Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumbe kwa habari ya aina hii Bloomberg si tena propaganda ya NATO bali chanzo cha kuaminika! Ila ikitoa habari kuhusu udhaifu wa Urusi mnaiona ni uwongo mtupu . . .
Tupongeze Saudia wakipata diseli kwa bei nafuu sana kwa sababu Putin anapaswa kuuza kwa namna yoyote . . . .
Hapanaa sio kwamba bloomberg katoa habari ya uhakika...bali katoa habari ya siri za taifa la Saudia maana..hiyo sio habar ya uhakika kwake bali ni umbeya wa mambo ya siri ya watu.
 
Mbona wamesharusha mara kadhaa? HAdi leo NATO imelinda Urusi kwa kutotoa roketi za msafa wa kutosha. Lakini Ukraine wameshapiga kwa kutumia droni na roketi zilizorekebishwa kidogo, pamoja na kipiga daraja. Jibu la superpower lilikuwa nini ???????
Usiogope Urusi itakuwa sawa na Malawi . . . . Hata kama haina uwezo mkubwa jinsi unavyowaza...
Wiki hii inayoanza jumatatu lgtb watalia sana..
 
Ubishi wa kijinga huu usidhani mashine wanazo tumia watu wa kawaida ndiyo wanazo tumia kijeshi ....kitu pekee ni kukiona icho chombo kilipo hiyo ndiyo kazi kubwa ila kukiopoa ni swala dogo tu ... robotic mashine kufanya kazi yake
Mwambie huyo..mwambie...Afrika sisi ni weusi ila sio wajinga tena..nyambizi inauvuta mzigo hadi juu unamaliziwa na crane za manowari...si ndio hvo tuu au umshana anataka tutumie lori baharini..
 
We ndo mweupe kabisa , Iran aliishusha moja kati ya Drone bora kabisa ya Marekani mwaka 2008 tena Kwa vidole, ndio ishindwe Kwa Urusi, we unaambiwa drone ilikojolewa Kwa mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabla haijapigwa kibao. Vita ilishaisha siku nyingi sana, kinachoendelea sasahivi vita ya uchumi ili wananchi wa Ulaya waziondoe serikali zao.
Wapeni darasa hao vijana
 
Ukraine’s state-owned weapon manufacturer Ukroboronprom starts production of shells for three types of tanks for the Armed Forces, and more in the new edition of the Ukrainian State-Owned Enterprises Weekly.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wakianza kutengeneza watulie nazo km midoli ya kichina ya watoto inayouzwa kariakoo...wakijaribu kuitumia kwa Russia au popote penye maslahi ya Russia basi Ukrain itakua km syria inavyofanyiwa na Israel..
 
In an exclusive interview with the Kyiv Independent, Estonian Defense Minister Hanno Pevkur urges the West to do more for Ukraine.

"We should procure together one million rounds for 155-millimeter howitzers," says Pevkur.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakianza kutengeneza watulie nazo km midoli ya kichina ya watoto inayouzwa kariakoo...wakijaribu kuitumia kwa Russia au popote penye maslahi ya Russia basi Ukrain itakua km syria inavyofanyiwa na Israel..
Ukraine tayari anawachinja askari wa urusi Mkuu,huna habari kwamba askari wa urusi hambao wameshachinjwa huko Ukraine wanakaribia laki mbili?? Achilia mbali wale hambao wametiwa vilema!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The Canadian Armed Forces showed how Ukrainian recruits are trained to operate in urban setting.#stoprussia #StopRussianWar #StopRussianAggression

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Njia ya pekee ya kumkamata Putin ingekuwa kuporomoka kabisa kwa Urusi; hapo kuna hatari ya Urusi kuvunjika vipande-vipande. Hii inaweza kipindi cha vita kati ya vipande na majirani ambayo ingekuwa vibaya mno.
Heri apinduliwe na watu wake wenyewe
hapa umebakiza kubeba matunguli tu,, uwe mchawi moja kwa moja,,, acha ukuda wewe!!
 
[emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130]
Thread: A look at the best drones in Iran's Armed Forces Arsenal [emoji116]View attachment 2556831

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo zile walizowapa Russians ni kama trailer tu... picha lenyewe bado kabisa...

Ndio maana Putin alisema, kadiri western wanavyompa silaha Ukraine, ndivyo scope ya SMO itazidi kuongezeka.
 
FreSzKTagAApSOi.jpeg


Anawatakia Usiku mwema
 
Kiwanda kikubwa cha chuma huko German kimefilisika na kulazimika kufungwa kutokana na kuongezeka kwa bei ya gas.

Kiwanda icho chenye historia ya zaidi ya miaka 600 kimezikwa rasmi.

Kweli nimeamini sanctions zinaumiza uchumi wa Russia.
View attachment 2552391
GER nimoja ya nchi inayoumia zaidi ikifatiwa na UK na FRANCE kwayale ma GIANT wa pale EUROPE

Gharama zamaisha zipo juu sana sana sana sa aaaaa

Nna ndugu yangu mmoja yupo hapo GER hana kazi now kampuni yao iliishafilisika nasababu ni RUSSO
 
Back
Top Bottom