Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahiyo unataka kutuambia tuachane na upumbavu wako?
A. Ndiyo
B. Hapana
C. Tuamue wenyewe

Chagua jibu sahihi.
Hiyo (Tuachane) inatokana na nn? Kwani kuna mwingine niliyemwambia aendelee na hoja nyingine za watu wengine zaidi yako?
 
Ndio maana nimekwambia nenda kwenye banda la kuku ukajifunze kuwa na kumbukumbu.
Comment yako ni hii

1679127236690.png

Nivumilie tu maana natafuta namna ya kukusaidia, maana wewe ni mtanzania mwenzetu lazima tukupatia maarifa hata kwa kulazimisha.
 
Hiyo haiondoi dhana kwamba utakuwa na nyumba siku chache zijazo.
Hili la siku zijazo sijalizungumzia boss. Hakuna sehemu nimelipinga, hakuna sehemu nimelikubali.

Ili nifanye hivyo lazima nisome na kufanya analysis kuhusu hilo na sijafanya.

Huku kunishambulia kunatokana sentensi moja tu niliyosema.

" The international system remains unipolar as to todays date."
 
Hatuwezi kuendelea kukumbatia mavi ya ng'ombe ndani eti kwa sababu tu ngombe alikula mananasi.
 
Ndio maana nimekwambia nenda kwenye banda la kuku ukajifunze kuwa na kumbukumbu.
Comment yako ni hii

View attachment 2556207

Nivumilie tu maana natafuta namna ya kukusaidia, maana wewe ni mtanzania mwenzetu lazima tukupatia maarifa hata kwa kulazimisha.
Sasa mbona hujajibu swali? Sijapingana na nilichokuambia. Nimekuuliza kwanini umetumia wingi kana kwamba haupo pekeyako ilihali ni wewe tu ndo niliyekuambia uachane na upumbavu wangu baada ya kuniita mpumbavu.
 
Naomba kuchangia hapa.

Kigezo number 1 cha kuthaminisha pesa ya nchi ni Gold.
Ndio maana hata huu mfumo wa USD ulipoanza, ulikuwa unatumia Gold Standard (Ingawa baada wakaja kuutoa kwa sababu hizo Gold hawakuwa nazo)

Kwa hiyo tambua kwamba, Gold ndio standard ya kuweka mizani na sio USD... OKay?
Nimemwambia post namba #109023# jamaa haelewi
 
Sasa mbona hujajibu swali? Sijapingana na nilichokuambia. Nimekuuliza kwanini umetumia wingi kana kwamba haupo pekeyako ilihali ni wewe tu ndo niliyekuambia uachane na upumbavu wangu baada ya kuniita mpumbavu.
Nataka sasa unifafanulie vizuri ili na wengine wajue.
Unauhakika kabisa unataka niachane na upumbavu wako?
A. NDIYO
B. HAPANA
C. NIAMUE MWENYEWE

Chagua jibu sahihi................................
 
Umekumbatia mavi ya ng'ombe wewe na kina nani? Ni kama vile kuna uanachama fulani hivi upo na wenzako na ww ni mwenyekiti. Unatumia tuta, tume, tuli, hatuwezi, hatutaki.

Sisi sote tuliokinyume na manyanyaso ya wakoloni. Hii ikiwa pamoja na wewe.
Wewe ndiye unayelazimisha tukae na mboji ndani ya nyumba. Mboji ni uchafu mdogo wangu. Tupo kwenye Multipolar world. Utawala wa wazungu umekoma.

Au unataka mpaka CNN, BBC wakuambie?
 
Hatupo kwenye multipolar world ila tupo kwenye mjadala wa makubaliano ya kuwepo kwenye multipolar world.

" The international system remains unipolar as to todays date." unachokisema bado hakijawa.
 
Wewe ni Pro-nato ndio maana...hii ni mijadala tuu..kwahiyo utateseka ukijiweka neutral wakat post ni za pro-nato/ukrain
Siteseki. Hakuna furaha yoyote kuwa pro wa nchi yoyote kwangu. Najadili lile ninaloliona ni sahihi nikitegemea kukosolewa au kuelimishwa pasipo mwavuli wa upro.

Tatizo ni kwamba ni nadra sana hili kuwezekana hapa jukwaani.

Zaidi ya kushabikia Simba sport club, sina upro na jambo lingine. Nabadilika wakati wowote kutegemeana na hoja.
 
Russian Oil Giant Looking to Start New Projects in Congo

Russia's largest private oil company Lukoil is discussing starting new energy projects in the Republic of Kongo as an operator, the company said on Friday.

Lukoil aims to develop in the Republic of Congo. First of all, we are interested in projects where Lukoil could act as operator. We have discussed a number of such opportunities today," the firm’s regional Vice President Ivan Romanovsky said after a meeting with Congolese Minister of Hydrocarbons Bruno Jean-Richard Itoua.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hatupo kwenye multipolar world ila tupo kwenye mjadala wa makubaliano ya kuwepo kwenye multipolar world.

" The international system remains unipolar as to todays date." unachokisema bado hakijawa.
Sasa mara unasema hutaki kujadiliana na mimi mara unaendela ku quote comments zangu unaelekea matatizo ya kifamilia yamekusonga sana. 🤣 🤣 🤣
 
Hili la siku zijazo sijalizungumzia boss. Hakuna sehemu nimelipinga, hakuna sehemu nimelikubali.

Ili nifanye hivyo lazima nisome na kufanya analysis kuhusu hilo na sijafanya.

Huku kunishambulia kunatokana sentensi moja tu niliyosema.

" The international system remains unipolar as to todays date."
Katombwe
 
Sasa mara unasema hutaki kujadiliana na mimi mara unaendela ku quote comments zangu unaelekea matatizo ya kifamilia yamekusonga sana. 🤣 🤣 🤣
Ningeweza kukupuuza tu, ila imetokea tu nikaendelea kuheshimu pale uliponiuliza swali. Kuhusu matatizo ya familia kwani kuna mtanzania asiye na matatizo? Hii nayo ni silaha ya kumshambulia mwingine? Kila siku natatua matatizo ya familia yangu ni kweli.
 
Naomba unishirikishe matatizo yako ya kifamilia ninaweza kukusaidia. Pole sana sisi ni watanzania tunasaidiana.
 
Matatizo ni yale yale ya kila mtanzania ya baba kuhakikisha familia ipo salama. Sijafika sehemu ambayo ni ya kuhitaji kusaidiwa. Ningefikia hapo nisingekuwa JF nikijadiliana.
 
Back
Top Bottom