Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Itageuka riwaya.Ok sorry boss, apo kwenye $ toa weka Tsh
Itageuka riwaya.Ok sorry boss, apo kwenye $ toa weka Tsh
Huyo jamaa ni mbumbumbu hatoelewa hii.Naomba kukujibu kadiri ya uwezo wangu.
Nini maana ya preferred reserve currency...?
USD kwa miaka yote imekuwa ni preferred reserve currency kwa sababu hii World Order iliamua kwa pamoja kwamba USD ndio iwe medium of exchange, iwe ndio inatumika kwenye biashara baina ya nchi kwa nchi. Na vilevile waka provide means ya ku enable hizo exchanges kufanyika (kupitia SWIFT mechanism).
Kwa hiyo, concept nzima ya Reserve Currency ni utaratibu wa wao westerns waliouweka.
Sasa nakuja kujibu swali lako.
Ninachotokea sasa hivi ni kuivunja hii "Western World Order".
Ndio maana unaona initiative za ku dump hiyo dollars (Wana sell Treasury Bonds and Bills)
Ndio unaona nchi zinaanza kukubaliana kufanya biashara kwa kutumia local currencies zao
Sasa, kwenye new world order, kuna uwezekano kabisa wa haya mambo ya Reserve currency yakapotea, just unatakiwa uwe na reserve ya kutosha ya nchi ambayo wewe unafanya nayo biashara. Kwa mfano, nafanya sana biashara na Kenya, basi nakuwa na reserve kubwa ya KSHS na sio USD.
Au nataka kufanya biashara na Russia ya Mafuta au mbolea, basi natakiwa niwe na Ruble za kutosha, na sio USD.
Na hiyo ndio New World Order inavyoweza kuwa.
Okey. Lakini haijawa bado. Hapa ndipo hoja yangu ilipo. Siyo tunapoamini dunia inaelekea , ila mahali tulipo. Mahali tulipo sasa. System iliyopo sasa.Naomba kukujibu kadiri ya uwezo wangu.
Nini maana ya preferred reserve currency...?
USD kwa miaka yote imekuwa ni preferred reserve currency kwa sababu hii World Order iliamua kwa pamoja kwamba USD ndio iwe medium of exchange, iwe ndio inatumika kwenye biashara baina ya nchi kwa nchi. Na vilevile waka provide means ya ku enable hizo exchanges kufanyika (kupitia SWIFT mechanism).
Kwa hiyo, concept nzima ya Reserve Currency ni utaratibu wa wao westerns waliouweka.
Sasa nakuja kujibu swali lako.
Ninachotokea sasa hivi ni kuivunja hii "Western World Order".
Ndio maana unaona initiative za ku dump hiyo dollars (Wana sell Treasury Bonds and Bills)
Ndio unaona nchi zinaanza kukubaliana kufanya biashara kwa kutumia local currencies zao
Sasa, kwenye new world order, kuna uwezekano kabisa wa haya mambo ya Reserve currency yakapotea, just unatakiwa uwe na reserve ya kutosha ya nchi ambayo wewe unafanya nayo biashara. Kwa mfano, nafanya sana biashara na Kenya, basi nakuwa na reserve kubwa ya KSHS na sio USD.
Au nataka kufanya biashara na Russia ya Mafuta au mbolea, basi natakiwa niwe na Ruble za kutosha, na sio USD.
Na hiyo ndio New World Order inavyoweza kuwa.
Huyo jamaa ni mbumbumbu hatoelewa hii.
Wewe jamaa kichwa kigumu kweli. Shtani akusaidie tu. Kwani SMO imekamilika?Okey. Lakini haijawa bado. Hapa ndipo hoja yangu ilipo. Siyo tunapoamini dunia inaelekea , ila mahali tulipo. Mahali tulipo sasa. System iliyopo sasa.
Okey. Lakini haijawa bado. Hapa ndipo hoja yangu ilipo. Siyo tunapoamini dunia inaelekea , ila mahali tulipo. Mahali tulipo sasa. System iliyopo sasa.
Kuitumia ICC kumtisha Puttin itazidisha matatizo zaidi, maana Putin hatokubali na lazima atatunisha misuli yake kuuthibitishia ulimwengu kuwa yeye ni nani.
ICC imeharakisha sana......Nakubaliana na wewe ksbisa....Fikiria, kwa mfano, Russia kwa kutumia bunge lake ikiamua kutunga sheria kwamba nchi yoyote itakayomkamata kiongozi mkuu wa Russia ni sawa na kutangaza vita na Russia na kwamba nchi hiyo itgapigwa au kujibiwa kwa sialaha yoyote zikiwemo nyuklia... Nasema hivyo kwa kuwa huko USA ipo sheria iliyotungwa na Congress dhidi ya mahakama hii ya ICC kwamba endapo mmarekani yeyote akifikishwa huko The Hague basi USA itaivamia kijeshi The Hague. Sasa tusubirie Russia itachukua hatua gani dhidi ya ICC... In short kuna jambo linaakuja
Ndo upolisi wake ninaousema anatakiwa kuuacha. Aache demand na supply ifanye kazi yake. Mambo ya price ceiling sijui mikopo ya masharti yasiyohusiana hata na uchumi aachane nayo sababu dunia haitaki hilo tena.
Akilazimisha huku China inabuilds up its military na its expanding nuclear arsenal is expected to lead the world into a nuclear multipolarity by the 2030s atakuwa kwenye hatari kubwa. 100% muunganiko wa China na Russia utamtoa mchezoni.
Unajua Venus ww ukisema India na Tanzania zimekubaliana, mm natafuta foreign reserve ya pesa ya Tz india na vice versa halafu unakuta hilo jambo halipo.Wewe jamaa kichwa kigumu kweli. Shtani akusaidie tu. Kwani SMO imekamilika?
SMO ni sehemu ya mpango. Hao ndugu zako waliingia kichwa kichwa kwa kuweka vikwazo.
Nchi zimesanuka na kujua mchawi wetu yupo wapi. SMO imeanza just last year. Sasa hivi mabenki huko USA yanafungwa watu tunaanza kuuziana kwa currencies zetu.
Nimekupa mfano India na Tanzania. Sasa mzee unataka ianze kwa kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa imeanza?
Ninakuheshimu kwa sababu unataka kujifunza. Yaani mpaka Tanzania inakubaliana na India kuuziana kwa Tsh na Rupee bado tu unasema haijaanza??? 😃 😃 😃 😃
Jaribu basi hata kutumia akili hata kama ya kuku.
Nitaendelea kukuelimisha tu kwa kutumia fimbo mpaka matako yako yalie mbwata:-
Yap. Sasa tunaelewana mkuu.Sasa bado tunatumia western world order. Bado ipo.
Ila taratibu baadhi ya mataifa wanaachana nayo.
Itachukua muda, sio swala la overnight.
Ndio maana naendelea kusema mdogo wangu either akili zako ni ndogo au unazidogosha akili zako.Unajua Venus ww ukisema India na Tanzania zimekubaliana, mm natafuta foreign reserve ya pesa ya Tz india na vice versa halafu unakuta hilo jambo halipo.
Ndo maana kila saa nakwambia naongelea current situation. Mm sipingani na possibility ya huko unaposema tunaenda, ninachosema ni kuwa hatupo huko sasa. Shida yako hapo ni ipi?
Wala hata siitaji kengele. Niambie tu.Nitaendelea kukuelimisha tu kwa kutumia fimbo mpaka matako yako yalie mbwata:-
1. Saudi Arabia and India have also signaled moving away from the US dollar.
2. Iran, Russia use own currencies for trade
3. The Rupee-Rouble trade arrangement is an alternative payment mechanism to settle dues in rupees instead of Dollars or Euros
4. Russia and China have been teaming up to reduce reliance on the dollar.
SASA WEWE UNATAKA MPAKA UPIGIWE KENGELE UAMBIWE TAYARI SASA TUNAANZA. Huu ni utoto kabisa
Mkuu suala hapa ni kwamba hao wenzio kwa sababu hawataki kuipaisha/kuitumia $ ndio maana nauliza vigezo vyao vya kuthaminisha fedha zao nini?
Nenda MoF ukawaulize swali hili maana ndio waliotangaza jana.Wala hata siitaji kengele. Niambie tu.
Kwa tarehe ya leo nikimport TATA india watanibadilishia tsh straight kwenye pesa yao bila kutumia usd kama mzani?
Kuna ng'ombe hii imetokea wapi kwenye uzi huu? Nataka niijue kabla ya kuweka comment za maana.Mkuu suala hapa ni kwamba hao wenzio kwa sababu hawataki kuipaisha/kuitumia $ ndio maana nauliza vigezo vyao vya kuthaminisha fedha zao nini?
Okey, unachosema hapa ni kuwa huo mfumo hautumiki ila nchi zipo kwenye makubaliano na itachukua muda kutumika. HATIMAYE NIMEELEWA. HALELUYA.Ndio maana naendelea kusema mdogo wangu either akili zako ni ndogo au unazidogosha akili zako.
Yani India na Tanzania zimekubaliana wiki hii halafu unataka leo leo uletewe ripoti ya Indai na Tanzania. This is a stupid mentality.
Grow up basi. Mambo mengine unaweka hapa kama mtoto wa darasa la kwanza. Ndio maana ninakuita wewe ni mbumbumbu.
Mfumo wa foreign Reserve ni system iliyowekwa baada ya vita vya pili vya dunia. Unachotakiwa uondokane na mawazo ya Foreign Reserve ndio utaelewa mfumo wa sasa.
Anguko la mabenk USA unaliskia au hujaliskia? $ inashuka thamani..karatasi zimeanza kukosa kazi...mzunguko wa hela hamna wawekezaji wana-withdraw kufanyia pesa zao mambo mengine..mwishowe bank zinacollapseOkey. Lakini haijawa bado. Hapa ndipo hoja yangu ilipo. Siyo tunapoamini dunia inaelekea , ila mahali tulipo. Mahali tulipo sasa. System iliyopo sasa.
Sijaelewa swali boss.Mkuu suala hapa ni kwamba hao wenzio kwa sababu hawataki kuipaisha/kuitumia $ ndio maana nauliza vigezo vyao vya kuthaminisha fedha zao nini?