Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️German Justice Minister Marco Buschmann said he would arrest Russian President Vladimir Putin if he visits Germany, Bild reported.

“I expect the ICC to quickly contact Interpol, as well as the participating States, and ask them to comply with the requirement,” Buschmann added.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umeiweka vema hakuna mali yoyote ya Urusi ambayo imechukuliwa na kutaifishwa/kutumika zaidi ya kushikiliwa tu. Na wanakosa maamuzi ya kutumia mali ya Urusi iliyoshikiliwa kwasababu hapo kabla hakujawai tokea jambo kama hilo.
Kisheria huwezi kutumia pesa ya nchi nyingine kiholela kuna mchakato mkubwa na mrefu wa kisheria unatakiwa utumike kwanza kabla ya kufanya hivyo.
 
Mkuu Asante kwa kulitambua hilo . Mabeberu ni wajanja sana walisema Ulaya yote watakufa kwa baridi , hivi ni wangapi walikufa kwa baridi , Vita alivyoanzisha PUTIN vitamtokea matakoni kama sio vilishamtokea , achana na vikwazo vya uchumi.
Kafanye maandalizi ya shule kesho. Hiyo simu ya dada yako itakusbabishia kufeli
 
[emoji298]️German Justice Minister Marco Buschmann said he would arrest Russian President Vladimir Putin if he visits Germany, Bild reported.

“I expect the ICC to quickly contact Interpol, as well as the participating States, and ask them to comply with the requirement,” Buschmann added.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huyo ni mwehu au kichaa kamili,, mwenye akili timamu hawezi jisemesha upuuzi wa aina hiyo,, Russia sio Sudani,,!
 
Back
Top Bottom