Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkumbuke Hili li Drone Ni Ghali sana
Yaani
$32,000,000 Imetupwa Baharini
USA Anahaha Huko
MUNGU IBARIKI URUSI
IMG_20230315_095848.jpg
 
1. Hoja yangu ni kwamba kama hizo media 'unazoziita huru' za magharibi zinaweza kupata idadi ya upotevu wa silaha za Urusi kwa nini wasipate taarifa hizohizo pia kwa upande wa ukraine!? Unasema "Ukraine inajitahidi kuficha" ina maana Urusi yeye hafichi!? Kwa hiyo tukubaliane Urusi yuko na uwazi zaidi kuliko ukraine!?

Unataka kutuambia West wanaweza kukosa taarifa zinazomhusu mshirika wao (Ukraine) badala yake wakawa na taarifa za hasimu wao Mrusi!? Hoja bado inabaki pale pale iko wapi taarifa ya Oryx inayoonesha idadi ya vifaru vya Ukraine vilivyoangamizwa vitani mpk sasa!! Wametupa kwa upande wa Urusi ni vifaru elf mia nane watupe na kwa upande wa ukraine. Kama hawatoi basi kuna kitu wanakificha kuhusu upande huo.

2. Sijaiona taarifa kamili ya IISS ila nimeona wamenukuliwa kwenye chapisho la WSJ. Yaani kwenye chapisho linalohusu upotevu wa vifaru vya Urusi WSJ wamenukuu data za Oryx na kuhusu vifaru vya Ukraine WSJ wamewanukuu IISS (vyanzo viwili tofauti).

Nukuu yenyewe hii hapa
"Ukrainian losses have been less well-documented. The IISS estimates between 450 and 700 Ukrainian tank losses, leaving about 950 operational, according to the report"

Isome article hiyo kwenye link hii kma unataka Russia Likely Lost More Than Half of Its Tanks in Ukraine, Estimates Show.

Wanajitia aibu wanaposema Ukrainian losses have been less well documented. Hao wanaodocument losses za urusi inakuwaje hawadocument losses za Ukraine!? Kipi kinawashinda. Kwa hali ilivyo nilitegemea West wawe na access na taarifa za Ukraine kuliko urusi.

3. Kwa hiyo mashambulizi kutokea kila baada ya muda ndio dalili za kwamba makombora ya kisasa ni machache!? Shambulio la juzi ni majibu kwa ugaidi uliofanywa. Ina maana kama kusingekuwepo na tukio lile la ugaidi kusingekuwepo na shambulio lile la hypersonic.

4. Hujawaona wagner kwenye picha wamefika pale alipofika Zelensky mwaka jana Bakhmut. Hiyo ndio tafsiri ya vijiji baada ya vijiji baada ya miji baada ya majiji. Sio lazima tutaje majina
Majibu murua kabisa haya,majibu yamejibiwa kwa ufasaha kabisa haya,hata uliemjibu kaelewa naamini,kama hajaelewa Kuna tatizo mwilini mwake,maana hata mtoto wa chekechea kwa jinsi ulivyoelezea atakuelewa kikamilifu kabisa.
Nakushukuru kwa Nia a ya pro Russia wote.
 
Hao akili zao sijui wanaziweka wapi, vita vyote ni gharama na ndo kipimo chenyewe , sasa yeye anasema haogopi vita anaogopa gharama sijui anaelewa anazungumza nini?
Na siku zote si huwa wanatuambia USA wanauchumi mkubwa hivyo Russia hamuwezi kwakuwa Russia ni maskini...!?

Inakuwaje leo tajiri anaogopa gharama za vita wakati maskini ye hana kelele. Anafanya chochote chenye maslahi kwakwe?
 
Naona ushabiki mwingi , unaijua vizuri MQ -9 ? Hii drone ni moja kati ya drone bora kabisa duniani. Hai miss target. Precision yake kwenye ku hit ni kubwa. Yani upo chumbani victim yupo barazani anadonolewa bila kuathiri alieko ndani. Ni drone inayoogopeka zaidi duniani.
Rejea Alzawahir, Soleman na wengine wengi.
Kuiangusha isikufanye uone ni dhaifu. Haifanyi mashambulizi bila kupewa order na Raisi.
Russia hawezi kuishinda Marekani kwenye uwanja wa vita. Marekani hataki vita na Russia kwani itakuwa na gharama kubwa. By the way russia hana tishio lolote la kiuchumi kwa US. Labda kama angekuwa kwenye nafasi ya China.

Ndugu yetu inaonekana unaijua vzr sana hii drone embu tuambie ufanisi wake ilitumika kwenye vita ipi??. Au unasoma kwenye makaratasi?
 
[emoji298]️Today, a new meeting in the Ramstein format wil be helped to support Ukraine, Minister of Defense Oleksiy Reznikov reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1179][emoji1255]Ukraine will receive two Alkmaar-class minesweepers from the Netherlands, Dutch Defence Minister Kasja Ollongren announced during a visit to Odesa.

[emoji328]: Twitter / Kasja Ollongren

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
SIjui kuhusu IISS je unamaanisha taarifa hiyo?

Nikiangalia takwimu inayoonyeshwa kwenye picha:
wanaona upande wa Urusi hasa T72 zimepungua sana upande wa Urusi, zimeongezeka upande wa Ukraine. Nikielewa vema kuongezeka Ukraine ni matokeo ya vifaru vingi kuachwa kwenye njia ya kuelekea Kyiv na kukamatwa na Ukraine. Ukraine wamepungua sana T64 zilizokuwa dhaifu kuliko vifaru vya Kirusi hivyo vingi viliharibika.

Kutokea kwa T62 kwenye mwaka 2023 ambazo hazikuwepo 2022: hii ni dalili wanachukua sasa vifaa vya kale kwasababu walipoteza vingi vya kisasa zaidi.
Wewe unaonaje?

View attachment 2551821
Comment kutoka kwa mtu mjinga, mwongo, mpumbavu na mpotoshaji
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji116][emoji116][emoji116]


Russia has already lost about 161,520 troops in #Ukraine (+980 over the past day).

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]




In the past 24 hours, Ukrainian missile and artillery unites have hit three Russian personnel clusters, three enemy command posts and one deployed air defense missile system position.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️Today, a new meeting in the Ramstein format wil be helped to support Ukraine, Minister of Defense Oleksiy Reznikov reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kp kipanya Ina maana hyo habari ya kupigwa kwa ile drone yenu umeifumbia macho au ni ajali Kama anasema Babu Biden?
 
In order for Russia to be held fully responsible for the crime of aggression against Ukraine, two separate legal mechanisms must be created: a Special Tribunal and an international compensation mechanism based on the register of losses.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
In the past 24 hours, Ukraine’s Air Force has launched nine strikes on Russian personnel and military equipment clusters, while Ukrainian missile and artillery units hit two enemy personnel clusters.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Prime Minister of Ukraine Denys Shmyhal has met with Prime Minister of Iceland Katrín Jakobsdóttir in Kyiv. The parties discussed cooperation in the energy sector, sanctions policy against Russia, and the establishment of a Special International Tribunal for Russia’s crime of aggression against Ukraine[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom