Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The Slovak government decided to send Slovakia’s all 13 MiG-29 fighter jets to Ukraine. Thank you! [emoji1217]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni za miaka ya 1970's kutoka soviet union lifetime ni 40-50 na mwaka jana na mwaka juzi ndio matumiz yake yalikua yamefikia mwisho, unahisi Ukran hapo kapewa nini? Sema kwa sauti..CHUMA CHAVU.
 
View attachment 2555585
Hahhahaha sijui hawa mashoga wanamzungumzia Putin wa Chanika!
Hili tangazo halina jipya.ni mbinu ya mwisho kwa west kuitumia.ikibuma ndo basi tena.Wametumia kanuni ya kuwa ukimpiga mchungaji kondoo zinakimbia, au kama kwa mti mbichi imekua ivo ne kwa miti mikavu itakuaje?..kanuni kama hizi za taharuki zinatumika kwa mataifa madogo hasa africa ila sio kwa taifa kubwa na superpower kama RUSSIA.
 
No need to explain...
Screenshot_20230317-213312_1.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ijapakuwa mm sio mwanauchumi kwa uelewa wangu Ni kwamba Kama utaenda India unaenda benki unabadilisha hela kuto ka shilingi kwenda lupia ndio utaingia mtaani kununua mzigo nao wakija tz watafanya hivyo hivyo itatakiwa uwe na akaunti ya tz na india ili uweze kutumia tshiling ukiwa Tanzania na ukienda kule unabadilisha hela unatumia lupia mawazo yangu.
Mkuu sawa kabisa ila kwa mfano leo unakwenda India na Tshs sawa unakwenda bank kupata Rupia, utabadilishiwa zile fedha kwa kigezo gani? au bado $ itaendelea kubaki kuwa mizani?
 
Acha kujitoa ufahamu wewe...usifiriki watu wote humu hawajui unachoandika..Tunajua sana.TUNACHOKATAA NA TUNACHOPINGA ni undumilakuwili....yaani as if kuna nchi zina haki ya kuonea wengine...US wamefanya uhalifu wa kivita mara ngapi, Hao western world....mbona hatusikii makelele....Huu ndo ubaguzi ambao hatupendi....
Mkuu mwerevu, pamoja na kuniambia najitoa ufahamu sawa, ila mimi nitakuwa najenga hoja kwa ajili ya kuelimishana, ili tuelimike. Haya sasa ICC hao wamefanya walivyoona inafaa, na hili nilikueleza humumu JF lakini kwa kuwa hutaki kijifunza, basi jione mwenyewe - nalo utakata.
 
Mkuu sawa kabisa ila kwa mfano leo unakwenda India na Tshs sawa unakwenda bank kupata Rupia, utabadilishiwa zile fedha kwa kigezo gani? au bado $ itaendelea kubaki kuwa mizani?
Boss kwani exchange ya rupee kwa tsh mbona kwenye ma-bureau ya Tz ipo? Na rate ipo BoT...umewahi kwenda india? Unaenda na kias cha dolar na kingine rupee, either unabadilishia hapahapa bongo au ukitua na dola zako chatrapat mumbai unapewa rupee za kutumia local
 
US yeye watu aliowaua Libya, Iraq na Afghanistan UN walichukua uamuzi gani? 🤣
Mkuu ni kweli US alihusika huko kote uliko kutaja. Lakini bila shaka alikuwa anafanya operation zake huku akizingatia kwanuni za kivita kama niliyotaja kwenye hoja yangu #108. 869. Ukizingatia hayo unapeta tu.
 
Mkuu mwerevu, pamoja na kuniambia najitoa ufahamu sawa, ila mimi nitakuwa najenga hoja kwa ajili ya kuelimishana, ili tuelimike. Haya sasa ICC hao wamefanya walivyoona inafaa, na hili nilikueleza humumu JF lakini kwa kuwa hutaki kijifunza, basi jione mwenyewe - nalo utakata.
Bila kupendelea mkuu, unahisi ICC aneimiliki ni US au ni Russia.....nadhan jibu unalo..na kama hujui..USA hayupo kwenye huo ushuzi ICC wala Russia hayupo kwenye hiyo TP(toilet paper) utakula jeuri yako..uliona wapi chama cha madalali na wenye nyumba wakawepo chamani? Wanawapunguza tuu machungu pro-ukrain kwa kuumia moiyo..jitu la miraba Russiya linabonda sio poa..
 
Mwenye nguvu za kidiplomasia za kuimaliza hii vita ni China pekee
Boss kwani exchange ya rupee kwa tsh mbona kwenye ma-bureau ya Tz ipo? Na rate ipo BoT...umewahi kwenda india? Unaenda na kias cha dolar na kingine rupee, either unabadilishia hapahapa bongo au ukitua na dola zako chatrapat mumbai unapewa rupee za kutumia local
Mkuu kwa hiyo dollar utaitumia?
 
Boss kwani exchange ya rupee kwa tsh mbona kwenye ma-bureau ya Tz ipo? Na rate ipo BoT...umewahi kwenda india? Unaenda na kias cha dolar na kingine rupee, either unabadilishia hapahapa bongo au ukitua na dola zako chatrapat mumbai unapewa rupee za kutumia local
Kakijana, hiyo exchange rate ya rupee kwa tsh imepimwa kwa mzani upi? Ni nn kinaamua kuwa rupee kadhaa ni tsh kadhaa.
 

The ICC has done the unthinkable.In a blatant violation of human norms and character,the Khazarian(NWO Cabal) controlled ICC has scandalously issued a baseless War crime arrest warrant for President Putin​

March 17, 2023
160729-icc_hq-02-1024x641.jpg

Situation in Ukraine: ICC judges issue arrest warrants against Vladimir Vladimirovich Putin and Maria Alekseyevna Lvova-Belova​

International Criminal Court
Today, 17 March 2023, Pre-Trial Chamber II of the International Criminal Court (“ICC” or “the Court”) issued warrants of arrest for two individuals in the context of the situation in Ukraine: Mr Vladimir Vladimirovich Putin and Ms Maria Alekseyevna Lvova-Belova.

Mr Vladimir Vladimirovich Putin, born on 7 October 1952, President of the Russian Federation, is allegedly responsible for the war crime of unlawful deportation of population (children) and that of unlawful transfer of population (children) from occupied areas of Ukraine to the Russian Federation (under articles 8(2)(a)(vii) and 8(2)(b)(viii) of the Rome Statute).

The crimes were allegedly committed in Ukrainian occupied territory at least from 24 February 2022. There are reasonable grounds to believe that Mr Putin bears individual criminal responsibility for the aforementioned crimes, (i) for having committed the acts directly, jointly with others and/or through others (article 25(3)(a) of the Rome Statute), and (ii) for his failure to exercise control properly over civilian and military subordinates who committed the acts, or allowed for their commission, and who were under his effective authority and control, pursuant to superior responsibility (article 28(b) of the Rome Statute).

Ms Maria Alekseyevna Lvova-Belova, born on 25 October 1984, Commissioner for Children’s Rights in the Office of the President of the Russian Federation, is allegedly responsible for the war crime of unlawful deportation of population (children) and that of unlawful transfer of population (children) from occupied areas of Ukraine to the Russian Federation (under articles 8(2)(a)(vii) and 8(2)(b)(viii) of the Rome Statute).

The crimes were allegedly committed in Ukrainian occupied territory at least from 24 February 2022. There are reasonable grounds to believe that Ms Lvova-Belova bears individual criminal responsibility for the aforementioned crimes, for having committed the acts directly, jointly with others and/or through others (article 25(3)(a) of the Rome Statute).
Pre-Trial Chamber II considered, based on the Prosecution’s applications of 22 February 2023, that there are reasonable grounds to believe that each suspect bears responsibility for the war crime of unlawful deportation of population and that of unlawful transfer of population from occupied areas of Ukraine to the Russian Federation, in prejudice of Ukrainian children.

The Chamber considered that the warrants are secret in order to protect victims and witnesses and also to safeguard the investigation. Nevertheless, mindful that the conduct addressed in the present situation is allegedly ongoing, and that the public awareness of the warrants may contribute to the prevention of the further commission of crimes, the Chamber considered that it is in the interests of justice to authorise the Registry to publicly disclose the existence of the warrants, the name of the suspects, the crimes for which the warrants are issued, and the modes of liability as established by the Chamber.

The abovementioned warrants of arrests were issued pursuant to the applications submitted by the Prosecution on 22 February 2023.
Image
ICC President Judge Piotr Hofmański

Video statement of ICC President Judge Piotr Hofmański:
YouTube (for viewing)
Video (MPEG-4) for download
​


For further information, please contact Fadi El Abdallah, Spokesperson and Head of Public Affairs Unit, International Criminal Court, by telephone at: +31 (0)70 515-9152 or +31 (0)6 46448938 or by e-mail at: [email protected]
 

ICC issues an arrest warrant for Putin​

The International Criminal Court (ICC) issued an arrest warrant for Putin, accusing him of being responsible for war crimes committed in Ukraine.

The ICC issued the warrant on suspicion of unlawful deportation of children and illegal transfer of people from the territory of Ukraine to the Russian Federation.

Moscow has repeatedly denied accusations that it has committed atrocities during the war in Ukraine.

=========================

Wale mnaosema mahakama ya Icc ni kwa ajili ya wanyonge tu tafuteni hoja nyingine tena.

Huyu muhalifu itabidi ajifiche huko huko Urusi maisha yake yote yaliyobaki ili kukwepa mkono wa sheria.
Putin atatoka kwenda nchi rafiki na hakuna wa kumgusa,haraka Urusi miaka yote bila kutoka kama unavyoandika huo upuuzi wako.
 
Russian Oil Giant Looking to Start New Projects in Congo

Russia's largest private oil company Lukoil is discussing starting new energy projects in the Republic of Kongo as an operator, the company said on Friday.

Lukoil aims to develop in the Republic of Congo. First of all, we are interested in projects where Lukoil could act as operator. We have discussed a number of such opportunities today," the firm’s regional Vice President Ivan Romanovsky said after a meeting with Congolese Minister of Hydrocarbons Bruno Jean-Richard Itoua.

Subscribe to RT
 
Back
Top Bottom