Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukiongea mtwambie


Halaf naomba hio sehem PUT IN alotangaza kwamba ataipiga UKRAINE kwamuda fulani uniletee niione

Nnachojua nauhakika nikwamba PUT IN alisema kwamba SMO ni long process

Ukileta ushahidi wako namie wangu ntauleta hapa

SMO inaendelea namalengo yatafikiwa mpende msipende
Mkuu muda unakwenda kasi sana, hilo limeshajibiwa kitambo. Leo watu waiingalia ICC inaendeleaje.
 
Supa pawa baada ya kushindwa vita huko vietnam akaamua kuondoka na watoto kwa kisingizio cha .........

Leo hii supa pawa ameshajisahaulisha

Andika Operation Babylift kwenye search engine mfano google
1679203282325.png

1679203305379.png

1679203359700.png
 
Wanajeshi wa Urusi saa zingine ni kama wajinga fulani,wao kila saa wanatembea kama kumbi kumbi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanajeshi wa Urusi wako wapi hapo.ebu nionyeshe na mimi niwaone maana naona video game hapo sioni mwanajeshi wala kifaru, au wenzetu mna macho 12.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We ni mzungu gani mwenye imani haba kiasi hiki? Kwanini unaamini sana katika baadhi ya mambo kuwa hayawezekani? Si ulisema Hypersonic haziwezekani kwa laws of physics ila tukaona Ukraine ikiangamizwa na Kinzal 6 juzi? Leo tena unadai hamna mashine za kuzama deep 1500Ms? Kama pipe layers zilitandaza mabomba ya Nord Stream Baltic sea leo watu wakose mashine za kurecover kitu deep baharini? Unatuangusha bana
Kwa nin unaamin huyo ni mzungu???

Usihadaike na hizo mbwembwe zake za uandish

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Kwahio wanataka kumkamata Trump na kumuweka ndani? Kosa lake ni nini au kuwa mrengo wa Putin[emoji1787]
Wanamkakat wa Biden wameshtukia kuwa uchaguz ujao wanatembelea kucha


Kwa namna upepo unavyovuma Trump anakimbiza balaa ndan ya chama chake na hilo ni tatizo kwa upande wa Babu



Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom