Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vladimir Putin is one of the most influential leaders of our time. He's accomplished what no other leaders could; standing up to NATO's aggression, dismantling the lie of US hegemony and transitioned the world onto the path of multipolarity and prosperity.
Umejieleza vizuri sana, uzuri ni kwamba katika crusade hii ya kunusuru Dunia dhidi ya mabeberu hawa majahili, Putin is not alone yapo mataifa mengine nyuma yake yenye uwezo mkubwa kijeshi na kiuchumi lakini hayajionyeshi moja kwa moja.

Mabeberu wamekwisha litambua sana hilo ndio maana hawamtaki Putin, wanabaki wakiangahika kumjengea hoja za uongo tu zenye lengo la kutaka kulazimisha Dunia yote imchukie na kumtenga Putin bila ya sababu za msingi - zaidi ya kumsema eti alihamisha watoto wa Ukraine wenye asili ya Urusi kwenda kuiishi Urusi kwenye amani - hivi inaingia akili kwamba kitendo hicho ni war crime kweli, yaani walitaka Putin hawaache watoto kusini mashariki mwa Ukraine waendelee kuuwawa na mizinga ya Zelensky aliyo kuwa inaivurumisha kila siku kusini mashariki mwa Ukraine, raia 140, 000 walipoteza maisha yao kutokana na uwenda wazimu wa Zelensky, lakini media za kibeberu na the so called human rights agencies walikaa kimya kabisa wakati mauaji hayo yakitendeka.

Mabeberu wanamsema sema sana Putin na kujaribu kujenga hoja eti "akamatwe for war crimes" - which is nonsense of course - like it or not Russia is still a Super Power rais wa Taifa hilo hawezi kuchezewa na beberu hata mmoja labda kama hawajipendi, watabaki na ngojera zao za kisiasa lakini hawana ubavu/nerve ya kumfanya lolote Putin bila ya kusababisha WW3, wakae wakijua hilo - ujinga huo wanaweza kuwafanyia labda watawala wa military weak Nations sio Urusi bwana.

Mabeberu walivyo wanafiki wanajaribu kumkalia kooni Putin huku wakijifanya kusahau wao walivyo husika kwenye vifo vya zaidi ya watoto laki tano(500,000) wa Iraq wakati wa vita ya Ghuba - hatujawahi kusikia hata siku moja ICC ikiitisha kikao cha majaji cha kutoa amri ya kukamatwa Bush Jr na marehemu Madellain Albright ili waburuzwe mahakamani kujibu war crimes za nchini Iraq au Bill Clinton kuhusu war crimes nchini Yugoslavia - hakuna!!
 
Jamaa wanajionaga wao ni first class citizens kuliko yeyote yule. Yani wanasiasa wa Marekani and Biden to be Precise wako radhi dunia yote iangamie ila wahakikishe wanamkomesha urusi tu.

Wamemuanzishia vikwazo 14000 vya kiuchumi amevi bypass bila kuomba poo.

Wamembania kutumia swift payments kwa nchi pinzani lakini wapi.

Wamemuharibia Nord Stream ili asiuze wese ujerumani na ulaya nchi washirika zimeamua kununua mzigo kwake.

Wameamua kumpa Ukraine silaha ili amshinde kwenye operation kuweka upinzani mkali still amepata dawa ya kuwasulubu huko huko uwanja wa vita.

Wameamua kuwachimba biti na kuwaita wanajeshi wa Wagner kuwa ni magaidi wa kivita hivyo watawashitaki lakini haijasaidia.

Wametuma wanajeshi wa NATO na masilaha, air defense lakini hawafanikiwi kumzuia Putin kwenye operation fyeka waNazi.

Wameamua sasa kutumia karata ya ICC kwamba ni mhalifu wa kivita. Wanadhani itawasaidia ila mtuhumiwa mwenyewe hana habari.
 
Umesahau daraja ambalo tayari tumelitengeneza na linaendelea na kazi pia. Na Hilo Bomba la mafuta pale palipo haribiwa Ni kipande kidogo Sana ambacho watakirekebisha kwa mda mchache Sana.

Sasa kazi imerudi kwao Dedolazation ndipo watajua vikwazo vipo kwa ajili ya nani?
 
Jamaa wanajionaga wao ni first class citizens kuliko yeyote yule. Yani wanasiasa wa Marekani and Biden to be Precise wako radhi dunia yote iangamie ila wahakikishe wanamkomesha urusi tu.

Wamemuanzishia vikwazo 14000 vya kiuchumi amevi bypass bila kuomba poo.

Wamembania kutumia swift payments kwa nchi pinzani lakini wapi.

Wamemuharibia Nord Stream ili asiuze wese ujerumani na ulaya nchi washirika zimeamua kununua mzigo kwake.

Wameamua kumpa Ukraine silaha ili amshinde kwenye operation kuweka upinzani mkali still amepata dawa ya kuwasulubu huko huko uwanja wa vita.

Wameamua kuwachimba biti na kuwaita wanajeshi wa Wagner kuwa ni magaidi wa kivita hivyo watawashitaki lakini haijasaidia.

Wametuma wanajeshi wa NATO na masilaha, air defense lakini hawafanikiwi kumzuia Putin kwenye operation fyeka waNazi.

Wameamua sasa kutumia karata ya ICC kwamba ni mhalifu wa kivita. Wanadhani itawasaidia ila mtuhumiwa mwenyewe hana habari.
Sijui nikupongeze vipi mkuu, thanks kwa ufafanuzi wako uliokwenda shule - ila nataka kuongezea kitu kimoja nalo ni hili la kujaribu karata ya war crime hilo lina lengo la kumfanya Putin hawe kama mateka nchini mwake ili hisisafiri nje ya Urusi - lakini mkuu nakuhakikishia Putin atasafiri popote ambapo atajisikia kwenda -na wakijaribu kumkamata ndio utakuwa mwanzo wa WW3, na hakuna Taifa lenye msuli wa ku-take risk - sitanii.
 
Putin visits Russian-occupied Mariupol in Ukraine​

Vladimir Putin, who flew to Mariupol by helicopter, drove around the city and stopped to talk to residents, TASS agency says.

Loading video
Published On 19 Mar 202319 Mar 2023

Russian President Vladimir Putin has visited Mariupol, a Ukrainian city in the Donetsk region which has been occupied by Moscow’s forces since May of last year.

Putin flew to Mariupol by helicopter and drove around several districts of the city, making stops and talking to residents, the TASS agency reported on Sunday, citing the Kremlin.

Reports of the Mariupol visit came a day after the Russian leader travelled to Crimea to mark the ninth anniversary of the Black Sea peninsula’s annexation from Ukraine. Russian state TV showed him visiting the Black Sea port city of Sevastopol on Saturday, accompanied by the local Moscow-appointed governor, Mikhail Razvozhayev.

==========================

Baada ya hati ya kumkamata kutolewa, Mzee Putin ameanza kukagua maeneo yaliyotekwa na vikosi vyake.
 
Kuna sauti ilisikika ikisema hatutaacha hata mita moja[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Putin makes surprise visit to Donbass

Following his surprise visit to Crimea on Saturday, President Vladimir Putin made an unannounced “working trip” to Mariupol, an Azov Sea port city which was liberated by Russian forces last spring amid the military operation in Ukraine, and joined Russia as part of the Donetsk People’s Republic following a referendum in September.

Putin arrived in Mariupol by helicopter, accompanied by Russian Deputy Prime Minister Marat Khusnullin, multiple news agencies including TASS and RIA Novosti reported on Sunday morning, citing the Kremlin’s press service.

The president visited several districts of the city to inspect the progress of restoration efforts, including the construction of “new residential districts, social and educational facilities, housing and communal services infrastructure, medical institutions.” He also toured the “coastline in the area of the yacht club, theater,” as well as other “memorable places” in the city.

Putin also got behind the wheels of a car and drove through the streets of Mariupol to inspect the facilities, while taking time to speak with residents.

On Saturday, Putin was in Crimea to mark the ninth anniversary of the peninsula’s reunification with Russia.
 
Hatupo kwenye multipolar world ila tupo kwenye mjadala wa makubaliano ya kuwepo kwenye multipolar world.

" The international system remains unipolar as to todays date." unachokisema bado hakijawa.
Shoga zako wenyewe wanakili juu ya uwepo/utokeaji wa Multpolar World kwasasa, we namna gani ndugu SHILINGI?
[emoji116]

The transition into a multipolar, fragmented and contested world has happened more quickly and definitively than anticipated. - UK Goverment

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom