Jamaa ana mahaba na jambo lake, hivyo analilinda kwa njia zote kama WEST wanavyolinda lgtbMzee unazingua sana aisee!!! Sijui unajiondoa ufahamu au wewe kichwa chako ni kigumu.
1. Nimekuambia kuwa tunaelekea kwenye Multipolar world nikakupa mfano mauziano kati ya Tanzania na India bado unaendelea kubisha tu.
System inabadilika mdogo wangu BRICS wanaendelea na kuimarisha System ya Currencies yao.
Kuitumia ICC kumtisha Puttin itazidisha matatizo zaidi, maana Putin hatokubali na lazima atatunisha misuli yake kuuthibitishia ulimwengu kuwa yeye ni nani.
ICC imeharakisha sana......
Bado Una Kaushabiki juu ya US. Ila Ukikaacha Utaona Upuuzi na Ushenzi mwingi wa Us, huyu ndio Chanzo cha Migogoro na Matatizo yote Duniani.Binafsi naona USA has no choice except for willingly retreated from playing the world’s policeman huku akiheshimu culture za nchi nyingine. Aache demand na Supply ifanye yake. Hili ndo kosa ninaloliona analofanya USA mpaka kusababisha aonekane ana kiherehere na nchi nyingine.
Asipofanya hilo kosa hawezi kukupiga sunction ya mauzo na manunuzi kwenye nchi unazonunua au kuuza..maana mauziano makubwa yanapitia SWIFT hvyo anakublock tuu huwez tuma pesa na huwez tumiwa mzigo haujalipiwa..au umetuma mzigo uko njiani unaenda ila huwez tumiwa pesa yako maana ameblok mfumo wa $ au westen curencies kwenye account zakoBinafsi naona USA has no choice except for willingly retreated from playing the world’s policeman huku akiheshimu culture za nchi nyingine. Aache demand na Supply ifanye yake. Hili ndo kosa ninaloliona analofanya USA mpaka kusababisha aonekane ana kiherehere na nchi nyingine.
MK254[emoji298]️[emoji1130][emoji635]Iran informs Russia that they are already mass-producing the American predator MQ9Reaper drone, it is called Kaman 22 and has a range of 3000 km.
View attachment 2555801
Mkuu kama wewe ni msomaji mzuri wa Biblia,you know where this is heading to,prepare,do not bury your head in the sand,something weird is on the way for humanity.You know why this is happening?Humanity has forgotten everything about God.mkuu, Naamini bado kuna watu wenye nguvu wanaweza kuitumia nafasi ndogo iliyopo kushawishi wenzao wenye nguvu tusifike kwenye vita vya nukes.
Na kweli Kila mbinu inatumika ikiwemo hii ya Sasa ya ICC warrant of arrest for Putun....ila sijui Russia itakuja na kitu gani dhidi ya mikakati huu wa West....Russia inaweza ikaja na mkakati mbaya zaidi kuhusu Ukraine na viongozi ....tusuburie. maana mambo makubwa zaidi yamo njiani....
Nimekujibu vizuri tu kuwa unaongelea jambo ambalo halijawa bado. Na nikakwambia fuatilia central bank za nchi unazozifahamu kisha utaona dunia bado ipo kwenye mfumo upi, kisha nikamalizia kuwa sikatai kuwa inaweza kuwa lakini bado haijawa.Mzee unazingua sana aisee!!! Sijui unajiondoa ufahamu au wewe kichwa chako ni kigumu.
1. Nimekuambia kuwa tunaelekea kwenye Multipolar world nikakupa mfano mauziano kati ya Tanzania na India bado unaendelea kubisha tu.
System inabadilika mdogo wangu BRICS wanaendelea na kuimarisha System ya Currencies yao.
Hako kaushabiki umekapimaje? Hatuwezi simama sehemu ambayo tutawatazama hizi nchi nyingine kama watanzania badala ya kuwa na ushabiki? Sina ushabiki na USA. Nasema kile ninachokiona kulingana na hoja husika.Bado Una Kaushabiki juu ya US
Ila Ukikaacha Utaona Upuuzi na Ushenzi mwingi wa Us
huyu ndio Chanzo cha Migogoro na Matatizo yote Duniani
Huyu ndio Kivuruge Na hataki Kushimdwa wala Nchi fulani kuwa juu yake
na yeye Anahaki ya kufanya lolotekwenye hii dunia na Si mwingine
kila Baya , zuri wewe uwe Ndio sio Hapana .
Ndo upolisi wake ninaousema anatakiwa kuuacha. Aache demand na supply ifanye kazi yake. Mambo ya price ceiling sijui mikopo ya masharti yasiyohusiana hata na uchumi aachane nayo sababu dunia haitaki hilo tena.Asipofanya hilo kosa hawezi kukupiga sunction ya mauzo na manunuzi kwenye nchi unazonunua au kuuza..maana mauziano makubwa yanapitia SWIFT hvyo anakublock tuu huwez tuma pesa na huwez tumiwa mzigo haujalipiwa..au umetuma mzigo uko njiani unaenda ila huwez tumiwa pesa yako maana ameblok mfumo wa $ au westen curencies kwenye account zako
Sasa mzee unaanza sasa issue za kuchamba siyo? Kama kichwa chako ni kidogo huwezi kujua mambo ni bora ukauliza tukusaidie.Nimekujibu vizuri tu kuwa unaongelea jambo ambalo halijawa bado. Na nikakwambia fuatilia central bank za nchi unazozifahamu kisha utaona dunia bado ipo kwenye mfumo upi, kisha nikamalizia kuwa sikatai kuwa inaweza kuwa lakini bado haijawa.
Venus, Acha kuvimba. Huwezagi kujadili bila kujivimbia, Nasomaga unavyojibu wachangiaji wengine. Unijivimbisha vimbasha mno. Kama kwenye maisha halisi unavimba hivi utajaa usaa halafu ukitumbuka utachafua mpaka walio karibu na wewe. Unajitutumua mno.
View attachment 2556136
Aiseee hapa sidhani kama kuna binadamu wala sisimizi aliyeponaVIDEO
Kuna Kikundi kimoja cha Kiukrein Kilikuwa Kinatumia Mbinu za Kuvizia kisha Kukimbilia kwenye Jengo
Wanaume Wakaona Huu ndio muda wakumleta BMP-T terminates
View attachment 2555639
Aisee hii kitu nihabari Nyingine Kabisa
Yaani Kitu inatetema na Kukohoa Hatari
Yaani hii Ikikukosa Unakufa Na Ikikupata Unakufa tu
Ushapata moto. Kama umenistahi basi naheshimu hilo. Samahani kwa nilipokukosea. Achana na upumbavu wangu, endelea na hoja zingine na watu wengine.Sasa mzee unaanza sasa issue za kuchamba siyo? Kama kichwa chako ni kidogo huwezi kujua mambo ni bora ukauliza tukusaidie.
Hapa umeenda nje ya mada kabisa. Ninakustahi tu kwa sababu kidogo unajielewa la sivyo mimi huwa sivumilii upumbavu wenu.
Tunakuletea facts halafu wewe unaleta kejeli, je tukuite mwehu au mpumbavu?
Hatuwezi kuvumilia watu wenye uelewa mdogo wakajitawala. Sisi magwiji lazima tujitokeze tukemee upumbavu huu.Ushapata moto. Kama umenistahi basi naheshimu hilo. Samahani kwa nilipokukosea. Achana na upumbavu wangu, endelea na hoja zingine na watu wengine.
That's y west wanaitumia Kila mbinu kumdhibiti Putin but they end themselves wakifeli
Wamelowa.Yaani this is a technical admission of defeat in the battle field.
Wanawaanda wananchi wao kisaikolojia kukubali matokeo, it is an exit strategy. Wamegundua wanaumia na hawawezi kuishinda Urusi kivita.
West wameisha.
Unaviiimba. Hahaha. Haya ww vimba tu, usaa ukishajaa utajipasukia pwaaa.Hatuwezi kuvumilia watu wenye uelewa mdogo wakajitawala. Sisi magwiji lazima tujitokeze tukemee upumbavu huu.
Nashukuru umekubali wewe ni mpumbavu basi, ficha upumbavu wako.
Boss ukiachana na Russia ambayo ina vikwazo, unaweza taja nchi nyingine ambayo preferred foreign reserve currency sio usd na ukasema ni fedha gani?