Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Asante kwa jibu zuri ambalo ni tofauti na mengi yanayopelekwa hapa.
Kwa sehemu ya maelezo yako, nigeomba utaje moja kwa moja vyanzo unavyorejelea.
1. Kuhusu vyanzo vya magharibi - ndio ilhali Urusi haitangazi chochote kinachofanana na hali halisi tunatumia yale yaliyopo. Ukraine imefaulu hadi sasa kuficha pia askari na vifaa vilivyopotea. Si ajabu, hii tunaona pande zote mbili.
Isipokuwa media za kimataifa (za nchi za NATO pamoja na nchi za kusini) zinaleta data na makadirio.
Idadi zote si za kuamini bali za kutafakari. Angalau media nyingi za nchi za NATO zinasimama zaidi upande wa Ukraine, hata hivyo -tofauti na Urusi- ni media huru hivyo tunaona makadirio tofauti ya vifo upande wa Ukraine - nimeona hadi lakhi ingawa serikali ya Ukraine inajitahidi kuficha.

2. Kuhusu idadi tofauti zinazotajwa. japa naomba utaje taarifa ya IISS unayojerelea pamoja na link yake. Sioni ajabu kwamba wanatafuta vifaru bora vya magharibi. Hakuna uhakika kama watapata idadi ya kutosha. Lakini vifaru vyao vilivyopo ni vya zamani na kwa jumla Warusi walileta vifaru bora zaidi ( ambavyo walitumia vibaya na hivyo kupoteza vingi). Wote wanaodai eti Warusi hawakupotea vifaru vingi - basi waeleze kwa nini siku hizi taarifa zinaongezeka kuhusu T-62 zinazopelekwa uwanjani (kifaru cha kale kabisa kinachotolewa sasa kutoka akiba).
SIjui kuhusu IISS je unamaanisha taarifa hiyo?

Nikiangalia takwimu inayoonyeshwa kwenye picha:
wanaona upande wa Urusi hasa T72 zimepungua sana upande wa Urusi, zimeongezeka upande wa Ukraine. Nikielewa vema kuongezeka Ukraine ni matokeo ya vifaru vingi kuachwa kwenye njia ya kuelekea Kyiv na kukamatwa na Ukraine. Ukraine wamepungua sana T64 zilizokuwa dhaifu kuliko vifaru vya Kirusi hivyo vingi viliharibika.

Kutokea kwa T62 kwenye mwaka 2023 ambazo hazikuwepo 2022: hii ni dalili wanachukua sasa vifaa vya kale kwasababu walipoteza vingi vya kisasa zaidi.
Wewe unaonaje?

1678835754495.png
 
Saudi Arabia's energy minister has said that the kingdom will not sell oil to any country that sets a price ceiling for Saudi oil.

 
The United States intends to express its concern to the Russian Federation through diplomatic channels about the interception of a drone over the Black Sea, the White House said The US State Department intends to hold contacts with the Russian Federation on the incident.
Wao vipi kuhusu malalamiko ya Russia kuhusu Nord Stream mbona wanakwepa kwepa kuzungumzia hilo dai lao juu ya Biden kuibomb Nord Stream? Ila ki drone chao kilichofumuliwa ndio wanakiona big deal.
 
Huu ndio uanaume halisi watake wasitake wataelewa tu ni nani super power?

Waje huku mahakama ya kisutu kumshitaki.
Hahahahah ubabe ubabeni 🤣🤣🤣 sasa tuone watamfanya nini maana hio mahakama inashtaki wanyonge tu ila Gaidi US anaachwaga tu.

Sasa sisi kama Warusi kwetu huo sio mchongo na kwa minajili hio hatuitambui maana imekaa kimkakati!
 
Imagine secret command Inakuwa vaporized🤣🤣🤣 mrusi ni Nyoko
Walihisi kujificha huko underground ingewasaidia. Imagine 400ft deep ni kama urefu wa viwanja vya mpira vinne toka goli hadi goli. Halafu chuma imetumwa ikazama hadi ndichi na kufumuka. Imewauma sana wamarekani hii hamna maumivu wamepata kama hayo tangu vita ianze. 🤣🤣🤣
 
Kwanza, sio kweli kwamba huna upande wowote kati ya hizi pande mbili (Rusia & West).

Sera za kuwa neutral sio kwamba hauko upande wowote, bali ni ile hali tu ya kutotaka kujionyesha upande uliopo.
Na bahati mbaya ww unaonekana wazi.

Pili, Tumeona mara kadhaa wazi kbsa RUSIA wakionyesha kutokuwa na mpango wowote wa kuitwaa UKIRENE yote.
Mfn ni ile kauli iliyotolewa wakisema, watatwaa maeneo umbali wa kila range ya silaha atakayopewa UKIRENE kutoka West.

Ina maana kama UKIRENE hawatopewa silaha yenye range kubwa kiwango cha kuifikia RUSIA basi hakutokuwa na mpango wa kuitwaa UKIRENE yote.

Tatu na Mwisho, Haihitaji elim ya ma-pihechidii kutambua kwamba West+Ukirene hii Mbungi hawawezi toboa hata waamue kuandamana kwa kutembea uchi hadharani (Kama wanavyofanyaga mara zote).
Ni pro west tu pekee ndo wenye upofu kiwango cha kutoona kbsa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaona aibu kusema kuwa imetunguliwa.walete sasa zile ndege zao za kutungua maputo ili tukutane mpakani tukiwashe.

Tukiwambia Urusi hakuna kenge yoyote yule wa kumfanya kitu, mnakuwa wakali
Naona ushabiki mwingi , unaijua vizuri MQ -9 ? Hii drone ni moja kati ya drone bora kabisa duniani. Hai miss target. Precision yake kwenye ku hit ni kubwa. Yani upo chumbani victim yupo barazani anadonolewa bila kuathiri alieko ndani. Ni drone inayoogopeka zaidi duniani.
Rejea Alzawahir, Soleman na wengine wengi.
Kuiangusha isikufanye uone ni dhaifu. Haifanyi mashambulizi bila kupewa order na Raisi.
Russia hawezi kuishinda Marekani kwenye uwanja wa vita. Marekani hataki vita na Russia kwani itakuwa na gharama kubwa. By the way russia hana tishio lolote la kiuchumi kwa US. Labda kama angekuwa kwenye nafasi ya China.
 
Kwa nini mnakuwaga overly concern na masuala ya idadi ya silaha na ubora wa silaha zinazo zalishwa kwenye viwanda vya silaha vya Urusi!!! Mara zote mnajaribu sana ku-water down everything Russian or Chinese - US na baadhi ya mashabiki kujifanya Miungu wadogo who knows kila kitu kinacho endelea huko Urusi na Uchina na wanazungumza na lugha ya dharau kweli kweli kumbe hiyo kisaikolojia inadhiliisha watu/taifa ambalo halijiamini kijeshi - ndio maana ana kawaida ya kutumia vitisho tisho na kudai wanamiliki silaha ambazo ni game changer kumbe ulaghai mtupu - kwenye miaka ya late 1957 nafikiri waliwahi kulipua bomb la nuclear na kujidai hilo ndilo lilikuwa babu kubwa

Sasa Russian bombers ziki take off ndio imaanishe WW3/Niclear war ndio inaaza hivyo - huo ni ulaghai wa Zelensky vita imemshida sasa ndio anabuni mbinu za kutaka kuziigiza moja kwa moja US/NATO kwenye mgogoro huu - Russian Bombers taking off doesnt mean are laden with thermonuclear missile/bombs or intending to attack NATO members with nuclear or conventional payloads - NATO/US wawe makini sana na uchonganishi na uongo wa Zelensky - maigizo yake yanaweza kuiangamiza Dunia nzima. Kesha ona vita hii haiwezi ndio maana anatuletea plan "B" ya kutaka kugambanisha NATO/USA na Urusi ana kwa ana - jamaa huyu nasema kila siku kwamba viko fyatu kidogo na ukiongezea unga ndio basi tena Dunia itakwisha.
Good analysis
 
Walitaka waiiangushe kama ilivyo ili wajue ilivyo undwa kwanza cha pili ambacho ni vha muhimu zaidi Warusi wanayaka ku-retrive data zote zilizo kuwa recorded pamoja na kujua iliruka kutokea nchi gani na waongoza drone walikuwa wa nchi gani: je, wanatoka Amerika kwenyewe au moja ya nchi za Ulaya,mfano: Italy ambayo inajulikana kutumiwa sana na US kuongozea Drones za USA, zamani walikuwa wanatumia hata Afghanistani wakitaka kuipeleleza Iran - siku moja Iran iliwahi kutungua Drone kama hiyo kwa kutumia ground to air missiles (Air defense system) US haikuamini ilicho kiona - lakini ilikuwa ni ajabu na kweli.
Lakini ilikuja kumalizana nao kwa kumuondoa Solemani
 
Naona ushabiki mwingi , unaijua vizuri MQ -9 ? Hii drone ni moja kati ya drone bora kabisa duniani. Hai miss target. Precision yake kwenye ku hit ni kubwa. Yani upo chumbani victim yupo barazani anadonolewa bila kuathiri alieko ndani. Ni drone inayoogopeka zaidi duniani.
Rejea Alzawahir, Soleman na wengine wengi.
Kuiangusha isikufanye uone ni dhaifu. Haifanyi mashambulizi bila kupewa order na Raisi.
Russia hawezi kuishinda Marekani kwenye uwanja wa vita. Marekani hataki vita na Russia kwani itakuwa na gharama kubwa. By the way russia hana tishio lolote la kiuchumi kwa US. Labda kama angekuwa kwenye nafasi ya China.
Sasa kama ataki vita kafata nini uwanja wa vita kama sio kufumuliwa malinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona ushabiki mwingi , unaijua vizuri MQ -9 ? Hii drone ni moja kati ya drone bora kabisa duniani. Hai miss target. Precision yake kwenye ku hit ni kubwa. Yani upo chumbani victim yupo barazani anadonolewa bila kuathiri alieko ndani. Ni drone inayoogopeka zaidi duniani.
Rejea Alzawahir, Soleman na wengine wengi.
Kuiangusha isikufanye uone ni dhaifu. Haifanyi mashambulizi bila kupewa order na Raisi.
Russia hawezi kuishinda Marekani kwenye uwanja wa vita. Marekani hataki vita na Russia kwani itakuwa na gharama kubwa. By the way russia hana tishio lolote la kiuchumi kwa US. Labda kama angekuwa kwenye nafasi ya China.
We ndo mweupe kabisa , Iran aliishusha moja kati ya Drone bora kabisa ya Marekani mwaka 2008 tena Kwa vidole, ndio ishindwe Kwa Urusi, we unaambiwa drone ilikojolewa Kwa mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabla haijapigwa kibao. Vita ilishaisha siku nyingi sana, kinachoendelea sasahivi vita ya uchumi ili wananchi wa Ulaya waziondoe serikali zao.
 
Back
Top Bottom