Russian soldiers badae wakaja kukiri kwamba walikuza ili kupeleka presha wapewe silaha
20230319_170800.png
20230319_170814.png
 
Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255][emoji123]


In the temporarily occupied Kakhovka, Kherson region, a powerful strike destroyed a Russian ammunition depot,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine tayari anawachinja askari wa urusi Mkuu,huna habari kwamba askari wa urusi hambao wameshachinjwa huko Ukraine wanakaribia laki mbili?? Achilia mbali wale hambao wametiwa vilema!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wale wa jana 800+900 wa juzi =1700 kwa hesabu zangu za haraka naona km mmezid hyo laki mbili mnayosema, ipo kwenye 350,000, je tuwaamini au tuache kuwaamini?
 
Hii ilinipita lini walikubali mkuu??
Niliwashangaa Waukraine zaidi walipo piga mizinga jengo lilokuwa lina hifadhi ndege yao iloyo kuwa inasifika sana Duniani kwa kibeba tani nyingi za mizigo kuliko ndege nyingine hapa Duniani A225 - Waukraine waliichakaza kabisa baadae wanakuja kuwasingizia Warusi - juzi hapa ndio Waikraine wamekiri kwamba Warusi hawakuhusika chochote kulipuliwa kwa Antonov A-225.
 
Hello Wapenda Amani na Haki Duniani Team URaaaaa. Hamjambo Tukumbukane na Kusalimiana hili wiki Ni Full Raha tu. Maana Mwamba Hana Habari na Porojo zao Za ICC.

Kiukweli Tungekuwa na Putin Mwingine China Dunia Ingelikuwa Sehemu Tulivu iliyo na Amani kila Kona
Si DRC, Sudan wala Libya
 
Update on the battle for Artyomovsk. Ukrainian forces have only one road left out of the city. It is under constant artillery fire by Russian forces and vehicles on it are targeted by ATGMs as well. Inside the city the Wagner assault units have taken roughly 90% of the AZOM industrial plant. In the south Ukrainian forces attempted several counterattacks against Russian positions however by morning all these attacks had been repulsed and the Ukrainians were forced back.
 
Back
Top Bottom