Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jana walichinjwa zaidi ya mia nane 🥱🥱🥱🥱
1679154110199.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji930][emoji573]
Let me introduce the Russian S-550, The Satellite Killer.

S-550 is capable of striking ICBMs, satellites etc. With outstanding speed from the launch pad.

This is one of those Russians systems that scares NATO.

#Putin #China #Bakhmut #Elon #Ukrainians #Trump #TheUS #Biden

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inatumwa mashine tu yenye kushushwa na kamba za chuma mbona kazi ndogo tu hiyo
Ukiamini ni kazi ndogo kushusha mashine mita 1500 na kuchukua chochote, basi nenda anzisha kampuni. Ukifaulu utakuwa tajiri. Isipokuwa, sidhani utafaulu. Maana si kazi ndogo.
 
[emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
China, Russia and Iran take part in joint naval drills in the Gulf of Oman with vessels, including a Russian 454 frigate, an Iranian P235 Sina-class fast attack craft and a Chinese destroyer seen maneuvering in the area

Follow us on Rumble: rumble.com/c/RTNews

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
"The decision was historic for Ukraine and the entire international law system."
Senior Ukrainian officials have applauded the ICC for issuing an arrest warrant against Russian President Putin. 🟠 LIVE coverage: Russia-Ukraine updates: ICC issues arrest warrant for Putin

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sidhani itasaidia. Maana mwishowe itakuwa lazima kuketi na kujadiliana. Haitasaidia ukimtangaza mpinzani mkuu kama mhalifu (hata kama ni kweli!).

Njia ya pekee ya kumkamata Putin ingekuwa kuporomoka kabisa kwa Urusi; hapo kuna hatari ya Urusi kuvunjika vipande-vipande. Hii inaweza kipindi cha vita kati ya vipande na majirani ambayo ingekuwa vibaya mno. Heri apinduliwe na watu wake wenyewe . . . .
 
Ukiamini ni kazi ndogo kushusha mashine mita 1500 na kuchukua chochote, basi nenda anzisha kampuni. Ukifaulu utakuwa tajiri. Isipokuwa, sidhani utafaulu. Maana si kazi ndogo.
Ubishi wa kijinga huu usidhani mashine wanazo tumia watu wa kawaida ndiyo wanazo tumia kijeshi ....kitu pekee ni kukiona icho chombo kilipo hiyo ndiyo kazi kubwa ila kukiopoa ni swala dogo tu ... robotic mashine kufanya kazi yake
 
Leo mwamba yupo huko Crimea Sasa mjaribu kurusha hata kijiko halafu mtajua Russia Ni super power au Ni malawi
Mbona wamesharusha mara kadhaa? HAdi leo NATO imelinda Urusi kwa kutotoa roketi za msafa wa kutosha. Lakini Ukraine wameshapiga kwa kutumia droni na roketi zilizorekebishwa kidogo, pamoja na kipiga daraja. Jibu la superpower lilikuwa nini?

Usiogope Urusi itakuwa sawa na Malawi. Hata kama haina uwezo mkubwa jinsi unavyowaza.
 
Saudi Arabia is importing millions of barrels of diesel from Russia, despite having more than enough of its own.

The kingdom is the world’s top crude exporter and a significant seller of petroleum products. Yet it imported almost 2.5 million barrels of diesel-type fuel from Russia in the first 10 days of March, far more than at any other time in the last six years, according to Kpler data compiled by Bloomberg.
Kumbe kwa habari ya aina hii Bloomberg si tena propaganda ya NATO bali chanzo cha kuaminika! Ila ikitoa habari kuhusu udhaifu wa Urusi mnaiona ni uwongo mtupu . . .
Tupongeze Saudia wakipata diseli kwa bei nafuu sana kwa sababu Putin anapaswa kuuza kwa namna yoyote . . . .
 
Mbona wamesharusha mara kadhaa? HAdi leo NATO imelinda Urusi kwa kutotoa roketi za msafa wa kutosha. Lakini Ukraine wameshapiga kwa kutumia droni na roketi zilizorekebishwa kidogo, pamoja na kipiga daraja. Jibu la superpower lilikuwa nini ???????
Usiogope Urusi itakuwa sawa na Malawi . . . . Hata kama haina uwezo mkubwa jinsi unavyowaza...
Hapo umejibu nn? Na umeelewa maana ya post yangu? Hilo daraja lilishatengenezwa kitambo na kipigo kilisha tolewa mda kulipiza wewe unaleta leo habari ya daraja? Warushe leo wakati yeye yupo kule
 
Mkuu ebu nipe kidgo hii elimu ya ku print pesa .......ilikuwaje inawapa superiority west
Mkuu naomba nieleze kadiri ya uelewa wangu.

Mosi, nguvu ya kila kitu ipo kwenye pesa. Pesa ndio kila kitu.

Baada ya vita ya pili ya dunia, US ndiye aliyeibuka kiranja mkuu (kwa upande wa westerns).

US na allies wake wakafanya makubaliano ya Britonwood (unaweza ku google na kuelewa vizuri).

Kupitia Britonwood, USD ndio ikachaguliwa kama a medium of exchange currency. And truly ikawa backed na gold.

Yaani kwa mfano ukiwa na USD 10 = 5 ounce of Gold. Kwa hiyo USD ikapimwa kwenye mizani ya gold.

Note:
Kwa maana hiyo hapo, huwezi ku print pesa nyingi kama kweli huna hiyo reserve ya gold.

Lakini baadae wakaje kuiondoa USD kwenye ulinganifu huo wa Gold. Kwa hiyo hapo wakapata kichaka cha kuwa na uwezo wa ku print Gold. They are no longer binding kwamba ukileta USD 50 tutakupa 10 ounce of gold.

Kuna swala lingine pia.

Kitendo cha kukubaliana kule Britonwood kwamba USD ndiyo itakuwa reserve currency, maana yake iliwalazimu nchi zingine zooteee ni lazima ziwe na reserve ya USD.

Moja, unakuwa na reserve ya USD kwenye benki kuu yako
Pili, unakuwa na USD reserve huko US [emoji631] kwa ajili ya ku facilite International payments. Kwa hiyo unaweza kuwa na reserve ya USD huko US in terms of hard currency or ukanunua Bonds etc. Ndio maana unasikia, Western wameshikilia mali za Russia za kiasi flani. Yaani hapo wanakuwa wameshikilia USD reserve ya Russia ambayo ame invest huko westerns kwa ajili ya yeye kuweza kufanya USD nased transactions.

Kwa hiyo hapo automatically utaona ni lazima demand ya USD currency iwe juu. Kwa hiyo wao US wanachofanya ni ku print tu hiyo USD na kukuletea wewe TZ in form of Loan, etc.

Kwa hiyo kwa mzunguko huo, demand ya USD imeendelea kuwa juu na USA imeendelea kuishi kwa kutegema interests za kwenye USD.

Kinachotaka kutokea sasa hivi ni kwamba, nchi zinaenda kuachana na USD kwenye transactions zao, kwa hiyo , mambo ya wewe kuhitajika kununua USD assets kama Bills or bonds hayatakuwepo tena. US ata print tena hizo USD kwa ajili ya nani?
 
Wachambuzi wa kivita wa Kiukreni leo wanaandika juu ya uzembe mkubwa wa mifumo ya ulinzi wa anga, ambayo haiwezi kulinda hata vitu muhimu zaidi sio tu kutoka kwa makombora ya kivita na ya cruise , lakini pia kutoka kwa "mopeds" ambazo zimeshambulia vifaa vya jeshi katika mikoa ya Lvov na Dnipropetrovsk usiku wa leo, na pia katika maeneo ya DPR inayomilikiwa na Ukrn.

Hivyo hivyo katika uwanja wa mafunzo wa Yavorovsky karibu na Lvov, maghala 3 yaliyo na silaha za Magharibi yameharibiwa, pia huko Novomoskovsk na Kramatorsk - maghala ya mafuta
 
Ukraine’s state-owned weapon manufacturer Ukroboronprom starts production of shells for three types of tanks for the Armed Forces, and more in the new edition of the Ukrainian State-Owned Enterprises Weekly.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
VIDEO
Kuna Kikundi kimoja cha Kiukrein Kilikuwa Kinatumia Mbinu za Kuvizia kisha Kukimbilia kwenye Jengo
Wanaume Wakaona Huu ndio muda wakumleta
BMP-T terminates

View attachment 2555639
Aisee hii kitu nihabari Nyingine Kabisa
Yaani Kitu inatetema na Kukohoa Hatari
Yaani hii Ikikukosa Unakufa Na Ikikupata Unakufa tu
Duuuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
[emoji298]️Volodymyr Zelensky introduced sanctions against 300 individuals and 141 legal entities, including Syrian citizen Bashar Assad, the president's official website reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom