Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Jiwe limerushwa gizani likampata mtu analialia hapaKuna msemo unasema usioneshe ujinga wako hadharani
Jiwe limerushwa gizani likampata mtu analialia hapaKuna msemo unasema usioneshe ujinga wako hadharani
Tumia Akili hakuna anayeweza Kumkamata Putin dunia hii.Hati ya kumkamata ipo, awe makini...
Tunalirudisha Jimbo , Putin Yuko kwa jeneza anasubiriwa tu kuzikwa . Akili yake imejaa maviKuna mali nyingi sana Donbas mara 100 ya hizo walizokamata uingereza usijali watafidiwa.
Kibaya zaidi fedha nyingi zilizotaifishwa za wawekezaji kutoka russia US ndio wanazitumia kuwapa msaada Ukraine kwa chakula na kila kitu, ni vile russia wanakaangwa mafuta yao putin ni babu jingaMaisha ya matajiri wa Russia ni machungu Sana baada ya Puttin kuivamia Ukraine, Mali zao nyingi zimepigwa ban zilizoko nje . Si waungane wamchinjilie mbali hichi kibabu
Kibabu ni Biden siyo mtabe Putin!Maisha ya matajiri wa Russia ni machungu Sana baada ya Puttin kuivamia Ukraine, Mali zao nyingi zimepigwa ban zilizoko nje . Si waungane wamchinjilie mbali hichi kibabu
Mkuu Asante kwa kulitambua hilo . Mabeberu ni wajanja sana walisema Ulaya yote watakufa kwa baridi , hivi ni wangapi walikufa kwa baridi , Vita alivyoanzisha PUTIN vitamtokea matakoni kama sio vilishamtokea , achana na vikwazo vya uchumi.Kibaya zaidi fedha nyingi zilizotaifishwa za wawekezaji kutoka russia US ndio wanazitumia kuwapa msaada Ukraine kwa chakula na kila kitu, ni vile russia wanakaangwa mafuta yao putin ni babu jinga
Achana na Taifa kubwa USA Mungu azidi kuwabariki . Hiyo Android unayopapasa hapo ni Biden.Kibabu ni Biden siyo mtabe Putin!
Mwanamme hacheki bila ya sababu za msingi kila siku tabia hiyohiyo.Kipo kinachonichekesha.kile kitendo cha nyie kumwagiwa mafuta na su-27 kimenifanya nicheke sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thibitisha kuwa android ni baideni. Kwanza nasikia kale kazee kana ukimwi ni kweli eti?Achana na Taifa kubwa USA Mungu azidi kuwabariki . Hiyo Android unayopapasa hapo ni Biden.
Nani amekuambia ?Tumia Akili hakuna anayeweza Kumkamata Putin dunia hii.
Lakini simlituambia kuwa anajificha chumbani kwa kuogopa kuuawa?Putin visits Russian-occupied Mariupol in Ukraine
Vladimir Putin, who flew to Mariupol by helicopter, drove around the city and stopped to talk to residents, TASS agency says.
![]()
Published On 19 Mar 202319 Mar 2023
Russian President Vladimir Putin has visited Mariupol, a Ukrainian city in the Donetsk region which has been occupied by Moscow’s forces since May of last year.
Putin flew to Mariupol by helicopter and drove around several districts of the city, making stops and talking to residents, the TASS agency reported on Sunday, citing the Kremlin.
Reports of the Mariupol visit came a day after the Russian leader travelled to Crimea to mark the ninth anniversary of the Black Sea peninsula’s annexation from Ukraine. Russian state TV showed him visiting the Black Sea port city of Sevastopol on Saturday, accompanied by the local Moscow-appointed governor, Mikhail Razvozhayev.
==========================
Baada ya hati ya kumkamata kutolewa, Mzee Putin ameanza kukagua maeneo yaliyotekwa na vikosi vyake.
Hakuna pesa yeyote ya Urusi iliyo taifishwa bali zimeshikiliwa tu.Kibaya zaidi fedha nyingi zilizotaifishwa za wawekezaji kutoka russia US ndio wanazitumia kuwapa msaada Ukraine kwa chakula na kila kitu, ni vile russia wanakaangwa mafuta yao putin ni babu jinga