INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
Hivi huko hakuna air defence? Leo wamepiga Sana huko.View attachment 2556688View attachment 2556689View attachment 2556690
Lengo ni kuwatia West hasara tu. [emoji16]
Hivi huko hakuna air defence? Leo wamepiga Sana huko.View attachment 2556688View attachment 2556689View attachment 2556690
We jamaa komedi sanaNi kwamba ndani ya saa 24 wamechinjwa warusi zaidi ya mia nane 🥱🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We ni mzungu gani mwenye imani haba kiasi hiki? Kwanini unaamini sana katika baadhi ya mambo kuwa hayawezekani? Si ulisema Hypersonic haziwezekani kwa laws of physics ila tukaona Ukraine ikiangamizwa na Kinzal 6 juzi? Leo tena unadai hamna mashine za kuzama deep 1500Ms?Ukiamini ni kazi ndogo kushusha mashine mita 1500 na kuchukua chochote, basi nenda anzisha kampuni. Ukifaulu utakuwa tajiri. Isipokuwa, sidhani utafaulu. Maana si kazi ndogo.
Ukiongea mtwambieMkuu kwa ujumla mimi pia huwa naipenda Urusi, maana inanikumbusha those-days wakati ule tunasoma, wale wenzetu waliokwenda Urusi wakimaliza elimu yao huko wanarudi na vyeti na mke wakirusi, na hivyo vyeti havikuaminika sana. Sisi tunarudi na magari lakini yanaishia State Motor Corporation ila kama ni kwa manufaa ya Umaa unapeta nayo.
Mtu ambaye amenifanya nipunguze upenzi wangu kwa Urusi kama Nchi ni Putin. Putin baada ya kuupata ukuu wa Nchi, tamaa ikamteka. Alikuwa Rais wa Urusi for 10 years, akaondolewa kwa mujibu wa Katiba yao; akaona isiwe taabu akaondoka na Urais akampachika chawa wake, naye chawa akamtunuku Putin kuwa Uwaziri Mkuu. Baada ya miaka 10 tena kwisha chawa wa Putin akafanya kila mbinu na akarudisha tena kuwa Rais wa Urusi. Leo Urusi ni Putin naPutin ni Urusi.
Aidha Putin aliutangazia ulimwengu kuwa ataipiga UKRAINE ndani ya wiki moja na "yeyote atakaye ingilia mpango huo naye atapigwa kichapo cha mbwa koko. Leo tumeanza mwaka 2 hatuoni kipigo cha mbwa koko. Aidha Putin ananikumbusha pia mwaka 1979 wakati Baba wa Taifa alipolihutubia TAIFA kwamba tutampiga nduli Iddi Amin Dada, pamoja na mambo mengine Alisema, "sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunaya na uwezo wa kumpiga tunao" Kweli tukaingia kazini tukamtandika kwelikweli, tena kile cha mbwa koko haswa hadi akahama nchi yake, nasi tukarudi makwetu salama salimi. Lakini baada ya muda mchache, baadhi ya watu GTs wakagundua kuwa uwezo wetu haukukomaa sawasawa.. Hii ya Putin kujiona "uwezo anao na yeyote atakaye ingilia atapata kisago cha mbwa koko" ndio picha watakayoipata Warusi. MUDA UTAONGEA
GER nimoja ya nchi inayoumia zaidi ikifatiwa na UK na FRANCE kwayale ma GIANT wa pale EUROPE
Gharama zamaisha zipo juu sana sana sana sa aaaaa
Nna ndugu yangu mmoja yupo hapo GER hana kazi now kampuni yao iliishafilisika nasababu ni RUSSO
Tatizo lako brother kirat bange phantom lote unataka uvute peke yako hutaki kutembezea wenzio alafu unajijua hujala,, yani we jamaa kwa mtindo huu soon utavavaa chupi kichwani nimekaa pale👈Ni kwamba ndani ya saa 24 wamechinjwa warusi zaidi ya mia nane 🥱🥱🥱
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Heheee[emoji23][emoji16][emoji23]Vunjo kwa sasa yupo jukwaa la kilimo na ufugaji.kazi ya umbea imemshinda kaamua awe mkulima[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah kweli walitukamata wasen* hawa........kama wanachapisha chaap pesa then wanatuletea inform of loans....,ni kama kile kitendo Cha kuchukua pesa huku then una hamishia mfuko mwingine but after while zinakuwa increased magically [emoji23][emoji23]Mkuu naomba nieleze kadiri ya uelewa wangu.
Mosi, nguvu ya kila kitu ipo kwenye pesa. Pesa ndio kila kitu.
Baada ya vita ya pili ya dunia, US ndiye aliyeibuka kiranja mkuu (kwa upande wa westerns).
US na allies wake wakafanya makubaliano ya Britonwood (unaweza ku google na kuelewa vizuri).
Kupitia Britonwood, USD ndio ikachaguliwa kama a medium of exchange currency. And truly ikawa backed na gold.
Yaani kwa mfano ukiwa na USD 10 = 5 ounce of Gold. Kwa hiyo USD ikapimwa kwenye mizani ya gold.
Note:
Kwa maana hiyo hapo, huwezi ku print pesa nyingi kama kweli huna hiyo reserve ya gold.
Lakini baadae wakaje kuiondoa USD kwenye ulinganifu huo wa Gold. Kwa hiyo hapo wakapata kichaka cha kuwa na uwezo wa ku print Gold. They are no longer binding kwamba ukileta USD 50 tutakupa 10 ounce of gold.
Kuna swala lingine pia.
Kitendo cha kukubaliana kule Britonwood kwamba USD ndiyo itakuwa reserve currency, maana yake iliwalazimu nchi zingine zooteee ni lazima ziwe na reserve ya USD.
Moja, unakuwa na reserve ya USD kwenye benki kuu yako
Pili, unakuwa na USD reserve huko US [emoji631] kwa ajili ya ku facilite International payments. Kwa hiyo unaweza kuwa na reserve ya USD huko US in terms of hard currency or ukanunua Bonds etc. Ndio maana unasikia, Western wameshikilia mali za Russia za kiasi flani. Yaani hapo wanakuwa wameshikilia USD reserve ya Russia ambayo ame invest huko westerns kwa ajili ya yeye kuweza kufanya USD nased transactions.
Kwa hiyo hapo automatically utaona ni lazima demand ya USD currency iwe juu. Kwa hiyo wao US wanachofanya ni ku print tu hiyo USD na kukuletea wewe TZ in form of Loan, etc.
Kwa hiyo kwa mzunguko huo, demand ya USD imeendelea kuwa juu na USA imeendelea kuishi kwa kutegema interests za kwenye USD.
Kinachotaka kutokea sasa hivi ni kwamba, nchi zinaenda kuachana na USD kwenye transactions zao, kwa hiyo , mambo ya wewe kuhitajika kununua USD assets kama Bills or bonds hayatakuwepo tena. US ata print tena hizo USD kwa ajili ya nani?
Mmh acha tuone ila sidhanii kama itakua rahisi hili sualaHongera china, tusubirie vitendo kwa hawa waarabu na wapersia
BREAKING: Iran has agreed to stop arming the Houthis in Yemen as part of the deal to re-establish diplomatic relations with Saudi Arabia, U.S. and Saudi officials says - WSJ
Inaweza kuwa kweli .. German Wana Hali mbaya .....coz wiki iliyopita tulisikia kiwanda heavy Cha steel kilifungwa kisa absence of cheap energy from RussiaGER nimoja ya nchi inayoumia zaidi ikifatiwa na UK na FRANCE kwayale ma GIANT wa pale EUROPE
Gharama zamaisha zipo juu sana sana sana sa aaaaa
Nna ndugu yangu mmoja yupo hapo GER hana kazi now kampuni yao iliishafilisika nasababu ni RUSSO
Bara la Ulaya linapitia magumuInaweza kuwa kweli .. German Wana Hali mbaya .....coz wiki iliyopita tulisikia kiwanda heavy Cha steel kilifungwa kisa absence of cheap energy from Russia
Hata Kwa kawaida .....ulikuwa unapata unit Moja Kwa tsh 50 ......
Then ghafla ikapanda up to 450 ..,
Imagine what's going to happen
Inapendeza sanaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Drone ya Marekani imeshachomolewa baharini tayari inapelekwa maabara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... The US MQ-9 Reaper drone was found in the Black Sea near Sevastopol, Crimea, approximately 900 meters below sea level - Russian Ministry of DefenseView attachment 2555456
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Lini RUSSIA nayo iliwahikua mwanachama wahio mahakama ya uhalifu ya uongo !!!?Utawagusa vipi watu ambao sio members wa hiyo Mahakama?
US ni mwanachama wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu?
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16]Wewe ni KE au ME?
Nataka nijue, maana naona kabisa kuna dalili ya jambo fulani Either ni Mimba au Kitambi.
Uwanja wamajaribio upo pale ngoja tukatest[emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Irani imetoa drone yake mpya kwa jina la Kaman 22 mambo ni moto
Iran’s Kaman-22 MALE drone is a titan, its name means bow in Persian.
It can carry glide-bombs, cruise missiles, ATGMs, air-to-air missiles and electronic warfare pods.
It first flew back in 2021.
Ukraine could act as a test ground for its combat capabilitiesView attachment 2556326View attachment 2556327View attachment 2556328
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Endelea kuonaNdio hicho US na NATO waliingoja,
Kuwa kesi ifunguliwe kisha wakimkamata wapate pakumpreka Putin
Ila hapa naona huyu Putin atakuja kufa kabla ya kufikishwa kwenye hii court
Kiufupi Europe yote hali tete sanaa na kadri hii SMO inavyoendelea ndio hali inakua mbayaUfaransa kumechafuka sana . Maandamano kila siku asee. Hali ni mbaya sana. Do you copy??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakamkamate sasaMharifu wa kivita yupo Crimea
Huyu mwamba ananikosha sana[emoji4]DeepPond unasalimiwa na chef prigo,
The Wagner group place their advertisement on Pornhub.
In one part of the said ad, a woman can be seen twirling a lollipop in her mouth while a female voice in the background refers to Wagner as the "coolest f**king private army in the
world."
Wagner's co-founder and owner Yevgeny Prigozhin confirmed that the ad was placed on Pornhub’s website.
“I don’t know on which ones, but advertising PMC Wagner on porn sites is a very good idea of our marketers. I absolutely completely agree with them, and this advertisement says: “Go to fight in the Wagner PMC, stop jerking off.”
Unfortunately, the ad was soon taken down from Pornhub, under the explanation that it doesn't accept ads related to war.
Shame really.