Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Na kama sikosei muungano wa BRICKS Wana possess population kubwa Duniani .,Mzee unazingua sana aisee!!! Sijui unajiondoa ufahamu au wewe kichwa chako ni kigumu.
1. Nimekuambia kuwa tunaelekea kwenye Multipolar world nikakupa mfano mauziano kati ya Tanzania na India bado unaendelea kubisha tu.
System inabadilika mdogo wangu BRICS wanaendelea na kuimarisha System ya Currencies yao.