Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe jamaa kichwa kigumu kweli. Shtani akusaidie tu. Kwani SMO imekamilika?
SMO ni sehemu ya mpango. Hao ndugu zako waliingia kichwa kichwa kwa kuweka vikwazo.

Nchi zimesanuka na kujua mchawi wetu yupo wapi. SMO imeanza just last year. Sasa hivi mabenki huko USA yanafungwa watu tunaanza kuuziana kwa currencies zetu.

Nimekupa mfano India na Tanzania. Sasa mzee unataka ianze kwa kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa imeanza?

Ninakuheshimu kwa sababu unataka kujifunza. Yaani mpaka Tanzania inakubaliana na India kuuziana kwa Tsh na Rupee bado tu unasema haijaanza??? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Jaribu basi hata kutumia akili hata kama ya kuku.
Ya kuku boss...?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua Venus ww ukisema India na Tanzania zimekubaliana, mm natafuta foreign reserve ya pesa ya Tz india na vice versa halafu unakuta hilo jambo halipo.

Ndo maana kila saa nakwambia naongelea current situation. Mm sipingani na possibility ya huko unaposema tunaenda, ninachosema ni kuwa hatupo huko sasa. Shida yako hapo ni ipi?
Wewe naona unataka kuleta ubishi usio na msingi either kwa makusudi au kwa kutokujua.

Ukiuanza kujenga nyumba unaanza na msingi na kuendelea. Hakuna kitu chochote duniani kinafanyika overnight, kila jambo lina process zake. Sasa sijui unabishabisha kwa lipi!!
 
Wala hata siitaji kengele. Niambie tu.

Kwa tarehe ya leo nikimport TATA india watanibadilishia tsh straight kwenye pesa yao bila kutumia usd kama mzani?

Mkuu naomba nichangie hapa.

Kwenye trade agreements, kuna kukubaliana currency ya kutumia (kulipana).
Sasa hivi hali iliyopo ni kwamba, USD ndio currency inayotumika kwenye kulipana (kwa mifumo ya sasa).

Lakini tunapoelekea ni kwamba nchi mbili zinakubaliana kutumia currency zao wenyewe (hapa habari ya USD haipo na uitoe kabisa kichwani mwako). Au wanakubaliana ku exchange goods for goods na kulipana pesa kidogo (hii Iran amekuwa anafanya sana - Oil for medicines and spare parts)

Kwa hiyo new world order itakuja na flavor yake na consideration ya dollar in any way haitakuwepo tena.

Kwa mfano, Sisi TZ tuna Gold nyingi sana, Saudia Arabia wana oil nyingi sana. Sasa kwa nini tusifanye biashara ya Gold Vs Oil. Hii inawezekana. Na mechanism mnajiwekea ninyi wenyewe.
 
Tayari, Ukipata moto unahama halafu baada yapo utavimba. Utaumuka weee. Kuna kemikali inaachiwa kwenye ubongo wako inayokufanya uvimbe ila siyo halisi.
Tangu ujiite wewe ni mpumbavu nimekuwa makini sana kujadiliana na wewe. Lakini slogan ya JF inasema "Ficha upumbavu wako"
 
Wewe naona unataka kuleta ubishi usio na msingi either kwa makusudi au kwa kutokujua.

Ukiuanza kujenga nyumba unaanza na msingi na kuendelea. Hakuna kitu chochote duniani kinafanyika overnight, kila jambo lina process zake. Sasa sijui unabishabisha kwa lipi!!
UKianza kujenga nyumba unakuwa tayari na nyumba? System ipo kwenye makaratasi halafu mnataka tuizungumzie kuwa ndo sytem iliyopo.
 
Unajua Venus ww ukisema India na Tanzania zimekubaliana, mm natafuta foreign reserve ya pesa ya Tz india na vice versa halafu unakuta hilo jambo halipo.

Ndo maana kila saa nakwambia naongelea current situation. Mm sipingani na possibility ya huko unaposema tunaenda, ninachosema ni kuwa hatupo huko sasa. Shida yako hapo ni ipi?
Shida ni yako wewe boss unalazimisha tubaki kwenye current situation, while we are moving straight fwd...why unataka tubak hapahapa? Yaan ni kama unatushawishi tuamini kwamba mwanao alioko chekechea unamwazia uchekechea maisha yake yote...huna preparation yoyote ya baadae kufika mzumbe au udsm au hata duce basi...we jamaa niaje niaje??
 
Mkuu suala hapa ni kwamba hao wenzio kwa sababu hawataki kuipaisha/kuitumia $ ndio maana nauliza vigezo vyao vya kuthaminisha fedha zao nini?

Naomba kuchangia hapa.

Kigezo number 1 cha kuthaminisha pesa ya nchi ni Gold.
Ndio maana hata huu mfumo wa USD ulipoanza, ulikuwa unatumia Gold Standard (Ingawa baada wakaja kuutoa kwa sababu hizo Gold hawakuwa nazo)

Kwa hiyo tambua kwamba, Gold ndio standard ya kuweka mizani na sio USD... OKay?
 
UKianza kujenga nyumba unakuwa tayari na nyumba? System ipo kwenye makaratasi halafu mnataka tuizungumzie kuwa ndo sytem iliyopo.
Ukianza kujenga nyumba ndio nyumba hiyo ishaanza. Wote waliokujibu hapa wamekwambia dunia inaelekea kwenye mrengo mwingine lakini wewe unakaza fuvu tu.

Kenya wao washakubaliana na UAE kuuziana mafuta kwa local currencies. We kaa ukikaza fuvu tu!!
 
Shida ni yako wewe boss unalazimisha tubaki kwenye current situation, while we are moving straight fwd...why unataka tubak hapahapa? Yaan ni kama unatushawishi tuamini kwamba mwanao alioko chekechea unamwazia uchekechea maisha yake yote...huna preparation yoyote ya baadae kufika mzumbe au udsm au hata duce basi...we jamaa niaje niaje??
Hapana mkuu. Sijasema ninachotaka. Nimesema kilichopo. Kuhusu hii hoja ya mfumo Hakuna sehemu yoyote ambayo nimejadili tunapoelekea. Wakati wote nimekuwa nikijadili tulipo.
 
Ww ndo uliniita mpumbavu nikakwambia achana na upumbavu wangu jadili hoja nyingine na wengine ila bado naona upumbavu wangu umekunata hauchomoki.
Kwahiyo unataka kutuambia tuachane na upumbavu wako?
A. Ndiyo
B. Hapana
C. Tuamue wenyewe

Chagua jibu sahihi.
 
Ukianza kujenga nyumba ndio nyumba hiyo ishaanza. Wote waliokujibu hapa wamekwambia dunia inaelekea kwenye mrengo mwingine lakini wewe unakaza fuvu tu.

Kenya wao washakubaliana na UAE kuuziana mafuta kwa local currencies. We kaa ukikaza fuvu tu!!
Ukianza kujenga nyumba huna nyumba, ni umeanza kujenga nyumba. Kuna utofauti.
 
Bado mwenzetu hata kiwango cha kuku hajafikia. Natamani aende kwenye banda la kuku akawaone kuku wanavyotumia akili zao. Haya ni maoni yangu binafsi siyo ya JF members [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji48][emoji48][emoji48] bad man..wewe ni mtu m-bad sana
 
Back
Top Bottom