Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

German authorities will comply with the ruling of the UN International Criminal Court in The Hague and be forced to arrest russian warmonger vladimir putin if he dares to enter their country.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ujerumani aende kufanya nn? Hata Biden mwenyewe ijapakuwa Hana hiyo warrant ya kukamatwa laakin mpaka atatoka madarakani hatakuja kukanyaga ujerumani.
 
Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255][emoji1255]


Over the past day, the Air Force of the Armed Forces of Ukraine launched 10 strikes on enemy clusters.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Watu wanataka supu ya Putin [emoji848]🥱🥱🥱🥱

Katrina Kaktina, the Ambassador of Latvia [emoji1145] to the UN [emoji2407]

1679230570696.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Duh haya mawazo yako yamenishangaza sana.
Mali za serikali ya Russia pamoja na Mali za matajiri wa Russia has wenye mafungamano na serikali zimezuiwa. Kuna tofauti ya kuitaifisha na kuzuiwa. Hapo baadae mali za serikali zinaweza kutaifishwa ila za matajiri haiwezekani maana wao hawahusiki na SMO ya serikali.
Hata mali za serikali sio rahisi kutaifishwa kuna mrorongo mlefu wa kisheria mpaka kufikia hatua hiyo.
 
German authorities will comply with the ruling of the UN International Criminal Court in The Hague and be forced to arrest russian warmonger vladimir putin if he dares to enter their country.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hayo kayasema nani!! Na ana wadhifa gani kwenye Serikali ya Ujerumani???
 
Wao (NATO) walimuandaa Ukraine kwa muda mrefu ili aweze kupambana na RUSSIA siku za mbeleni....

Russia na wao walishajiandaa kwa hii vita kwa vita kwa muda mrefu.

Inawezekana russia walijua fika ya kwamba wamagharibi hawawezi kutatua huu mgogoro kwa njia ya diplomasia licha ya kuingia mkataba wa MINSK.

Yawezekana russia na wao walikuwa wananunua muda wa kujiandaa zaidi na zaidi ili kuidhibiti NATO kama wao walivyonunua muda wa kujiandaa kama asemavyo kansella merkel.

Msikilize putin kwa sikio la ndani anavyozungumza, utagundua kumbe russia angeliivamia ukraine tokea mwaka 2014 angelipata pigo kubwa sana kwa sababu hakujiandaa kiuchumi, mifumo ya fedha, silaha za maangamizi mfano wa hypersonic na nyenginezo tusizozijua.

Hii ndio tofauti ya wenzetu na sisi, nchi yetu imejaza wakurupukaji.




Subjective mood can not applied here ---vladimir vladimirovich putin
 
Hkuna ww3 itayoletwa na ICC kisa PUT IN sababu hakuna anaeweza kumkamata PUT IN
Safi sana ,umeona kama Mimi ninavyoona.
Hakuna Vita yoyote ya Dunia kutokea labda kwa kidhani Vladimir atakamatwa,kwa sababu kwanza hakuna nchi yoyote inayoweza kujaribu TU kicokiria kumkamata Vladimir,nakuambia hivi hata USA TU, hawawezi kujaribu ujinga huo.
Hicho walichofanya ICC ni mihemko ya kike tu,isiyokua na maana yoyote,Tena ni vishinikizo TU kutoka Kwa vijiwanasiasa uchwara vya nchi za west.maana wanasiasa makini hata wa west TU hawawezi kuja na wazo hilo.
 
Biden alilazimikq kuitaarifu Urusi juu ya safari yake Ukraine ila tunaona Putin alikuwa Ukraine anakatiza mitaa ndani ya land cruiser. Hakuhitaji kumtaarifu yeyote. Minato nadhani sasa mmejua kati ya viongozi wa nato na Putin nani ana pumbu za chuma
 
ICC mnaingalia nyie tuuu

PUT IN alikuepo MAURIOPOL c wanasema sehem ya UKRAINE mbona hawajaenda kumkamata
Hii ishu ya ICC wameiibua kuja kuzima story ya US drone MQ-9 reaper ilivyoshushwa na Russian jets SU-27.
20230319_162215.jpg

Russia wenyewe hawako kwenye mpango huo wa ICC na hawatambui majukumu yake sasa unashangaa ICC wanatumia kigezo gani kutoa arrest warrant?
20230319_162423.png


Hapo Black sea US amekua anadhalilishwa sana na Russia nakumbuka miaka ile ya USS Donald cook walivyokutanishwa na Russian SU-24 jets.
Screenshot_20230319-163100.png

Screenshot_20230319-162825.png


Off topic... mdau mwenye kujua android app photo editor ambayo inaweza kuweka vibox na arrows kama zinavyoonekana kwenye picha hapo [emoji116][emoji116]
IMG_20230319_161929_193.jpg

IMG_20230319_161931_329.jpg
 
Chaajabu ni kuwa ukrine anapiga makombora nchi yakeView attachment 2558010
Niliwashangaa Waukraine zaidi walipo piga mizinga jengo lilokuwa lina hifadhi ndege yao iloyo kuwa inasifika sana Duniani kwa kibeba tani nyingi za mizigo kuliko ndege nyingine hapa Duniani A225 - Waukraine waliichakaza kabisa baadae wanakuja kuwasingizia Warusi - juzi hapa ndio Waikraine wamekiri kwamba Warusi hawakuhusika chochote kulipuliwa kwa Antonov A-225.
 
Mkuu Asante kwa kulitambua hilo . Mabeberu ni wajanja sana walisema Ulaya yote watakufa kwa baridi , hivi ni wangapi walikufa kwa baridi , Vita alivyoanzisha PUTIN vitamtokea matakoni kama sio vilishamtokea , achana na vikwazo vya uchumi.
kama unafikiri ipo siku western media zitakupa habari za mateso waliyopata wakati wa winter,basi amini pia beberu nae atapata mimba. Moja wa waanga wa kukosa nishati rahisi ya RUSSIA ni viwanda vikubwa vya europe,waulizie vipi hali yao kwa sasa. Hali hii ya kuumia kwenye nishati ndio imechochea chokochoko anazolengwa CHINA kwa maana Europe industry zinateketea wakati za CHINA zina prosper kwa kupata nishati kwa bei ubwete.

Kibaya zaidi OPEC wamemsilkiliza RUSSIA na wao wamepunguza uzalishaji mafuta ili kumaintain bei ya crude oil ibaki juu. Maumivu kwa US na Europe ni makubwa kulivyo walivyotarajia.
 
Back
Top Bottom